Engineer2
Senior Member
- Mar 31, 2009
- 126
- 15
Mama Terezya hongera kwa kujali mazingira na afya ya viumbe waliopo tanzania, hayo wafanyao hao wawekezaji huko kwao hawathubutu hata kidogo kufanyaa, endelea hivyo hivyo na tutakupa majina ya wengine ili uwafungie. Mzee kagasheki kwenye hili umechemka waombe radhi watanzania, ni heri tuwakose hao watalii na fedha zao kuliko kuharibu mazingira ambayo yakiharibika hatutapata nafasi tena ya kuyarekebisha