Search results

  1. E

    Uchaguzi DMV USA na ufisadi: Idd Sandaly akataa kutoa nyaraka za Jumuia

    UCHAGUZI DMV USA NA UFISADI: IDD SANDALY AKATAA KUTOA NYARAKA ZA JUMUIA "Team Libe for DMV Community President 2014" July 9, 2014 tuliomba nyaraka za jumuia. Cha kushangaza ni kuwa; ATC Metro Board of Trustee na uongozi wa Idd Sandaly haukutupa majibu hadi tulipo kutana kwenye kikao na Balozi...
  2. E

    Uchaguzi DMV USA: Udini na status quo vyatawala

    UCHAGUZI DMV USA: UDINI NA STATUS QUO VYATAWALA Ndugu zangu wana DMV wote salaam; sote tunajua kwamba tupo kwenye heka heka za kampeni ya uchaguzi wa viongozi wa Jumuiya yetu ya DMV. Napenda nizungumzie mambo ambayo yanatia dosari na tusipokuwa makini na kuchelewa kuyafumbua...
  3. E

    Pendekezo kuanzishwa kwa "East Coast US Tanzanians alliance "

    Wakuu kwa mtazamo wangu na nimekuja kuweka huu uzi hapa ili tuwe na positive katika kuleta maendeleo ya nchi yetu Tanzania. Na pia tujifunze au tuwe creative kubuni nini kinatakiwa kifanyike kwa nyakati hizi kiuchumi. Miaka mingi sana serikali ya Tanzania ilikuwa na tabia ya kuwawekea vikwazo...
  4. E

    Ungependa swali lipi aulizwe Mwigulu Nchemba leo hapa Washington DC?

    Leo ndio sherehe ya muungano hapa Washington DC.Sasa tumeona lazima ajibu masawli yetu,kwani tulikuwa tunamkosa sana.sasa tunaomba wadau wenye maswali watubandikie hapa chini.Asanteni.MUNGU IBARIKI TANGANYIKA
  5. E

    Vaa Tanganyika tshirt au yenye picha ya Warioba kesho[sherehe za muungano dmv] Washington DC

    Naheshimu maoni ya watanzania na yangu pia.sitaki kugeuka kama kinyonga.Kesho ni muda muafaka kama utakwenda kwenye sherehe hapa Washington DC ni bora uvae tshirt ya Tanganyika ili kuonyesha msimamo wako.kwa wakazi wa washington dc,unaweza kwenda kuprint tshirt kwenye mall yeyote ile na bei ni...
  6. E

    Chadema kufungua tawi alabama [usa]

    Kutokana na vijana watanzania wasomi na wengine waliomaliza masomo kutaka kujiunga na kutoa mchango wao kwenye kuikomboa Tanzania kutokana na joka CCM.Tumeamua kufungua tawi haraka sana.Hadi sasa tumemekaa kikao watanzania wasomi kama 80 hivi hapa.Lakini wapo wengi tunawaomba watanzania wengine...
  7. E

    Tanzania uchi wa mnyama sasa...

    Nimepita kwenye mitaa ya hapa Washington DC katika mtaa wa colombia na 18 street[adams morgan]. Nimeona kuna mabango na Matagazo kuhusu uonevu unaofanywa na serikali ya CCM huko Tanzania. Ni picha za akina mwangozi, mauaji ya morogoro, mauaji kule songea, na arusha. Nimeona watu wengi wanasema...
  8. E

    Linda bezuidenhout hored as a jugde for miss georgia, usa

    Mwana mitindo maarufu LINDA BEZUIDENHOUT (LB) HONORED AS A JUDGE FOR THE MISS, MS, MRS GEORGIA PLUS AMERICA BEAUTY PEAGANT 2013. Check this link FASHION DESIGNER LINDA BEZUIDENHOUT HONORED AS A JUDGE FOR THE MISS, MS, MRS GEORGIA PLUS AMERICA BEAUTY PEAGANT 2013. | JESTINA GEORGE Kazi zake za...
  9. E

    CCM watakuja na mbinu gani tena za kuidhoofisha CHADEMA?

    Wadau wa haki za binadamu,wapenda mabadiliko tuelezee in advance; Nini CCM watakuja nacho? kwani wananchi wakielezwa mapema ndio safi kuiangamiza CCM. Mimi naanza kwa kusema kwa kuwa chama tawala na Marekani na Mataifa mengine picha sasa hivi haziendi,Magamba watatengeneza mchezo wowote ule...
  10. E

    Mh. Leticia Nyerere kwenye bunge la senate mjini Washington, DC

    Mbunge wa Viti maalum Chadema (Kwimba) Mh Leticia Nyerere amefanya ziara ya kutembelea Ofisi za Bunge la Marekani mjini Washington DC Ijumaa 15 Machi 2013. Lengo la ziara hiyo ya Mh Leticia Nyerere ni kutaka kujua namna Mabunge mawili ya Marekani yanavyofanya kazi. Bunge la Marekani...
  11. E

    Baadhi ya wagombea wa tawi la CCM DMV wajitoa kwenye uchaguzi

    Baadhi ya wagombea wa Tawi la CCM DMV wajitoa kwenye uchaguzi Kutokana na sababu zisizoweza kuzuilika baadhi ya wagombea wamelazimika kujitoa majina yao kwenye uchaguzi huo uliotarajiwa kufanyika kesho Jumamosi Machi 16, 2013 saa tisa kamili jioni katika anuani hii: 500 Sligo Avenue, Silver...
  12. E

    Used electronics from usa

    Kuna redio,reciever,home theaters,speakers,printers and more stuffs.zinapatikana pale Kinondoni hananasif karibu na kituo cha polisi cha Mrema.Wasiliana na wahusika Mr Elias simu 719 102188 Mama Mchiri simu 754 556868
  13. E

    Makada CCM wakata rufaa ubunge wa Lema

    Waomba hukumu ya Mahakama ya Rufaa ipitiwe upya Makada watatu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) waliopinga ubunge wa Mbunge wa Arusha Mjini (Chadema), Godbless Lema na kufanikiwa kumvua ubunge kabla ya Mahakama ya Rufaa kumrejesha wadhifa wake, wamewasilisha maombi ya kutaka hukumu ya mahakama hiyo...
  14. E

    Matokeo mabaya ya kidato cha nne, nani alaumiwe?

    Matokeo mabaya ya kidato cha nne, nani alaumiwe A) Serikali B) Walimu C) Wanafunzi D) Social media
  15. E

    Mama Salma: Rais Kikwete ana hasira, wanaosema mpole hawamjui

    Wana JF, naomba msaada kwenye tuta, si pati mantiki ya mama Salma kusema mume wake anahasira!!!!! NA BASHIR NKOROMO, LINDI MJUMBE wa Halmashauri Kuu ya Taifa (NEC) ya CCN, Mke wa Rais Mama Salma Kikwete ametoboa siri kwamba mumewe, Rais Jakaya Kikwete pamoja sura yake kujawa haiba ya ucheshi...
  16. E

    Nani muaminifu hapa, JK, Mwinyi, Mkapa au Lowassa

    Nani kalitumikia taifa(na anaendelea kulitumikia taifa) kiuaminifu na kiuadilifu hapa, honest answers tafadhari. Kutoka kushoto Benjamini mkapa (Mmachinga), Jakaya Kikwete (Dhaifu, mzee wa safari), Ally Hassan Mwiny (Mzee Ruksa) na Edward Lowassa(Morani)
  17. E

    Napinga wabunge kwenda JKT

    Tahadhari!!!!!Tumia akili zaidi kuliko HISIA kuelewa kilicho andikwa hapa, unaweza kuwa na mawazo tofauti na yangu, ni sawa. This is how democracy works. Nimesikia kwa muda kuwa wabunge watajiunga na JKT. Nilipata kuona baadhi ya comments kuwa ni wazo zuri, LAKINI, nitaomba kutofautiana na...
  18. E

    TATIZO KWENYE Vitambulisho vya taifa: Je ni alama ya utanzania?

    Wana bodi, Nimekipitia kitambulisho cha taifa kwa haraka haraka na kubaini kuna TATIZO, naweza kuwa wrong. Ni wazo zuri kuwa na kitambulisho cha taifa lakini tukitengeneze kwa umakini. Kuna sehemu ya kitambulisho inasema " CITIZEN IDENTITY CARD". Maswali 1. Je, kuwa na kitambulisho hiki ni...
  19. E

    John Mashaka: Naomba mdahalo na Nchemba na Kigwangalla, nawapa wiki moja

    CHALLENGE TO KIGWANGWALA & NCHEMBA ON ECONOMICS/ EDUCATIONAL DEBATE You cannot talk about economic progress without talking about education. Neither can you talk about employment without talking about the youth; the youth derive their skills to be employed or self employment from the very...
Back
Top Bottom