CCM watakuja na mbinu gani tena za kuidhoofisha CHADEMA?

environmental

JF-Expert Member
Oct 11, 2010
1,054
137
Wadau wa haki za binadamu,wapenda mabadiliko tuelezee in advance; Nini CCM watakuja nacho? kwani wananchi wakielezwa mapema ndio safi kuiangamiza CCM.

Mimi naanza kwa kusema kwa kuwa chama tawala na Marekani na Mataifa mengine picha sasa hivi haziendi,Magamba watatengeneza mchezo wowote ule kuonyesha kuna pesa zimetolewa na gaidi fulani kuja kwenye account za chama cha chadema.Ili mataifa makubwa ambayo yapo mstari wa mbele kuteketeza ugaidi wasitoe support yeyote kwa CHADEMA.

Naomba wadau tuelezee precaution zingine ili tuwabane Magamba kisawasawaaaaa.
 
Watamuua mmoja viongozi wa Chadema hasahasa kabwe na kumkamata au kuwakamata Mbowe na Slaa kwa tuhuma za kuhusika hivyo hawatagombea urais wakishindwa sasa Wataandaa waraka kuonyesha maaskofu na CDM wanaangamiza watu hivyo wapate kuleta vita vya ndani kati uislamu na ukristo then watatumia hiyo kama kigezo cha kutofanyika uchaguzi mkuu 2015 ili wabaki madarakani
 
Hawa magamba wana vituko..hii SINGLE YAO YA LWAKATARE IMETUA SOKONI IKIWA IMECHUJA.
 
Wadau wa haki za binadamu,wapenda mabadiliko.tuelezee in advance.Nini ccm watakuja nacho,kwani wananchi wakielezwa mapema ndio safi kuiangamiza ccm.Mimi naanza kwa kusema kwa kuwa chama tawala na Marekani na Mataifa mengine picha sasa hivi haziendi,Magamba watatengeneza mchezo wowote ule kuonyesha kuna pesa zimetolewa na gaidi fulani kuja kwenye account za chama cha chadema.Ili mataifa makubwa ambayo yapo mstari wa mbele kuteketeza ugaidi wasitoe support yeyote kwa chadema.naomba wadau tuelezee precaution zingine ili tuwabane Magamba kisawasawaaaaa.

Balehe bana!

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
Kuhalalisha kwamba ni upande wa pili, nafikiri watamuua mwenzao mmoja na ndipo wapate uhalali kuwa upinzani wamepanga kuwaua wana CCM
 
CCM si wajinga tusiwa underestimate. kwanza tutambue Usalama wa taifa (Uhasama kwa taifa), Polisi (Policcm), Spika wa bunge, Wakurugenzi, Wakuu wa jeshi, wote hao kwa umoja wao (namaanisha wengi wao ni mafisadi) wanakaa na kupanga. Pia tusisahau propaganda machine ambazo ni CloudsFM, TBC na magazeti ya serikali. Pia Msajili wa Vyama, Mkurugenzi wa Tume ya Uchaguzi, Jaji Mkuu. Hawa ni watu wenye dhamana kubwa na nyadhifa nyeti.

Bado hatupo salama, tena tuko kwenye vita kubwa kuliko wakati mwingine wowote kwani adui yetu anafahamu fika nguvu yetu kuwa ni Umma, wananchi wanyonge waliodhulumiwa haki zao. Hivyo basi tusidhani maadui hao watalala usiku kwa raha mpaka wahakikishe wametuangamiza kwa hila zao chafu. Hili la Lwakatare ni mwanzo tu, mengi yanakuja.

Tufanye nini?
Yatupasa kuongeza mapambano yetu kwaq kuzidisha M4C ili elimu ya uraia na kiu ya ukombozi izidi kuenea hususan maeneo ambayo bado ni ngome ya mafisadi kama vile Dodoma, Moro, n.k
Kila mwana cdm kwa nafasi yake ahakikishe anatoa elimu ya mpiga kura kwa wananchi kadhaa uswahilini ambao bado hawafahamu umuhimu wa kupiga kura na thamani ya kura, hususani vijana wenzetu ili wasiishie ushabiki tu bali wawe wapiga kura. Hapo ndipo tutaweza kupambana na majuha yanayofilisi mali za nchi hii
 
sawa sawa nadhani sasa itabidi chadema wabadilishe mbinu watambue kuwa sasa si ule muda wa kunyamaza na kupuuzia bali ni muda wa kujibu mapigo na kuibua yao pia. Tulizoea kuona wanaopakwa tope ni ccm pekee hivyo sasa halijaisha hili la Lwakatare chadema wanatafuta pa kupitia, hapa ndio penyewe maana hata huyo Lwakatare police alikiri alikua anasuka mipango ya kumdhuru Denis Msaki hatujajiuliza hilo bali tunabaki kaonewa kwani kwenye video alimtaja msaky?????!!!!!
 
Mie naona cdm tumfukuze Zitto na Shibuda,Akunay na Arfi ili chama kiendelee kupukutisha magamba ya Lumumba!
 
Labda watatumia jeshi
Kabisaaa! Kilichobaki kwao na ambacho watakifanya ni 'direct confrontation' Polisi, ffu, au wanajeshi wataingilia mkutano wa chadema na kuzua vurugu. Kwenye hizo vurugu watamlenga kiongozi wa chadema kwa kutumia kitu chenye ncha kali. Yupo kiongozi wa juu sana chadema anatafutwa kwa udi na uvumba. Watahakikisha wanampata. CCM now at this point in history has turned into a kind of a mafia group! Unapokuwa na kundi la wala rushwa na mafisadi wanaojiita wanasiasa, usitegemee kuona busara au uvumilivu wa kisiasa kutoka kwa kundi hilo.
 
Hawa magamba wana vituko..hii SINGLE YAO YA LWAKATARE IMETUA SOKONI IKIWA IMECHUJA.

mkuu unachotakiwa kujua ni hii show ccm wali intrust kwa tiss na polisi.umeshawahi kusikia stastement yoyote kutoka ccm cyo nape wala kinana toka hili sakata lilipoanza?coz wanajua any statement watakao toa inaweza wacost
 
Kwa sasa eti wamekuja na kujenga urafiki na vijana wa bodaboda,kuwapa pikipiki na kuwaambie wasishiriki maandamano
 
Hawa magamba wana vituko..hii SINGLE YAO YA LWAKATARE IMETUA SOKONI IKIWA IMECHUJA.

mkuu unachotakiwa kujua ni hii show ccm wali intrust kwa tiss na polisi.umeshawahi kusikia stastement yoyote kutoka ccm cyo nape wala kinana toka hili sakata lilipoanza?coz wanajua any statement watakao toa inaweza wacost
 
Kifo kama kimepangwa ccm watakufa wawo,hakuna vita isiyokuwa na mwisho.
Cha msingi ni jinsi gani chadema tutamaliza vita hii.
Pia najua Mungu ataishindia chadema.
 
Back
Top Bottom