Search results

  1. J

    Nyerere alimkosea nini Mungu?

    Lakn hoja ya ushirikina na uzandiki uliofanyika kipindi nchi inasimika miziz kama taifa nadhni nikitu kinacholitesa hili taifa lisipige hatua kwa kasi inayoitajika Malango ya taifa ili ilibidi siku ile ya uhuru iwe ni malango ya uhusiano wa watu wa taifa hili na Mungu lakini inaonekana malango...
  2. J

    Je, ni kweli kwamba yule kada wa CCM anayehusishwa Kuhamia ACT ni huyu?

    Bado nyota yako ina'ngara usiogope cha msingi wakati ukifika usisahahu kuunda sekta binafsi yenye guvu kuliko za awamu yote...
  3. J

    Yaliyojiri Uwekaji wa jiwe la msingi Daraja la Selander

    najaribu kuelewa huu huzinduzi ni uzinduzi wa mkutano wetu wa chama chetu au ni wa waserikali?Rais wangu anatekeleza wajibu wake lakin napenda awa watoa neno wapunguze kusifia wanaweza kukufuru hapa....
  4. J

    Ansbert Ngurumo: Rais Magufuli anatumia misingi mibovu iliyoachwa na Rais Mkapa

    Kazi kweli kweli,na ninachokiona kwa kamwe alitaondoka kwenye utumwa huu Mpya Wa Mtu mweusi ni wakati sasa taifa Hili liongzwe n.a. wa Tanzania wenye asili Ya watu weupe..
  5. J

    Wabunge CCM mnajifunza nini kwa hili alilofanya Lissu?

    Hapana umetutukana vibaya kiongzi..Sisi wanachama wa kawaida na viongzi tunafikiria vizuri ni tutofautishe siasa zetu na hutu..Nakubali na pia namuunga Mkono Lissu kwa kutunza maadili ya Kazi yake ya uwakili
  6. J

    North Korea Attempted Missle Launch Failed

    Hakuna uhakika wowote ule kuwa test yake ile imefailure kwasababu taarifa hizi zimetolewa na mashirika ya magharibi yenye propaganda za kutosha...credibilty ya taarifa hii kuwa zimefailure siyo ya uhakika kabsaaa,ulimwengu wa sasa ni vigumu vyombo vya habari vya magharibi ambazo nchi zao...
  7. J

    Hongera TISS kwa kazi nzuri ya kulinda na kudumisha amani ya Nchi yetu

    Sasa huo ndiyo uoga ambao nilikuwa nauzumgumzia..ebu nikihurize wazeee wetu akina nyereee waliopambania uhuru wetu wangekuwa na uoga kama wakwako huo leo hii situngekuwa bado ni watumwa wa wazungu wa Kiingereza..Vijana ni lazima mpiganie Maslai mapana ya uhuru wenu,Maendeleo yenu na Pia...
  8. J

    Hongera TISS kwa kazi nzuri ya kulinda na kudumisha amani ya Nchi yetu

    Asante..Na Amina mungu endelea kunibaliki nisiwe muonga
  9. J

    Hongera TISS kwa kazi nzuri ya kulinda na kudumisha amani ya Nchi yetu

    Duh we kijana unapovu limekukaba sanaa...sasa unakuwa muoga kama mbwa koko...acha woga kijana...
  10. J

    Msishangae kusikia waheshimiwa wameongezewa mishahara na marupurupu wakati wowote

    Dah wewe itakuwa ndiye mkimbizi..povuu limekutoka mkuu..tulia alfu jamba kidgo sikilizia arufu yake nazani akili yako itachangamka..Naona unapenda sanaa unafiki na kujipendekeza...hizi tabia sijui vijana wa ccm walizitoa wapi...
  11. J

    Hongera TISS kwa kazi nzuri ya kulinda na kudumisha amani ya Nchi yetu

    Ahahaha youth wa taifa ili...wanchekesha sanaa..wewe unambele wala nyuma,wewe maskini,baba yako na mama yako maskini,mjomba wako maskini,baba mkubwa wako maskini,ndgu zako wote maskini..Alafu bado unakuwa muongo...hahahah vijana wa kitanzania mnelogwa vibaya sanaa
  12. J

    Hongera TISS kwa kazi nzuri ya kulinda na kudumisha amani ya Nchi yetu

    ahahahah duh these people wanapewa order na nilisikia viapo vyao nikulinda taasisi ya ikulu na kiongzi wake..sooo they dont obey wananchi just the president.soo i hope what happen in a country wanajua ipasavyo...mwisho sijui malengo ya kuintimidate watu na viongzi ni kiachieve piece and...
  13. J

    Vipepeo Weusi: Mkakati Namba 0034 (Simulizi)

    The bold tusushie basi episode ya nne brother....we are waiting
  14. J

    Nilikupigania, nilikupenda, nikakuchagua na kukutetea ila sasa nimekuchukia zaidi ya Shetani!

    Duh jmaaa mimisimwelewi kabsaa...mwaka umeisha hakuna analofanya zaidi ya kupambana na uhuru wa kutoa maoni?kila siku eti tumuombeee tukuombee nini bwana yule...
  15. J

    Rais Magufuli, kuwapunguzia mshahara walio juu ili uwaongezee wa chini ni sawa, lakini...

    Dah kiongzi unanisikitisha na fikra hizo....umaskini ni zambi kubwa...unajua haya mh raisi anayosema siyo mapya ..kipindi cha ujamaa wa nyerere mishahara ilikuwa katibu kwa kiwango thawa utofauti ulikuwa mdogo sanaa..lakn ni katika kipindi hicho ambacho mashirika yote ya umma ya likufa na...
  16. J

    Rais Magufuli, kuwapunguzia mshahara walio juu ili uwaongezee wa chini ni sawa, lakini...

    Hivi kulipwa mshahara wa milioni 40 ni tatzo,yaani huo mshahara ulivyoukomalia utadhni huyo mtu akiachwa kulipwa mshahara huo basi matatzo yako ya kimaisha yataisha..come guy akuna tatzo la mtu kulipwa mshahara wa namna hiyo au hata kuzidi hiyo milioni 40,,Staili ya mtu inategemeana na aina ya...
  17. J

    Shirika kubwa NSSF, amekosekana mtu wa kumpromote ili awe Mkurugenzi hadi atoke nje?

    Kiongzi mleta hoja anahoja ya msingi zidi ya hizi teuzi anazofanya raisi hasahasa kwenye mashirika ya umma,hayo unayodai ni ya kulindana nadhni bado uelewi utendaji wa ndani wa mashirika haya,mimi sidhni watendaji wa mashirika yetu wote ni waovu na mafisadi nadhni tu nagenerize mambo tu..nahiona...
Back
Top Bottom