Je, ni kweli kwamba yule kada wa CCM anayehusishwa Kuhamia ACT ni huyu?

Huyu mtu ni muoga sanaa, na amezoea vya bure na vya kutafuniwa. Hivyo basi, mikiki mikiki ya upinzani hawezi kabisa, na akienda upinzani basi atarudi chama dola kabla hata uchaguzi wenyewe wa 2020 kwisha, maana haitokuwa uchaguzi, bali ni ujambazi.
Huwajui hata waoga,? MIMI NI ACTOR AND DIRECTOR Kwenye Siasa, Yaani HAKUNA mzazi hata mmoja amewahi hata kuwa mwenyekiti wa TAWI. WALA HAKUNA MZAZI KASOMA HATA SHUKE YA DARASA LA NNE. SIJAFIKA HAPA KWA KUBEBWA NA BABA WALA MJOMBA. WALA SIJARITHI JINA LA SIASA. Completely, A new person, unataka ujasiri gani zaidi ya KUTENGENEZA profile mwenyewe.
 
Mkuu vp Yule punda ulilipa fine?
 
Shida

Shida ya WATANZANIA wengi ni Ukiamini Jambo FULANI unajipa uhalali wa kuwa sahihi. Mimi si mmoja wapo wa wanaoamini kwa UPEPO.NASIMAMA KWA MIGUU YANGU NA NASIMAMIA NINACHOAMINI. TANGU MWANZO NILIAMINI NA HATA SASA NAAMINI CHAMA BORA NI CCM
 
Walijipanga nasi tunarudi Kujipanga. Nasi tutasajili veterans, inaonekana wanamatokeo😅😆😁😄😄😂🤣

Mtani Mheshimiwa mshauri Kiongozi mwenzio na Yanga ' lia lia ' mwenzako Mheshimiwa Naibu Waziri Antony Mavunde kuwa acheni kupoteza muda Wenu na Yanga kwani haitokua Kufikia Mafaniko ya Simba na mnapoteza tu muda Wenu Kuhangaika na Yanga yenu hiyo.
 
mimi mwenzio ni CCM kimwili tu lakini kiroho nshatoka huko kitambo.
si unaona hata madogo wa la 7 (Bashite & co) wanavyowaendesha puta huko utadhani mpo chekechea?
hadi mnachanganyikiwa picha za SGR ya Kenya mnazi-post eti ni za Tanzania!!
Shida ya WATANZANIA wengi ni Ukiamini Jambo FULANI unajipa uhalali wa kuwa sahihi. Mimi si mmoja wapo wa wanaoamini kwa UPEPO.NASIMAMA KWA MIGUU YANGU NA NASIMAMIA NINACHOAMINI. TANGU MWANZO NILIAMINI NA HATA SASA NAAMINI CHAMA BORA NI CCM
 
HAKUNA KITU KAMA HICHO. ANGALIENI NA AINA YA WATU WA KUHAMA ILI KUTENGENEZA UZUSHI COMRADES. UNAONGELEA MUFT KUOKOKA AKIWA MACA AU ASKOFU KUSLIMU AKIWA JERUSLM
Angalia bhana maana hizi taarifa zinaenea kwa kasi kubwa kweli, ushauri wangu, fanya upesi ucall for a press conference ukanushe haya. Kote mtaani ni gumzo tu kwamba unakihama chama na maandalizi yamekamilika.
 
HAKUNA KITU KAMA HICHO. ANGALIENI NA AINA YA WATU WA KUHAMA ILI KUTENGENEZA UZUSHI COMRADES. UNAONGELEA MUFT KUOKOKA AKIWA MACA AU ASKOFU KUSLIMU AKIWA JERUSLM😆😅😅😂😂😂

Mtani Mheshimiwa Kulikoni leo una majibu ya ' Kimtaa Mtaa / Kisela Sela ' sana. Vipi umetoka ' break ' kidogo hapo Bungeni Dodoma na labda umeanza kupata Moja Moto na Moja baridi? Nakukubali sana Mtani wangu sema tu Kipindi kile ulikuwa ukinikera pale tu ulipokuwa ukiutumia Uwaziri wako Kuzinemeesha ' Kiushindi ' Timu zako mbili ya Ukoo ya Singida United na ya Kurithishwa ya Yanga. Nasikia na Wewe ni Rais wa Klabu ya Singida United hivi ni kweli Mtani wangu?
 
Nipo Comrade.

Mtani Mheshimiwa eti kuna ukweli wowote kwamba umeamua ' Kujitokeza ' wazi wazi leo na ' Kuchangamana ' nasi hapa Jamvini JamiiForums kwakuwa kidogo upo huru na Yule unayemwogopa sana amesafiri asubuhi kwenda Afrika Kusini kisha atapitia na nchini Namibia ila akirejea tu basi na Wewe ' utatoweka ' na ' kuadimika ' hapa kawaida yako / yenu?
 
Huwajui hata waoga,? MIMI NI ACTOR AND DIRECTOR Kwenye Siasa, Yaani HAKUNA mzazi hata mmoja amewahi hata kuwa mwenyekiti wa TAWI. WALA HAKUNA MZAZI KASOMA HATA SHUKE YA DARASA LA NNE. SIJAFIKA HAPA KWA KUBEBWA NA BABA WALA MJOMBA. WALA SIJARITHI JINA LA SIASA. Completely, A new person, unataka ujasiri gani zaidi ya KUTENGENEZA profile mwenyewe.

Mtani Mheshimiwa uko tayari ' nimfowadie ' hiki Mwenyekiti Taifa na Katibu Mkuu wako ili nao wauone, waupime na waukubali huu ' Ujasiri ' wako wa ghafla hivi?
 
Shida
Shida ya WATANZANIA wengi ni Ukiamini Jambo FULANI unajipa uhalali wa kuwa sahihi. Mimi si mmoja wapo wa wanaoamini kwa UPEPO.NASIMAMA KWA MIGUU YANGU NA NASIMAMIA NINACHOAMINI. TANGU MWANZO NILIAMINI NA HATA SASA NAAMINI CHAMA BORA NI CCM

Kuna Mdau kakuuliza hapo kuhusu Punda wa Watu nakukumbusha tu kuwa bado hujamjibu Mtani Mheshimiwa.
 
  1. Ni Mchumi na ana Mafunzo mazuri tu ya Siasa
  2. Ni Msomi lakini anayepelekeshwa sana na Watu wengine ambao amewazidi mno Kielimu
  3. Hupenda Kucheka nje lakini Moyoni huwa anaonyesha ana Maumivu makubwa
  4. Yeye na Mr. Foka Foka Hasira wa Europe wanaongea Lugha moja ya Kikabila
  5. Ana Mahaba na Timu mbili Tanzania ile ya Bakuli Mbeleko FC na Nyumbani FC
  6. Anatokea Mkoa ambao una Wanawake Warembo ila ni Maji mara Moja Kubandulika
  7. Aliaminika ndani ya Wizara ‘ Muhimu ‘ japo hata huko nyuma alitumika Chamani
  8. Anatokea Mkoa ambao Ajali hazikauki na una Milima fulani maarufu hivi
  9. Akiwa Nyumbani Kwake mara nyingi huwa ni ' Bembeleza Wana ' kwa sana tu
  10. Ukimwona Yeye tu unaiona Tanzania kwa ujumla pamoja na rangi zake
  11. Mara nyingi akiwa anaongea huwa anakuwa mwangalifu mno na maneno yake
Nawasilisha.
Ujinga mtupu.

Kweli Tanzania tuna muda wa kuchezea. Si ungetaja tu jina.

Kwa watu sampuli yako Tanzania tuna safari ndefu sana ya kwenda.
 
Shida ya WATANZANIA wengi ni Ukiamini Jambo FULANI unajipa uhalali wa kuwa sahihi. Mimi si mmoja wapo wa wanaoamini kwa UPEPO.NASIMAMA KWA MIGUU YANGU NA NASIMAMIA NINACHOAMINI. TANGU MWANZO NILIAMINI NA HATA SASA NAAMINI CHAMA BORA NI CCM
Mkuu wafanye na watanzania wote waamini katika imani yako ya Chama bora!
Wengine hawaoni wala kujua hilo.
 
Shida
Shida ya WATANZANIA wengi ni Ukiamini Jambo FULANI unajipa uhalali wa kuwa sahihi. Mimi si mmoja wapo wa wanaoamini kwa UPEPO.NASIMAMA KWA MIGUU YANGU NA NASIMAMIA NINACHOAMINI. TANGU MWANZO NILIAMINI NA HATA SASA NAAMINI CHAMA BORA NI CCM
Ubora wa CCM ni upi??
 
Mtani Mheshimiwa eti kuna ukweli wowote kwamba umeamua ' Kujitokeza ' wazi wazi leo na ' Kuchangamana ' nasi hapa Jamvini JamiiForums kwakuwa kidogo upo huru na Yule unayemwogopa sana amesafiri asubuhi kwenda Afrika Kusini kisha atapitia na nchini Namibia ila akirejea tu basi na Wewe ' utatoweka ' na ' kuadimika ' hapa kawaida yako / yenu?
Wewe jamaa wewe kwa maswali hatari??
 
Huwajui hata waoga,? MIMI NI ACTOR AND DIRECTOR Kwenye Siasa, Yaani HAKUNA mzazi hata mmoja amewahi hata kuwa mwenyekiti wa TAWI. WALA HAKUNA MZAZI KASOMA HATA SHUKE YA DARASA LA NNE. SIJAFIKA HAPA KWA KUBEBWA NA BABA WALA MJOMBA. WALA SIJARITHI JINA LA SIASA. Completely, A new person, unataka ujasiri gani zaidi ya KUTENGENEZA profile mwenyewe.

Asante Mh. kwa majibu yako, ila hizo sifa zinazofanya mtu asiwe muoga kwenye siasa bado hazijanishawishi. Labda nikupe tafsiri yangu ya "mwanasiasa muoga" ndio labda tutaelewana vizuri. Mwanasiasa muoga ni yule anayekaa kimnya dhidi ya maovu ya kisiasa, kiuchumi, au kijamii kwenye nchi yake kwa lengo la kulinda maslahi yake binafsi, haswa cheo. Kwa maana hiyo, niliposema wewe "muoga", nilikumbuka zaidi kisa cha Ndugu yetu Tundu Lissu kupigwa risasi wakati wewe ukiwa ni waziri mwenye dhamana ya mambo ya ndani.

Katika sakata lile, mpaka leo serikali ya chama chako imeshindwa kuhakikisha uchunguzi wa kweli unafanyika, washambuliaji wanafahamika rasmi (sio kwa ushahidi wa kimazingira tu, ambao tayari una mashiko), na haki inatendeka kwa Lissu. Pamoja na danadana hizi, ilishindwa kuwajibika kama waziri kwa kuwa mstari wa mbele kuonyesha kwamba kile kitendo hakikubaliki kwenye nchi yetu, na ingebidi hata kujiuzuru kulinda heshma yako. Lakini, hukufanya hivyo, na yaliyotokea baadae hatuna haja kurudia. Pamoja na hayo, mpaka leo, bado kuna watu wamepotea (Azory, Saanane, nk) na wengine wanaendelea kutekwa na kupigwa (Mdude), lakini wewe upo kimnya, kwanini??

Mfano mdogo wa "ujasiri wa kisiasa" ni lile suala la Nape, ambaye mbali na mapungufu yake, alijaribu kulisimamia suala la uvamizi wa "Makonda" pale Clouds, ili haki itendeke. Matokeo yake alikuja "kutumbuliwa." Wewe hukutaka kutumbuliwa kwa sakata la ndugu yako Lissu. Hivyo basi, tunapozungumzia ujasiri wa kisiasa, tafadhali kuwa makini sana na hiyo mifano yako binafsi iliyokuwezesha kufika hapo ulipofika kwani sisi wananchi tunataka kujua zaidi kuhusu ulichofanya kwenye siasa kwa maslahi mapana ya jamii ya Mtanzania, je umefanya nini?? Kutuambia tu wewe ni "self-made politician," haitoshi. Asante.
 
Back
Top Bottom