Search results

  1. Moo Click

    HP LAPTOP FOR SALE

    HP ELITE BOOK G3 RAM: 8GB STORAGE: 250SSD PROCESSOR: Core i7 6gen 2.8Ghz TOUCH SCREEN 14" O.S : Windows 10 Location - DSM Price: 800k Still Working and in Good condition. Serious buyer call this number 0620444609
  2. Moo Click

    Interview BOT: Msaada Aptitude Test

    Wakuu habarini za Asubuhi na poleni na majukumu ya kila siku! Lengo la kuandika hapa nikuwaombeni mnisaidie aptitude test Benki Kuu ya Tanzania (BOT) huwa inakuaje? Au maswali yake huwa vipi? Maana nimeitwa kwenye interview, naombeni msaada nafasi ni HR. Naomba kuwasilisha.
  3. Moo Click

    Logistics and Operation Personnel is needed

    We are Urgently looking for the Logistics and Operations Personnel with the following characteristics. 1. Experience of atlist 2 years and above in logistics and operations or similar field 2. Age of alist 25 years and above 3. Preferably Bachelor degree or diploma level of education in...
  4. Moo Click

    Job Opportunity

    We are Currently looking for the Following Candidates. 1. Workshop & Production Manager An experienced Workshop manager is needed with minimum experience of 5 years or above in Production Industry specifically on Metals,Woods, and Paints works 2. Operation Manager An experienced Operation...
  5. Moo Click

    Employment opportunities

    We are looking for the following candidates. 1. ASSISTANT HUMAN RESOURCE OFFICER (female) A female HR Assistant with the Experience of mininum 2 years or above especially in Corporate and Administrative Affairs (prefarably). 2. FRONT DESK & OFFICE ADMINISTRATOR (female) A front desk and...
  6. Moo Click

    HR's na Lawyers hii imekaaje?

    Kuna mfanyakazi wa kampuni fulani aliwekwa kikao lengo ni kumpa Verbal Warning kwa misconducts alizo fanya. Kwa maelezo yaliyo toka kwa HR ni kwamba Ili kuweka mambo sawa kwa upande wa HR aliandaa document ya kuonyesha kuwa kikao kilifanyika lengo likiwa ni kumuonya mtuhumiwa kwa Verbal Warning...
  7. Moo Click

    Huu ni Ugonjwa au ni nini?

    Wakuu Salamu ziwafikie kokote mlipo. Kuna hii tabia mimi huwa sipendezwi nayo kwa Wadada. Unakuta uko na Mdada unaongea nae tu vitu vya msingi kabisa lakini yeye anakua anacheka cheka licha kuwa kweli ni mazungumzo na kuna kucheka kwa hapa na pale, lakini kwanini mnacheka chaka hovyo in between...
  8. Moo Click

    Magari mabovu Tandale

    Wana Jf ni matumaini yangu nyote humu mu wazima. Ninaomba kufahamishwa kwa wanao ifahamu njia ya ya sinza kijiweni kupita Tandale mpaka kawawa road kuna magari mengi sana ambayo ni kama yametelekezwa na yanazidi kuongezwa, mengi ni mabovu yamepata ajali na naona kila kukicha yanazidi kulundikwa...
  9. Moo Click

    Simu imeibwa

    Wandugu na JF Experts Poleni na Majukumu mchaka mchaka ndo uo kila siku ni Kuhangaika...salamu kwenu nyote Okay ni Hivi Nauliza kuna Namna yoyote inaweza fanyika kwa simu iliyo ibiwa ikapatikana? Nilisha wai sikia kuhusu TCRA na Polisi huku nako kuna uhafadhali kweli?..na Taratibu zao zipoje...
  10. Moo Click

    Ungefanya nini kama hii ingekutokea wewe?

    Umemkopesha rafiki yako wa karibu Tshs 400,000 mwaka jana, lakini tokea wakati huo amekuwa mgumu kulipa deni hilo, kitu kilichochangia kudorora kwa urafiki wenu. Unamuomba akulipe basi walau Tshs 200,000 tu alafu umsamehe hiyo nyingine kwakuwa kwa sasa una ukata na matatizo na una uhitaji na...
  11. Moo Click

    Chanjo ya Corona kufanyikia majaribio Afrika

    Nimekutana na Hii kitu mahala nikaona nilete kwa Ma GT Je kuna Ukweli wa hili jambo? kama Lipo hawa sio watu wazuri nna Mashaka nao..Tukae kwa Tahadhari Wananzengo CHANJO YA CORONA KUFANYIWA MAJARIBIO AFRICA Umoja wa Mataifa umedhamiria kuifanyia majaribio Chanjo dhidi ya virusi vya Corona...
  12. Moo Click

    Naomba kujuzwa machimbo ya Laptop

    Niende moja kwa Moja kwenye Mada. Nipo Dar naulizia wale wajuvi wa machimbo ya Laptop za Kazi kama za Rendering na Matumizi ya Graphics aje apa atuelekeze yanapo patikana na ikiwezekana na Bei zao. Naimani humu kuna watu ni wajuaji wa hayo Maeneo Basi Nawakaribisha.
  13. Moo Click

    Dah! Wakuu, nahisi nimegongewa

    Ee bhana nikiri ukweli tu hapa naona kila dalili za kugongewa! Huyu dem nilikutana nae Kilakala Sekondary kipindi nikiwa kidato cha Nne na yeye akiwa kidato cha nne Bythat time nilikua Seminary moja ivi Famous Pale Morogoro basi bhana honestly yule dogo naweza nikasema ndo msichana wa kwanza...
  14. Moo Click

    Naomba ushauri wa Lapotop itakayofaa kwa kazi hizi

    Poleni na Majukumu wataalamu nina ka inshu apa naomba kushare na nyie nikiamini humu kuna wataalam zaidi wenye weledi tofauti tofauti. Naomba mnisaidie hii PC itaweza kazi za Graphics even for Motion kama itafaa. Maana nasikia AMD siku izi hawafanyi kazi tena na intel sasa my problem is iyo...
  15. Moo Click

    Naomba ufafanuzi wa majibu haya ya STD na HIV

    Habarini wakuu kuna Shemeji/Wifi yenu nimemtuma akachukue Vipimo eti kaniletea hii karatasi ya Majibu Hivi haya ndo majibu yake nayatolewa kwa style hii? Maana mimi najuaga lazima iwe Ile karatasi inayo onyesha kama ni HIV inawekwa + or - na vivyo hivyo kwa Magonjwa Mengine embu angalieni hii...
  16. Moo Click

    Kenyans dah but why?..[emoji23]

    Ivi kwa nini lakini
  17. Moo Click

    Baba na mwana

    Apo vipi?
  18. Moo Click

    Lil Wayne hali ni tete...

    Kwa wanao mfahamu huyu msanii ni moja kati ya wasanii walio chora tatoo nyingi sana mwilini mwake. Haya sasa inasemekana zimeanza kumpa shida anatia huruma. Aisee acheni kabisa.
  19. Moo Click

    Vodacom siwaelewi jamani

    Leo saa nane na dakika tisa nimepokea ujumbe kutoka Mpesa wakiniambia ombi langu la Open FI Account limepokelewa nitapewa mrejesho Pindi akaunti husika itakapo funguliwa. Wana Jf mimi sijajiunga na wala sijaomba chochote kuhusu Mpesa yangu zaidi ya kufanya miamala midogo midogo ya hapa na pale...
  20. Moo Click

    Tapeli yamtokea puani, tumbo lajaa maji

    Wale matapeli mje mjifunze kwa mwenzenu yamemkuta ya kumkuta na wewe ulie fanya hii msaidie mwenzio acha roho mbaya..[emoji23][emoji23] Za mwizi ni 40 hatimaye
Back
Top Bottom