Magari mabovu Tandale

Moo Click

JF-Expert Member
Feb 18, 2015
3,496
3,233
Wana Jf ni matumaini yangu nyote humu mu wazima. Ninaomba kufahamishwa kwa wanao ifahamu njia ya ya sinza kijiweni kupita Tandale mpaka kawawa road kuna magari mengi sana ambayo ni kama yametelekezwa na yanazidi kuongezwa, mengi ni mabovu yamepata ajali na naona kila kukicha yanazidi kulundikwa. Mengine ni 90% bado mazima kama last week nimeona kuna Prado TX nyeupe na Land Cruiser G100 zimeongezwa kwenye list.

sasa kwa Muda mrefu sana kuna maswali nimekua nikijiuliza sasa ningependa kufamishwa.

1. Je, ni nani ana husika nayo moja kwa moja maana kuna mengine naona bado yanafaa kwa spare parts

2. Je, kuna utaratibu wowote ule endapo mtu atataka kujing'olea spares maana ni kama yametelekezwa.

3. Ni kwa nini yanatelekezwa eneo kama lile lisilo rasmi maana ni pembezoni mwa barabara kabisa.

Naomba kuwasilsha.
 
Hayo magari yamenunuliwa yaliyopata ajali Kwa ajili ya kukatwa katwa kama spare mjini tunaita kuchinja gari.

Usithubutu kwenda kuchukua chochote wajomba watakupiga kama paka aliyekula mboga ya masela ghetto.

Kama umependa gari kanunue body kisha utatafutiwa kadi na hao na hiyo gari itafufuliwa na kuwa kamili.
 
Yaan uende chimbo la spare..au hujui tandale ni famous kwa spea za bei rahis...biashara za watu hzo ..nishanunua noz cut matata sana hapo. Ilikua mpya kabisa.gari namba DN ilipata ajali
 
Samahani wakuu, naona watu mnajadili hii mada kana kwamba kila mmoja anaijua hiyo mitaa mtambuka eehhh....
 
Back
Top Bottom