Search results

  1. georgerweba

    Natafuta duka wanalouza vifaa vya stationery vya jumla

    Habari wadau naomba kuuliza kwa anayefahamu mahali wanapouza vifaa vya stationery vya jumla kwa bei nafuu Dar-es-salaam. Natanguliza shukrani
  2. georgerweba

    naomba ushauri wenu mkopo muhas

    bodi ya mikopo
  3. georgerweba

    Naombeni msaada laptop inadisplay msg

    Jamani naombeni msaada wenu laptop yangu ilikua na tatizo la display nilimpelekea fundi lakini amenirudishia ikiwa mbovu zaidi inadisplay msg inayosema UNSUPPORTED WIRELESS NETWORK DEVICE DETECTED. alaf chini yake inaandika SYSTEM HALTED.REMOVE DEVICE AND RESTART. naomba msaada wenu nifanyeje...
  4. georgerweba

    Itv kunani kanda ya kaskazini?

    Ni miezi mitatu tangu ITV/RADIO ONE watoe matangazo kwamba hawatakuwepo hewani kwa muda mfupi,lakini cha ajabu ni kwamba mpaka sasa hawajarudisha matangazo yao, ajabu zaidi nikua tulikua tunawapata kwenye dish lakini ilifika wakati matangazo yao yakapotea pia.Jambo linalosikitisha nikua...
  5. georgerweba

    Selection ya Mzumbe Undergraduate,Diploma na certificate Hii hapa in form of PDF

    Selection Ya wanafunzi waliochaguliwa kujiunga na Mzumbewww.mzumbe.ac.tz/candidates.htm
  6. georgerweba

    Idm 605 serial number msaada

    Naomba Msaada wa code za IDM 605 kwa mtu mwenye nazo,NIlikua natumia trial version lakini muda wake umeisha na nimeipenda sana hii Software,Natanguliza shukrani kwenu wana Jf...
  7. georgerweba

    Ubuntu inanisumbua ........gnome

    salaam kwenu wakubwa wana JF Naomba msaada wenu nilikua natumia UBUNTU latest version lakini ilinishinda kitu kimoja,kuna mida ukifungua kwenye kuingiza password inagoma alafu inaandika kuna tatizo la GNOME nainakataa kufunguka kabisa imesababisha niFORMAT Machine twice,Sahivi natumia W7,what is...
Back
Top Bottom