Search results

  1. J

    Neno la mungu kwa chama tawala ccm

    1Sam 13:14: "Lakini sasa ufalme wako hautadumu; Bwana amejitafutia mtu aupendezaye moyo wake, naye Bwana amemwamuru yeye kuwa mkuu juu ya watu wake, kwa sababu wewe hukulishika neno lile Bwana alilokuamuru."
  2. J

    Picha zilizofunika mikutano ya UKAWA

    Tupia neno...
  3. J

    Asali mbichi inauzwa

    Napenda kuwajulisha kwamba asali mbichi kutoka mkoa wa Katavi inapatikana kwa wingi, bei ni Tsh 200,000/- kwa lita 20. Inauzwa kwa jumla na bei inazungumzika. Kwa anayehitaji tafadhali ni-pm. Nawasilisha.
  4. J

    Online jobs

    Bandugu naomba yeyote anayejua au aliyewahi kufanya/kujaribu kazi online anisaidie. Kazi kama "online writing jobs", au " paid social media jobs" . Je ni kazi za kweli au utapeli? I submit.
  5. J

    Natafuta kazi

    Natafuta kazi inayohusiana na masuala ya mazingira, ecology, tourism and the like. Nina diploma ya usimamizi wa wanyamapori. Mwenye taarifa naomba msaada.
  6. J

    Bei za madini ya vito hapa Tanzania

    Naomba msaada wa taarifa kwa anayejua bei za madini yafuatayo ya vito kwenye soko la hapa nchini tanzania. Nahitaji bei za Emarald, Blue sapphire, green tourmaline, Aguamarine, Zircon, Red garnet, Green garnet, Black tourmaline, Amethyst na Rhodolite.
  7. J

    Elections 2010 Majimbo ambayo upinzani umezulumiwa waziwazi

    Yafuatayo ni majimbo ambayo dalili zinaonyesha kuwa matokeo yamechakachuliwa ili kuipa CCM ushindi ingawa wapinzani walishinda; 1. Shinyanga mjini 2. Sumbawanga mjini 3. Mbozi Magharibi 4. Bukoba mjini 5. Tandahimba 6. Karagwe 7. Kigoma mjini 8. Kilombero 9. Segerea 10.Geita 11.Kibaha mjini...
  8. J

    Je, kuna dawa ya kusafisha na kutibu meno yaliyooza?

    Meno yangu mengi yana rangi ya kahawia na baadhi yametoboka toboka. Ingawa najitahidi kudumisha usafi wa kinywa kwa kutumia dawa za kawaida za meno inaelekea yanaendelea kutoboka, kumeguka na kuvunjika. Naomba yeyote mwenye ujuzi anisaidie kujua dawa itakayoweza kutakatisha na kutibu meno...
  9. J

    Elections 2010 CHADEMA itoe feedback kuhusu michango kwa ajili ya kampeni

    Mpango wa kuchangia ni mzuri. Naomba Chadema iwe wazi kujulisha wapenzi wake kuwa imepata michango kiasi gani mpaka sasa na michango hiyo imesaidiaje kwenye kampeni zinazoendelea. Hilo linaweza kuwapa moyo zaidi wapenzi watakapotambua kwamba michango yao kidogo kidogo ina manufaa makubwa.
  10. J

    Nataka kusoma digrii online

    Habari wana JF, Tafadhali naomba yeyote mwenye ufahamu huo anisaidie kwa kunijulisha taasisi za elimu zinazoaminika ambapo naweza kujiunga na kusoma kozi niitakayo online. interest yangu ni kwenye masuala ya sheria,mazingira,mipango na uchumi.
  11. J

    Nimeingia bila kubisha hodi.

    tusaidiane. tukaribishane. wasalaam
Back
Top Bottom