Bei za madini ya vito hapa Tanzania

JIWE2

Senior Member
Sep 17, 2010
125
18
Naomba msaada wa taarifa kwa anayejua bei za madini yafuatayo ya vito kwenye soko la hapa nchini tanzania. Nahitaji bei za Emarald, Blue sapphire, green tourmaline, Aguamarine, Zircon, Red garnet, Green garnet, Black tourmaline, Amethyst na Rhodolite.
 
Dhahabu kuna ambayo haijasafishwa na ambayo imesafishwa...zinauzwa kwa tora tengemeana na upande uliko...pande za tarime,geita,kahama (Tulawaka....).....sema wataka dhahabu ya wapi!!
 
dhahabu kuna ambayo haijasafishwa na ambayo imesafishwa...zinauzwa kwa tora tengemeana na upande uliko...pande za tarime,geita,kahama (tulawaka....).....sema wataka dhahabu ya wapi!!
mkuu dhahabu haiko kwenye kundi la vito vito ni madini yote yanayochimbwa na kuuzwa direct bila kuyaprocess kama almasi tanzanite tomaring na jamii za hayo.samahani ni kuelimishana tu na siyo kusutana.
 
Nahitaji bei za Emarald, Blue sapphire, green tourmaline, Aguamarine, Zircon, Red garnet, Green garnet, Black tourmaline, Amethyst na Rhodolite.
 
Haya haya Wana JF,

Kuna mtu anaweza kunipa bei ya dhahabu ilivyo kwa sasa hapo Mwanza au sehemu za karibu na machimbo?

Hiki kipimo TORA ndiyo kinaitwaje kwa Kiingereza na uzito wake kwa grams ukoje?

Vipi masharti ya Export yakoje? Au kibali cha biashara ya dhahabu kwa ujumla ukoje?
Buswelu na wengine saidieni maana kuna mshikaji alikuwa ameniulizia na mie sina mwanga.
 
Last edited by a moderator:
hellow
napenda kujua bei va madini haya
blue saffier
green tomarin
red gainet
road lite
vovyote ilivyo naomba kufaham bei either safi au haijasafishwa bei zake kwa hapa tanzania ni kiasi gani?
 
hellow
napenda kujua bei va madini haya
blue saffier
green tomarin
red gainet
road lite
vovyote ilivyo naomba kufaham bei either safi au haijasafishwa bei zake kwa hapa tanzania ni kiasi gani?
inategemea na quality kuna za kilo kuna za gram sasa sijui unaulizia kivipi
 
Back
Top Bottom