Search results

  1. melxkb

    "...Mwisho wa UONGO ni AIBU!" - Ni Kweli Nape na UONGO Mwingine huo hapo - miezi 3 bado tu...?

    Mmeulizwa Gamba limefika wapi? Wala huko juu hakuna hoja yoyote uliyoeleza, Gamba, Gamba limefika wapi au ndo limegoma kutoka ndo hasira hizo zinawatuma kulipua mabomu na risasi kuwachinja watanzania ili mwendelee kutawala. SUBIRINI TU, WALA HAMTABAKI SALAMA, UKO WAKATI MTALIA ZAIDI YA WALE...
  2. melxkb

    HIZO KAULI ZAO: Tulilaan, Tukapinga na Kuunga mkono na kupongeza Jitihada za Kuwashitaki - TUKABEZWA

    WATAFAKARI...!! Labda watakusikia leo, sijui wamefanywaje akilini kiasi kwamba hata ukiwaambia saa hizi ni nne asubuhi watabisha na kukwambia ni usiku wa manane. Hawa jamaa nilishashindwa kuwaelewa, wana nini kinachowapofusha hivyo!! SIELEWI
  3. melxkb

    "...Mwisho wa UONGO ni AIBU!" - Ni Kweli Nape na UONGO Mwingine huo hapo - miezi 3 bado tu...?

    Huyu dada ni kama ameathirika kisaikolojia, anahitaji kupata ushauri nasaha maana inavyoonekana alikuwa anamzimia Dr. ila alipoona Josephine kasha kalia kiti ndo akawa na bifu. Yeye hoja yake huwa ni Dr. na Josephine, Dr. kuasi kanisa baaasi hapo tu hata ulete hoja ipi yeye kama hajawaza...
  4. melxkb

    HIZO KAULI ZAO: Tulilaan, Tukapinga na Kuunga mkono na kupongeza Jitihada za Kuwashitaki - TUKABEZWA

    J.W. Mawlicela, Mwigulu, Nape na Pinda bila shaka watajitokeza na kuilaani CDM kama mtuhumiwa namba moja. Lakini hapa Nape humwoni kwenye hili, ila kesho unaweza kusikia ameibukia kwenye magazeti ya Jamhuri na habari leo akiitaka Serikali kuchunguza na kuchukua hatua kwa wote waliohusika.
  5. melxkb

    Hii si hali ya kawaida, bila shaka serikali inajua siri ya haya

    Mmmhhhmmmm!! Labda unaweza kutokea muujiza siku za mbeleni akili ikawaingia wakajitambua na kuiona hatari iliyoko mbele yao...lakini sidhani kama hilo linaweza kutokea. Nape, Mwigulu, makinda, Ndungai...............nk, aaaaaaa!! sio rahisi kutu ya ujinga huu niuonao kuwatoka hata waionje nyama...
  6. melxkb

    Zanzibar: Padri auawa kwa kupigwa Risasi!

    Sijakuelewa ebu fafanua, kwa hiyo wewe ndo umetumwa kuthibitisha kwamba Padri ameuawa na waislamu au unataka kusema nini??
  7. melxkb

    Vita ya Lissu, Ndugai yakolea

    Asante kwa link lakini naomba uwe mwangalifu kabla ya kufanya conlusion, hapana popote pale ambapo pamethibitika kwamba ni waislam au wakristo au magaidi au watu binafsi au kikundi fulani ndo kimehusika na mauaji ya huyu kasisi. Ebu tujaribu kutafakari mambo na kutafiti kujua ukweli halisia...
  8. melxkb

    Campaign: "Tanzania imara" ndio imani na dini niipendayo, ukiniunga mkono wewe ni rafiki mwema

    What a c.rap....!! Na mimi ngoja nikuzomee kwanza, Hiloooooo...!! Hilooooo......! Halijitambui hiloooooo....!! Kwani umeambiwa Ikulu ni Parokiani, CDM imeundwa na wanachama makini wenye dini na imani zao na wasio na dini pia wote ni wanachama au wafuasi wa CDM, hoja yao kuu ni ujenzi wa Taifa...
  9. melxkb

    Campaign: "Tanzania imara" ndio imani na dini niipendayo, ukiniunga mkono wewe ni rafiki mwema

    Mzee, Uko huru kufikiri...?? Don't think. Kama haujanielewa hautanielewa ....... tatizo ulilo nalo ni kubwa mno kwa sababu nimengudua unaenda kwa hisia za dini na mimi naenda kwa tafakuri ya hoja ..... hapo ni ngumu kunielewa.....hasa pale ambapo hisia supersedes akili ya mtu - ndo ghafula mtu...
  10. melxkb

    Campaign: "Tanzania imara" ndio imani na dini niipendayo, ukiniunga mkono wewe ni rafiki mwema

    Asante kwa hoja nzuri japo kidogo una jaziba kweli kweli. Ila nashindwa kuelewa unachotaka kueleza ni nini?? Kwamba mtu akiwa skhehe, askofu, padri, mchungaji, Imam n.k. ndo anakuwa na hisia za udini..?? Sikuwaona mashehe, wachungaji, mapadri n.k. wakipigana na kuuana huko buseresere, pia...
  11. melxkb

    Campaign: "Tanzania imara" ndio imani na dini niipendayo, ukiniunga mkono wewe ni rafiki mwema

    Kama angalau tungewapata Watanzania mahiri 50 tu wenye fikra pevu kama huyu mzee, hii nchi ingekuwa mbali sana na hakika Elimu, Afya, Miundombinu, Nishati, Rasilimali n.k. vingeimarika sana na kuwastawisha Watanzania lakini wengi wako kwenye siasa za maji taka na kwa bahati mbaya sana Watanzania...
  12. melxkb

    UDOM HALI NI TETE! Waziri mkuu na Rais wa Nchi njoo UDOM.

    Nilitegemea kama wewe ni mwanachuo uweze kuwa na slightly long sighted understanding ili uweze kuona tofauti kubwa kati ya wajibu CDM na CCM wanapokuja hapo chuoni kwenu. Mmoja wajibu wake ni kupambana kuleta mabadiliko chanya, mwingine tumempa nyenzo atekeleze program ya maendeleo ikiwemo na...
  13. melxkb

    UDOM HALI NI TETE! Waziri mkuu na Rais wa Nchi njoo UDOM.

    Please, try to liven up your mind and senses - you seem dead.
  14. melxkb

    Heri ya mwaka mpya 2013! Nawashukuru, Nawaomba radhi!

    Ndg ZZ Kabwe, Asante sana kwa kutupa furaha na amani kwa mananeno machache yenye ujumbe mzito. Hakika ni faraja kwetu wote wapenda mabadiliko hasa wana-CHADEMA, nakuomba sana ujitahidi kujitambua nafasi yako uliyo nayo hasa katika kuhakikisha ustawi wa CHADEMA ambacho hakika ni chama mbadala...
  15. melxkb

    Operesheni tokomeza CCM kabisa ndani ya Babati

    asante sana wazalendo, tuko pamoja katika hii vita ya kulitupilia mbali hili jangili - ccm, lakini tuko na mungu tutashinda, inshallah.
  16. melxkb

    Obama atokwa machozi hadharani

    ...wewe ndo bado kabisa na sio Wtz, fatilia ujue issue ya kulia kwa pinda ilisababishwa na nini??
  17. melxkb

    Obama atokwa machozi hadharani

    Wewe ndo unashindwa kutofautisha mambo, Pinda alitokwa machozi kwa kutuhumiwa kuvunja katiba na akatakiwa ajieleze mbele ya bunge ni kwa nini asiwajibike - badala ya kujieleza akalia ili ahurumiwe na kweli soo ikawa imeishia hapo akahurumiwa, sas hii wewe unaihusanishaje na Obama kama mtoa...
  18. melxkb

    KASI YA KUKUA KWA CDM NA KUPOROMOKA KWA CCM: Tathimini Ya Matokeo Ya Uchaguzi Uliopita Wa Kata 29..!

    Jipime katika maelezo yako uamue mwenyewe kama yana mantiki na faida ya uwepo wako kwa jamii ya Tanzania kama una-matter sana, ni hilo tu.
  19. melxkb

    'Akina Mzee Mwanakijiji' ni wavivu kufikiri

    Mmmmmmm!! Samahani naomba kujua kama kuna Mzee Mwanakijiji zaidi ya mmoja humu, maana nimeshutushwa na hii comment kama kweli ni ya Mwanakijiji niliyemzoea kama mwelimishaji, mchambuzi mwenye busara kabisa katika kujega mstakabari wa jamii yetu, bado siamini kama ndo ameandika mwenyewe hii...
  20. melxkb

    KASI YA KUKUA KWA CDM NA KUPOROMOKA KWA CCM: Tathimini Ya Matokeo Ya Uchaguzi Uliopita Wa Kata 29..!

    Nafikiri ni vyema ukasoma na kuelewa vizuri mleta mada alichoandika....kwa kukusaidia amesema bado anaendele kufuatilia kwa kata zingine sasa sijui hapo unataka nini zaidi kama wewe una tofauti na alichoweka mpinge kwa data si kulalamika...!!
Back
Top Bottom