Mu-Israeli
JF-Expert Member
- Mar 21, 2012
- 2,454
- 975
Acha kuwa mnafiki hapo Tanzania kuna wengi wanafanya mambo mengi kinyume na ukristo wapo wachungaji wengi tu wanatumia makanisa yao kujineemesha kimaisha na kuwaacha waaumini wao masikini ungeanza nao hao kabla ya kumjadili Obama; kumbuka Obama halitimikii kanisa anawatumikia wamerekani anachofuata ni katiba yao na sio Biblia.
Chama
Gongo la mboto DSM
Hivi siku moja Obama akitetea madawa ya kulevya utamuunga mkono ??
Mambo haya yanaaza kidogo-kidogo ......
Walianza na utoaji mimba, sasa wamekuja na ushoga !!! Who knows what is next ?? Drugs (cocaine, heroine, etc) ???
Kiongozi wa nchi lazima awe wa kwanza kukemea uovu.
Kiongozi akikumbatia ouvu, nchi yote itapotea.
Angalia Tanzania, viongozi wanakumbatia ufisadi, unaona matokeo yake ??
Sasa imagine viongozi Tanzania wakikumbatia ushoga itakuwaje ???
Obama kapotoka.
Kapotoka kwa makusidi kabisa ili tu apate urais mwaka 2012.
Nasema kapotoka kwa sababu hakuwa hivi alivyo mwaka 2008 !!
Mwaka 2008 Obama alikua saaafi kabisa, mbali ma ushoga, mbali kabisa na utoaji mimba !!!!