Makamanda tuko ndani ya Babati ktk operesheni maalumu ya kuakikisha hakuna ata mabaki ya magamba ndani ya Babati,Leo tumefanya mikutano mitano ktkt kata tofauti,Bonga,Nakwa,Mutuka,Ayasanda na Sigino na tumefanikiwa kuvua Magamba 1500 kesho tutakua na mkutano mkubwa wa hadhara Babati mjini kuanzia saa 9 mchana Tukiongozwa na kamanda wa Anga Freeman Mbowe ,Halima Mdee ,Paulina Gekul ,Cecil Pareso ,Rose Kamil ,Noel olevaroya , na Magoma jr Magoma na makamanda wa Babati na Bavicha Arusha