Search results

  1. St. Paka Mweusi

    Mke anamnyima mumewe tendo la ndoa, nini kifanyike?

    Habarini wajukuu wema na wabaya. Nimeletewa mashitaka na huyu kijana mwenye ndoa ya miaka mitano sasa. Anasema alitahadharishwa na watu kuwa unaoa dada wa Kilimanjaro, jiandae kwenda kunyimwa tendo la ndoa, hakuwasikiliza. Sasa yamemfika. Anadai kuwa wanaweza kukaa hata miezi sita bila...
  2. St. Paka Mweusi

    Tunachekwa, kwa jinsi tulivyokuwa miaka mitano iliyopita na miaka ya sasa

    Habari hii nimeikopi sehemu.. TUNACHEKWA NA DUNIA NZIMA!! Tumekuwa kicheko cha Dunia. Tunachekwa na kila mtu mwenye akili timamu kwa sababu sisi wenyewe tunachekesha. Piga picha unamsimulia mtu mwenye akili timamu habari zifuatazo; 1. Miaka mitano nyuma nchi ilikuwa na umeme wa uhakika...
  3. St. Paka Mweusi

    Kama tunaweza kuwalipa waliofukuzwa kazi kwa kuwa na vyeti feki, basi tuwalipe na wazee wetu wa Jumuiya ya Afrika Mashariki stahiki zao

    Natanguliza salamu, Jumuiya ya Afrika ya Mashariki iliundwa mwaka 1967 na kuvunjika mwaka 1977. Baada ya kuvunjika Jumuiya hii, Serikali ya Uingereza ilitoa fedha kwa ajili ya kuwalipa pensheni zao wafanyakazi wa iliyokuwa Jumuiya hiyo. Wafanyakazi wa Kenya na Uganda walilipwa pesa zao. Hapa...
  4. St. Paka Mweusi

    Barabara ya Kimara mpaka Kibaha itazamwe upya, vifo vya watu kutokana na kugongwa na magari vimekuwa vingi sana

    Naanza kwa kuwasalimia wakuu. Hapa ntaongelea matukio mawili niliyoyashuhudia kwa macho yangu.. Pia ntaongelea matukio machache niliyoyasikia. Mwezi mmoja uliopita mida ya saa 11 alfajiri nikiwa napita maeneo ya Mbezi mwisho jirani na stendi ya mabasi ya Magufuli nilishuhudia mwili wa mwanamke...
  5. St. Paka Mweusi

    TARURA watu wenu wa ushuru wa parking wameacha kutoa risiti

    Unaweza kushangaa kwa nini nimepost hapa kwenye jukwaa la siasa.. Lakini huu ni uhujumu uchumi.. Juzi nikiwa Mwenge sokoni mtu wa parking alinielekeza vizuri sehemu ya kupaki gari. Nikapaki nikafanya ghughuli iliyonipeleka ndani ya dakika ishirini nikawa nimemaliza naondoka. Jamaa akaja na...
  6. St. Paka Mweusi

    Ni yupi aliyebakiza kumbukumbu ya kudumu katika suala la mahusiano?

    Katika suala zima la mahusiano na mapenzi watu wanatofautiana. Tofauti hizi huacha kumbukumbu nzuri za kudumu na wakati mwingine majuto ya kudumu. Binafsi nishakutana na wengi. Yupo anayeongoza kwa usafi wa mwili. Yupo mtoto wa kindendeule aliyempindua mtoto wa kifipa kwa uzungushaji wa...
  7. St. Paka Mweusi

    Tanzania mbili tofauti..

    Kwa muda wa takribani wiki tatu nimekuwa nje ya mtandao wa jamii forums. Niliamua kujiweka pembeni ya JF ili nifanye kautafiti kangu binafsi..Nilichogundua ni kuwa kwa sasa tuna Tanzania mbili tofauti. Tuna Tanzania halisi na Tanzania dhahania. Tanzania halisi ni ile niliyoishuhudia ambapo...
  8. St. Paka Mweusi

    Nyumba zinapangishwa.

    Nyumba zipo Kinyerezi kwa makofia umbali wa mita 200 toka barabara ya lami. Zipo ndani ya uzio mmoja na kila nyumba ina sebule na vyumba viwili. Chumba kimoja ni master bedroom na kuna public toilet na jiko kubwa. Umeme na maji ni vya uhakika. Usalama was kutosha. Bei ni Tshs 500,000/- kwa mwezi...
  9. St. Paka Mweusi

    Nimekumis mnato.

    Mara ya mwisho nilikutana nawe mwaka 1994. Toka kipindi hicho mnato nimekutafuta katika mabara yote ya dunia hii, sikubahatika kakutana nawe. Mnato ulikua umebebwa na binti aitwae Victoria. Ulikuwa mnato kweli, mwanzo hadi mwisho. Lakini tokea wakati huo sijakutana nawe tenaa. Kila ninapodhani...
  10. St. Paka Mweusi

    Uchaguzi 2020 Naomba nije kivingine kuhusu Tundu Lissu

    Lengo langu ni kujaribu kuangalia raslimali watu aliyonayo mheshimiwa Lissu katika kuunda serikali yake pale atakapochaguliwa kuongoza Taifa. Tukumbuke kuwa hataongoza peke yake na lazima atahitaji wasaidizi. Tuanze na baraza lake la mawaziri. 1:Rais - Tundu Lissu. 2:Waziri Mkuu - Freeman...
  11. St. Paka Mweusi

    Balozi Ali Karume ampasha mpwa wake Fatma Karume

    Msikilize hapa..
  12. St. Paka Mweusi

    Tunakodisha Sound system na kutoa huduma ya uongozaji sherehe (MC)

    Hii ni kwa shughuli za harusi, send off, birthdays kipaimara ubatizo,mahafali pamoja na shughuli zote zinazohitaji vipaza sauti.. Contact 0657279927/0767683094..
  13. St. Paka Mweusi

    Ulichukua hatua gani ulipogundua kuwa mwenza wako kakuambukiza gonjwa la zinaa?

    Mara nyingi tunaambukizwa na wale tunaowapenda na kuwaamini kupita kiasi. Ni nadra sana kupata gonjwa la zinaa pale unaposema napita tu. Magonjwa ya zinaa yapo mengi sana. Yanayotibika na hili baba lao lisilotibika. Sasa wewe great thinker mwenzangu, ulichukua hatua gani ulipogundua kuwa mwenzi...
  14. St. Paka Mweusi

    Maswali mengine dah!!

    Ni baada ya mechi kukolea mpaka uwanja ukakauka Nikatoa pendekezo, paka mate basi iteleze. Naye bila hiyana akaniuliza nipake wapi sasa mbele au nyuma?? Msukuma nikashindwa kuelewa. Hivi hawa watu wanatufikiriaje wanapotuangalia? Wanadhani kila mwanaume anapenda kuzibua??
  15. St. Paka Mweusi

    Kushindwa kusimika. Ilishawahi kukutokea? Nini kinasababisha?

    Nataka nianze kwa kusema kuwa mimi ni mzima kabisa. Na kama kungekua na dawa ya kupunguza nguvu za kiume ningetumia. Maana katika utu uzima huu wa 45+ bado nina uwezo wa kukimbia hata round tisa. Shida ni kuwa kama miezi miwili iliyopita niliokota kamchepuko sehemu. Cha kushangaza ni kuwa...
  16. St. Paka Mweusi

    Nani huumizwa zaidi kimapenzi kati ya mwanaume na mwanamke?

    Kama mada inavyojieleza. Sote huwa tunaumia tunaposalitiwa na wapenzi wetu. Utakuta nimemgharimia kumsomesha, kumsubiri amalize masomo na kuhakikisha anaishi bila ya matatizo. Anapomaliza bila aibu ananiambia wewe sio type yangu wala hukuwa chaguo langu .Kama gharama sema ni kiasi gani...
  17. St. Paka Mweusi

    Ni kwanini wanawake wanakuwa na wivu??

    Albert Einstein alipata kusema kuwa "If you want to understand life,look deep into nature" Sasa unapoangalia katika viumbe hai wote hakuna kiumbe jike hata mmoja mwenye wivu. Wivu wa wanawake hawa unatoka wapi. Wanalinda nini? Kimsingi wivu wa mwanaume unasababishwa na asili ya kila mwanaume...
  18. St. Paka Mweusi

    Tetesi: Kuonekana kwa Paka wakubwa mijini. (Big cats sightings in urban areas)

    Nawasalimu kwa heshima na taadhima wakuu. Alfajiri ya leo mida ya saa kumi na nusu nilitoka ili nifanye mazoezi ya kukimbia kwa nusu saa. Kilichonishangaza ni kuona mgongo wa mnyama mkubwa kuliko mbwa na anamkaribia simba akitembea katika majani marefu. Sikuweza kuona kichwa chake wala mwisho wa...
  19. St. Paka Mweusi

    Muwe mnatuacha tufanye kazi yetu kwa uhuru. Hamtalalamika.

    Nashangaa simu inaita. Namba ngeni. Nikapokea nasikia sauti ya mwanamke. Anajitambulisha mimi ni mkeo wa zamani. Nani nikumbushe wa zamani mpo wengi mbona. Alijitambulisha. Anhaa ni wewe za masiku. Akanijibu nzuri upo wapi siku hizi? Nipo mkoa nahangaika na wewe upo wapi? Nipo Dar bado...
  20. St. Paka Mweusi

    Mke wa mtu ameniota

    Kama mada inavyojieleza wadau. Nina rafiki yangu ambaye anamiliki Mini supermarket. Na pale amemuweka mke wake aisimamie. Mara kwa mara mimi hufika pale kwa ajili ya kufanya manunuzi na kumuungisha rafiki yangu. Kama mwezi mmoja uliopita huyu mama ambaye ni shemeji akaniambia shemeji leo...
Back
Top Bottom