Search results

  1. Hongoa PJ

    Mabadiliko ya mwonekano JamiiForums - Juni 2022

    Mkuu, Hongera sana kwa kazi nzuri ya kuwaunganisha great thinkers. Naomba Option hii iwepo, mwanzilishi wa uzi awe na uwezo wa kuzuia comments kwenye uzi wake hususani kwa zile nyuzi zenye mtiririko maalum.
  2. Hongoa PJ

    Wa mwisho ndiyo mshindi

    Takwimu zinaonyesha mko active sana
  3. Hongoa PJ

    Halotel wana network ya 4g??

    Jamaa alichanganya hapa, hiki cha 1000 kinatusaidia sana.
  4. Hongoa PJ

    UPDATES | SECOND SELECTION kwa Vyuo Vyote Tanzania Mwaka wa Masomo 2019/2020

    Mkuu kama unakwama ni vema aangalie kwenye Account yake kwenye chuo husika alichoApply. Na huu sio uongo Selections zimetoka.
  5. Hongoa PJ

    UPDATES | SECOND SELECTION kwa Vyuo Vyote Tanzania Mwaka wa Masomo 2019/2020

    Hii hapa List ya Vyuo Vyote Tanzania Vilivyotoa List ya Majina ya wanafunzi waliodahiliwa katika awamu ya pili NB; Hii thread itakua UPDATED Kulingana na Vyuo vitakavyotoa majina *Unaweza kupata PDF ya majina yote kwa Haraka zaidi kupitia hapa [emoji1485]https://t.me/ElimikaZaid 01. TUMAINI...
  6. Hongoa PJ

    Tumaini University Dar es Salaam College (TUDARCo) Joining Instructions Kwa Mwaka wa Masomo 2019/2020

    [emoji419]Hii hapa Joining Instructions, Admission Letter na Medical Form ya TUDARco Kwa mwaka wa Masomo 2019/2020 [emoji1485]https://www.elimikazaidi.com/2019/08/tudarco-joining-instructions-admission.html [emoji186]Kupata Joining Instructions kwa Vyuo vingine...
  7. Hongoa PJ

    Wanaume wa JF mna shida gani?

    Punguza Stress, Inaonekana waliokukaribisha JF ni wavulana. Kwa niaba ya wanaume wote karibu JF
  8. Hongoa PJ

    Wale wa Moshi technical unakumbuka nini?

    Hahahahaha [emoji23] Nakumbuka Pindi la Engineering Science Koba anakuambia tunafukia mashimo na kukimbia kwa speed ya supersonic.
  9. Hongoa PJ

    Series (Special thread)

    Into the Badlands inatoka lini wakui
  10. Hongoa PJ

    Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

    [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] Umetisha mkuu
  11. Hongoa PJ

    Ufalme wa Nugutu

    Mfalme wa Nugutu nimefika.
  12. Hongoa PJ

    Riwaya: I died to save my President

    Shukran Mkuu kulubule
  13. Hongoa PJ

    Riwaya: I died to save my President

    Mkuu nimeku PM, hiki kigongo ukifanya kukidondosha na kwangu nitashukuru sana maana arosto imenikamata kweli kweli
  14. Hongoa PJ

    Riwaya: I died to save my President

    Shukurani mkuu Ingawa kuna wakati unatufanya kushinde JF "Pale arosto itukamatapo"
  15. Hongoa PJ

    Riwaya: I died to save my President

    Nimejikuta utamu ukizidi, hii itanitesa sana.. Kama kuna thread iko njema kama hii usiache kunialika. Sent using Jamii Forums mobile app
  16. Hongoa PJ

    Riwaya: I died to save my President

    Basi lilikuwa speed sana, hatimaye nimelikamata Pongezi zimuendee mtunzi. Sent using Jamii Forums mobile app
Back
Top Bottom