Aisatu
JF-Expert Member
- Dec 27, 2012
- 775
- 321
Mkuu upo vizur sana,mimi naomba kuliza mtu akifa anaenda wapi? Kwenye kanuni ya imani tunakili kuwa "atakuja tena kuwahukumu wazima na wafu" sasa hao wafu bado wapo makaburini,na ukisoma ufunuo,7:9-10,sasa hao ndo watakatifu walioishi vizur hapa duniani,ndio maana sielewi vizur wafu bado wapo makaburin au?
Naomba majibu mtumishi wa Mungu
Naomba majibu mtumishi wa Mungu