Search results

  1. Innay

    Tanga: RAS aagiza Walimu waendelee kuhudhuria kazini licha ya agizo la Serikali kuzuia mikusanyiko

    Huyo RAS kwanza niseme ni incompitent.. Au kapotoshwa au hajui majukumu yake. Vyeo vya kupeana kindugu. Anataka kutuambia kwamba Mkoa wa Tanga Walimu bado hawajafanya analysis ya matokeo ya 2019!!! Jamani walimu wa Tanga is this true.!? Watu analysis ilishafanyika na utendaji wake upo in...
  2. Innay

    Coronavirus: Tanzania bila lockdown tutakufa tuishe

    Mipaka haijafungwa.... Wageni wanaingia na kutoka.. Kuna mambo ya ajabu sana nchi hii...
  3. Innay

    Mbunge amtaka Waziri Mkuu kumchukulia hatua Waziri aliyekataa kukaa Karantini pamoja na kuonesha viashiria vya Corona

    Je! Hao watu wawili walioambukizwa na huyo Waziri, wapo kwenye hesabu!???
  4. Innay

    TANZIA: Mwandishi nguli wa Habari Marin Hassan Marin afariki dunia

    Kwanini alilia juzi pale TBC. !?Alishakiona kifo??? Very sad
  5. Innay

    TANZIA: Mwandishi nguli wa Habari Marin Hassan Marin afariki dunia

    Ohh noo.. Sad sad. Hakuwa hata na watoto.!?? RIP
  6. Innay

    Maisha ya Mtumishi wa Serikali ni Magumu mno. Mungu aingilie kati

    Unataka kunifahamu. !? Ntakutajia jina wala hamna shida
  7. Innay

    Maisha ya Mtumishi wa Serikali ni Magumu mno. Mungu aingilie kati

    Walimu wa mwisho kuajiriwa wote ni waliohitimu 2014.. Kuanzia 2015 Serikali imekua ikiajiri kwa mafungu.
  8. Innay

    Maisha ya Mtumishi wa Serikali ni Magumu mno. Mungu aingilie kati

    Ahsante kaka. Tuombeane na Mungu akubariki.
  9. Innay

    Maisha ya Mtumishi wa Serikali ni Magumu mno. Mungu aingilie kati

    Wewe uko kitengo labda!? Chenye posho ..... Kwani "posho" ni nini!? Hili ni neno jipya kwangu.
Back
Top Bottom