cutelove
Lock down isn't the best solution kwetu Bongo
Wasafari kutoka mkoa mmoja kwenda Mwingine Wapimwe kwenye vituo vyao vya Mabasi Sana Sana Dar es Salama, Arusha na Moshi
Watu kila Leo wanapeleka ugonjwa vijijini huko
Leo yenyewe katangazwa Mmoja Mwanza alitokea Dsm huyu humo Safarini kaambukiza Wangapi ??
Hayo maelezo yako sawa kabisa, lakini si aplicable kwa jamii ya watanzania.
Unasema mtu mmoja atatoka kwenda kununua mahitaji, je huyo mtu atatumia pesa gani wakati tunafahamu fika kuwa watanzania wengi wanapata pesa ya kula kwa kutoka, yaani akafanye kazi ndipo apate hiyo pesa anunue chakula cha siku hiyo na labda kesho yake, sasa kuna lockdown kwa maana ya kuwa shughuli nyingi za uzalishaji zitafungwa hivyo watu watakuwa hawafanyi kazi. Je, serikali yetu ina uwezo wa kutoa pesa kwa kila kaya kwa nchi zima ili huyo mtu mmoja atoke kwenda kununua chakula?
Halafu kila siku mnaongelea wiki 2, mbona hamsemi hizo wiki mbili mnaanza kuzihesabu kuanzia lini?Habari njema kwa majiji ya Roma, Madrid, New York, taarifa za leo zimeonyesha maambukizi na vifo kutokana na Covid 19 umepungua.
Na hii imetokana na lockdown katika majiji hayo pia na maeneo mbalimbali ya nchi hizo Italia, Spain na USA, hata kule Wuhan bila lockdown corona isingeisha.
Kuna kauli zinatumika na viongozi wa Tanzania kuwa hawawezi kutumia mbinu za mataifa yaliyoendelea kudhibiti Corona kwa kuwa Watanzania wengi ni masikini.
Na kauli hii inaungwa mkono na viongozi wa serikali, chama tawala na upinzani lakini.
Huko Uturuki Rais wa nchi hiyo alisema wananchi wachape kazi lakini kilichoripotiwa leo na madaktari wakinukuliwa na vyombo vya habari ni kuwa maambukizi katika taifa hilo yanaenda kwa kasi zaidi ilivyokuwa China, Italy, Spain na USA, yaani kiwango cha maambukizi huko Uturuki kinatisha.
Kule Brazil hivyo hivyo, tukija hapa Bongo unaambiwa lockdown haitawezekana, hebu tupeni mbinu mbadala ambayo mnafikiria kuwa inaweza kuzuia maambukizi, maana nahisi wiki mbili zijazo tutakuwa tunaongea lugha moja.
Kula USA mpaka chui ameambukizwa korona, huku kwetu mbwa, paka na ng'ombe wasipo ambukizwa tumuombe Mungu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Wiki mbili mnaanza kuzihesabu kuanzia lini?WHO wametupa wiki mbili kwa hiyo tujiandae,ila hata majirani zetu Kenya unaona mwenyewe,vifo vinaongezeka na maambukizi yanaenda kasi
Sent using Jamii Forums mobile app
Tuishe kuje kizazi kipya
Ha ....Kula kulala wewe, huna majukumu zaidi ya 'kunya" selfish!
Mwanaume wa kweli anakufa akiwa anatafuta sio kufa ukiwa umejifungia
Heri wewe una uwezo wa kulisha wa3, wengine hata kujilisha wenyewe ni shidaHakuna anayekula na kulala bure weweee! Hapa nalisha watu watatu unadhani mchezo,tusiende mbali sana hebu fuatilia kinsasha hapo Congo halafu uje ukoment hapa
Sent using Jamii Forums mobile app
lockdown sio kwamba kila mtu atabaki ndani,ila kupunguza maambukizi wale ambao is necessary kutoka kama wauguzi then itabidi watoke,kuna kundi la watu tutawapoteza ili kulinda WENGI ..hii ndio kanuni behind lockdown, again lockdown ni kipindi tuu..ambacho serikali husika kabla ya kuimpose wanaweigh the risks and everything....vyote vinakua calculated..either tupoteze watu 1000 kwa njaa ama tupoteze 10,000 kwa corona. Nyie mnaosema sijui mahitaji inabidi mfanye kazi..mtashindia uji pale utakapoona familia yako inapukutika kama majani. New York ma Mogul yamejaaaaaaaaaaaa….naona mna underestimate corona eeh..
Usipotengua iyo kauli yako ya tutakufa sote tuishe.
Utaumbuka
Nani kakwambia Lockdown ndo imeshikilia pumzi yako.?
Kuna Mungu katika Israel
Mkuu, lockdown your family then you are safe! Hamna anayekukataza.Habari njema kwa majiji ya Roma, Madrid, New York, taarifa za leo zimeonyesha maambukizi na vifo kutokana na Covid 19 umepungua.
Na hii imetokana na lockdown katika majiji hayo pia na maeneo mbalimbali ya nchi hizo Italia, Spain na USA, hata kule Wuhan bila lockdown corona isingeisha.
Kuna kauli zinatumika na viongozi wa Tanzania kuwa hawawezi kutumia mbinu za mataifa yaliyoendelea kudhibiti Corona kwa kuwa Watanzania wengi ni masikini.
Na kauli hii inaungwa mkono na viongozi wa serikali, chama tawala na upinzani lakini.
Huko Uturuki Rais wa nchi hiyo alisema wananchi wachape kazi lakini kilichoripotiwa leo na madaktari wakinukuliwa na vyombo vya habari ni kuwa maambukizi katika taifa hilo yanaenda kwa kasi zaidi ilivyokuwa China, Italy, Spain na USA, yaani kiwango cha maambukizi huko Uturuki kinatisha.
Kule Brazil hivyo hivyo, tukija hapa Bongo unaambiwa lockdown haitawezekana, hebu tupeni mbinu mbadala ambayo mnafikiria kuwa inaweza kuzuia maambukizi, maana nahisi wiki mbili zijazo tutakuwa tunaongea lugha moja.
Kula USA mpaka chui ameambukizwa korona, huku kwetu mbwa, paka na ng'ombe wasipo ambukizwa tumuombe Mungu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Tatizo ni mitandao ya kijamii. Mtu kajifungia anasoma takwimu za italy na us anazitafsiri hivyo hivyo kuwa ndio za tz.Hivi haya Mawazo waTz mnayatoa wapi?
Kama watu tu bila lockdown watu wanalala na njaa uje ufungie watu ndani kwa Uchumi upi?.. hayo magonjwa ndo yameanza leo.. mbna TB inatembea na wateule kila Mwaka, Malaria inakamua na neti zipo.. homa ya ini vilevile.. Tena takwimu za kutisha kabisa.. mbna hatujaskia nchi ikifungwa. Sio kila kitu Ni cha kuiga iga hovyo.. utaskia ooh wagonjwa wanaongezeka.. we kwenu Nani kaugua? Cha msingi tufuate Maagizo ya Wataalamu huku shughuli za kiuchumi zinaendelea, unataka Watu waje kula kwenu?
Hakuna cha lockdown wala kabali....waache wajuaji wa humu waendelee kuandika ujinga, muda ni mwalimu mzuri…#lockdownisamust!#