TANZIA: Mwandishi nguli wa Habari Marin Hassan Marin afariki dunia

Naona CCM wanazidi kupungua Ni Jambo jema huwa Sina unafiki Mimi.



Sent using Jamii Forums mobile app
Ata ww utapungua hatuwezi wote kuwa ufipa
tapatalk_1581524382695.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwa waliongalia zamani, mimi nilianza kumuona tvz baadae tvt then tbc ndio nikaacha kufatilia tbc, pia ile kashfa yake pia ilafanya nisimfatilie kabisa

Aisee! Basi tuhifadhi tu hizo kashfa za marehemu!
 
~ innalillah wainna ilayh rajiuun.

~ chadema ya mbowe acheni chuki zisizo na msingi mnamtolea marehemu maneno ya chuki kisa ni ccm au amefanya kazi ccm huo ni ukatili...sisi sote ni waja Wa mungu mmoja na kwake tutarejea...wanasiasa ni waongo wanawarubuni majukwaani nyuma ya pazia wanakutana na kushirikiana kwenye mambo yao binafsi,nyie huku mnataka kutoana nafsi...DUMISHENI AMANI NA UPENDO ACHENI CHUKI ZISIZO NA MSINGI...CCM na Chadema ni ujanja ujanja tu.
 
pole sana kwa familia yake pole nyingi kwa TBC, hakika mimi mwenyewe machozi yamenitoka kwa kifo chake kwa sababu ni mtangazaji niliye kuwa napenda namna ya utangazaji wake, hana mbwembwe makini na ana namna ya pekee. ni mtangazaji aliye kuwa anajua mambo mengi yanayo endelea duniani.
watangazaji wa tbc mlio baki igeni moyo na matendo ya Marehemu Maren nanyi tutawapenda na kuwakumbuka pindi mtakapo tangulia.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kifo chake kimetokea ghafla mno, Mungu ailaze roho yake mahala pema peponi. Tulio baki tunayo mengi ya kukifunza. Hakuna atakaye ishi milele, tuishi Kwa upendo
 
Hapana, nijuavyo mimi, alikuwa na mke pale magorofa mawili iringa road dodoma, nilisikia pia alishawah kuwa na wengine kabla ya huyu. Hata ndege aliyotoa mh ilimchukua mke wake dodoma ikamleta dar ndo wakaenda kuzika zenji.

Sent using COVID-19


Asante kwa ufafanuzi
 
Nimesikiliza wosia wa mtangazaji nguri ndg yetu mpendwa hasan m. hasani sijasikia tatizo lililoperekea kifo chake, kwa anae jua anijuze, maana kila ninaemwambia kuhusu kuondokewa kwa ndg yetu huyu ananiuliza kaugua nini nakoswa jibu lakini hata mimi nahitaji kujua pia.
 
Back
Top Bottom