Maisha ya Mtumishi wa Serikali ni Magumu mno. Mungu aingilie kati

.. Meanwhile wakati mkilalama kuhusu hicho kidogo mnachopata kuna mshenzi mmona anayelala juu ya mawe anaumia roho sana kuona jinsi serekale inavyotenga bajeti kubwa kwa ajili ya kuwalipa mishahara watumishi.




Sent using Jamii Forums mobile app
Sasa unataka ujibiwe nini kwa komenti hii!!? Nafikiri wewe ni mshenzi zaidi yake.
 
Unachoongea ni sahihi. Watumishi wa Umma ; mtanisamehe kwa kauli yangu ; wengi ni zero brain na ni waoga wa maisha hatari.

Wakati nafanya kazi kwenye moja ya taasisi ya Umma hapo TZ, nilikuwa na Best yangu tukashauriana tukope pesa Bank , it was 2013. Alikopa 15 M na Mimi 15 M. tulikubaliana hizi pesa tuzitop up na tufanye cha maana. Jamaa alikubali.

Baada ya Pesa kusoma Kwenye A/c, jamaa akabadili maamuzi, akasema bwana mimi nitanunua kiwanja tu, niweke asset ya maana. Nikamwambia fine; akatoa 14 M akanunua kiwanja mbele ya Bunju B kama unaenda Bagamoyo.

Kiwanja kimekaa 6 years hajakijenga wala kukiendeleza, kimsingi alijaribu kukijenga akashindwa. Naambiwa mwaka huu 2020 kaamua kukiuza kwa 11M na hapo kapata tabu kupata mteja.

Wakati huo, Mimi nikasema potelea mbali; nishapoteza pesa nyingi tu, Kwenye 15 M nikaongeza 5 M ikawa 20 M nikafungua biashara moja pale Rangi 3 ambayo kwa sasa mm ndio top Sales wa hiyo biashara na ikazaa biashara nyingine.

Kimsingi naingiza hela inayonifanya kila miezi 3 nirudi bongo kuangalia mustakabali wa biashara.

Sasa maisha ni Kupanga; watumishi wa umma hawajui kupanga. Unakuta mtu anakopa 10 m Halafu yote anaenda kununua gari au kiwanja.

Tuwaige wenzetu wahindi; wanakopa sana bank lakini pesa wanazipeleka Kwenye kuzalisha sio kununua ma viwanja yanayochukua miaka Mingi kuleta faida;

Watumishi utawasikia, Ardhi inapanda thamani sijui nini; Kupanda Thamani my ass, how long does it take ili Ipande thamani ?
Don’t you know that 12 months inatosha to make a difference!

Unaenda kununua ardhi Bunju ndani ndani Halafu utegemee ipande thamani recently, ajabu sana.

Huwezi kuishi kwa mshahara, Unless uwe mwizi na mla rushwa, na utafungwa.

Tengenezeni other source of income, kwa siku unaingiza sio chini ya kati laki 2 hadi 5; inawezekana. Mimi nilianza na biashara ya 20M, kwa siku inaingia elf 80, mara laki, now nikitumiwa mahesabu kwa siku laki 5 nauliza why mauzo yameshuka.

Sio kukopa 10M na kuanza kutatua matatizo ya ndugu zako na shida za kwenu; inayobaki unakimbilia ku nunua kiwanja Shamazi na kinakaa tu; Acheni hayo mambo na uoga wa maisha

Kopa pesa while you are ready to invest kwenye la maana

PERIOD.
Nenda Kenya
Rudi kwenu.
 
13 now
.. Ni aibu.

Na hapo najiona na bahati.. Kuna wenzangu wako chini Huko. Mfumo wa madaraja hauko uniform. Kuna mambo ya ajabu sana.

Waoneni tu walimu wanaenda kazini na kurudi.
Kwahyo hapo ukilipwa hyo hela hakuna hela nyingine unayopokea kutoka serikalini?
Posho labda?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Binadamu anapokuwa hana wa kumtegemea pale anapokata tamaa humrejea Mungu wake na kumuomba aokoe jahazi.

Tunaishi ka gidigidi.

Tuliahidiwa ahadi hewa, muda unayoyoma, hewa tupu.

Hali ni mbaya. Na hakuna matumaini. Rais Magufuli kuwa na moyo wa utu.

Hebu tizameni wenyewe hii. Ninaona aibu hata kujivunia. Miaka mingi kazini.

View attachment 1401545

Mungu atusaidie tu. Tizameni makato.
Vyama vya wafanyakazi viko wapi.


Asante Mungu kwa baraka zako ulizonipatia na usinipe kiburi cha kusahau fadhila zako na uwakumbuke waja wako wapitiao madhila mbali mbali.
 
Shukuru Mungu kila mwezi una uhakika wa hicho kiasi cha pesa.

Kuna watu hawana uhakika wa kula, kuna watu wamehitimu chuo 2011 hadi leo 2020 hawana ajira.

Mshukuru Mungu kwa hapo ulipo.
Walimu wa mwisho kuajiriwa wote ni waliohitimu 2014..
Kuanzia 2015 Serikali imekua ikiajiri kwa mafungu.
 
Back
Top Bottom