Search results

  1. Job Richard

    Ukiona dalili hizi, mwenzako ana mchepuko

    KILA mmoja atakubaliana na mimi kwamba mahusiano baina ya wapendanao kwa kawaida yanakusudia kuwa ya upendo, maelewano, kuaminiana na urafiki wa hali ya juu ingawa hali halisi siyo hiyo katika uhusiano wa wengi. Wengi wetu wameumizwa kwa mapenzi hasa kutokana na tatizo la uaminifu katika...
  2. Job Richard

    Wanawake wembamba wanapenda sana tendo kuliko wanene na wa kati

    Huu ni utafiti mdogo wanawake wembamba wanapenda sana na hawachoki kuliko wanene. Na wengi wao ndio wanaongoza kwa uhuni au kutoka nje ya ndoa sababu hawaridhiki. Nadhani ndio maana hata miili yao hainenepi hawaridhikagi hawa viumbe. Japo watajisifia wao ni wasafi hata kunako ila hilo...
  3. Job Richard

    Mtu mzima hovyo unamfahamu? Ni huyu

    Kumbe mtu mzima hovyo ni mtu mzima ambaye hana.............
  4. Job Richard

    Nyumba huna, gari huna, mke huna, iphone huna tukuite jina gani!

    Gari huna Nyumba huna Mke huna Iphone huna Halafu upo above 30 Wewe kuna jina la kukuita sio bure
  5. Job Richard

    Kukaa nyumba za bure ni umaskini tosha

    Katika maisha ukihitaji kusonga mbele usikubali kukaa nyumba ya bure. Ukichunguza kwa umakini kuanzia wafanyakazi wote waliopewa nyumba za bure mpaka kustaafu kwao bado walikuwa wakiishi humo mwisho wanahamaki hana hata kiwanja. Vijana wenzangu kama una nguvu zako usikubali kuishi nyumba ya...
  6. Job Richard

    Watu wenye iPhone wanafaidi sana

    Baada ya kujichanga kwa muda fulani nikajizolea iPhone 13 Pro Max pale Mlimani city sikutaka zile Kushoto nyingi Mara iphone za Mwenge fake Mara Kariakoo ukinunua ushapigwa tayari BAADA YA KUJUA SASA Hakuna iPhone fake labda zile zenye android ni copy kweli kweli ila mpaka upigwe duuuh wewe...
  7. Job Richard

    Wote wenye tabia mbaya ni malezi mabovu ya mama zao

    Tuanze na kisa kifuatacho Kuna mzee mstaafu katika jeshi letu huyu mzee kabahatika kuwa na watoto watano kati ya hao wanne ni watoto jinsia ya kike Wa kwanza ni wa kiume kazaliwa around 1989 hivi huyu ana watoto wawili lakini kimaisha bado anaishi kwa wazazi pia kitabia ni mzee wa tungi sana...
  8. Job Richard

    Mpaka miaka 45 huna vitu hivi jua wewe umekuja kusindikiza wenzio duniani

    Hapa hatuzungumzii kusoma au kutosoma ukikosa hivi vitu kimoja wapo mpaka miaka 45 au chini ya 60 wewe msindikizaji tu 1- HUNA NYUMBA YA KUISHI (KIUFUPI MPANGAJI) AU HATA KULIPIA KODI UMESHINDWA WEWE UNASINDIKIZA TU WENZIO KWENYE MAISHA NI KENGE KATIKATI YA MAMBA 2 - HUJAOA Unapofika miaka...
  9. Job Richard

    Mwanamke akikupenda kuchepuka sahau kabisa

    Mwanamke akipenda huwa kapenda kweli hili neno siyo uongo kabisa! Wengi wanaolia wake zao au wapenzi wao ni viruka njia kiukweli hawajapendwa, kuna kitu walichonacho ni sumaku kiufupi kimemvuta. Hapo inaweza kuwa ni chambii mfukoni, haishangazi mwanamke ukampa kila kitu lakini bado akachepuka...
  10. Job Richard

    Wadau naitoa hii TV na meza offa yako unajipatia

    Ineuzwaaaaa Meza ya kioo laki mbili tu
  11. Job Richard

    Vibaka Kawe, unaporwa kila kitu nauli unapewa

    Kuna mshikaji alikuwa na mke wake kapita nyuma ya Tanganyika Packers pale Kawe anadai ilikuwa mida ya saa moja usiku katoka beach, kakutana na jemba tatu zimeshiba zikamsaula kila kitu. Na mfukoni alikuwa na elfu sabini ile wanamruhusu ondoka, eti wanamuuliza nauli mnayo? Wakamtoa elfu tano...
  12. Job Richard

    Kumiliki gari na kukosa hela ya mafuta ni dalili ya ukichaa

    Kwa sasa imekuwa kawaida unamiliki gari lakini kulimudu unashindwa mpaka mafuta huu ni ukichaa kabisa Kuna mshikaji kapata 5m kakimbilia kununua gari tena vits namba B sasa hivi hata kunyoa ndevu shida hahaha kichaa mwingine kaongezeka mtaani. Vijana acheni sifa za muda hizi etiiii upige...
  13. Job Richard

    Utafiti: Masikini wengi hawana furaha na ndoa/mahusiano yao

    Utafiti mdogo ndoa nyingi au mahusiano mengi ya watu maskini kiukweli ni bora liende. Kuishi vizuri na mwenzio ni ufunguo wa mafanikio katika uhusiano/ndoa yenu. Ambao hamjaingia katika ndoa ni muda wenu wa kumjua vizuri mwenzio nje na ndani usimuoe kisa shape au sura yake utajuta kiukweli ndoa...
  14. Job Richard

    Unataka kufanikiwa MPE MKE ASHIKE PESA

    Neno lililozoeleka mpaka sasa "kila mwanaume aliyefanikiwa nyuma yake kuna mwanamke" Ni neno fikirishi sana na hasa limetokea kuaminiwa sana baada ya anayelitoa yupo katika kundi la waliofanikiwa. Mwanamke anaongozwa na hisia sana tofauti na mwanaume, Ipo hivi mwanaume ili kuzuia tamaa zako...
  15. Job Richard

    Mke wangu ananisimulia akitongozwa

    Nilidumu naye katika uhusiano miaka nane kabla kumuoa rasmi. Tunaelekea mwaka wa kumi katika ndoa. Nilichoweza kujifunza hasa ninapoona wengi wanalia na mapenzi ya sasa WAMEOANA PASIPOKUJUANA KIUNDANI. Ulimwengu wa mapenzi hakuna mwalimu kila mtu ni mwanafunzi na ni chuo ambacho hakuna...
  16. Job Richard

    #COVID19 Ghana: Madaktari wamshauri Rais Akufo-Addo asitishe chanjo

    MADAKTARI 11 wamemwandikia barua ya wazi Rais wa Ghana, Nana Addo Dankwa Akufo-Addo kutoa mwongozo ikiwezekana kusitisha usambazaji wa chanjo za corona kwa ajili ya kupambana na janga la corona kwa taifa hilo. Umoja wa Madaktari hao wamesema kuwa kutokana na tafiti zilizofanywa, inaonyesha...
  17. Job Richard

    Mume apewa talaka kwa kujifanya kiziwi kwa miaka 62 akwepa kusikia maneno ya mkewe

    Mwanaume mmoja kutoka Marekani amepewa talaka na mke wake mara baada ya kuigiza kuwa kiziwi kwa muda wa miaka 62 akidai kujizuia kumsikiliza mkewe. Barry Dawson mwenye umri wa miaka 84 hakuwahi kuongea neno lolote mbele ya mke wake Dorothy mwenye umri wa miaka 80 kwa kipindi chote walichoishi...
  18. Job Richard

    Kanali Ilonda: JWTZ Haijihusishi na Siasa

    Kaimu Mkurugenzi wa Habari na Uhusiano wa JWTZ, Luteni Kanali Gaudentius Gervas Ilonda amewataka Watanzania kupuuzia taarifa zinazosambaa katika mitandao ya kijamii kuwa jeshi hilo kupitia Mkuu wa Majeshi limeingilia sakata la mhe. Spika. “JWTZ linawaomba Umma wa Watanzania kutoziamini taarifa...
  19. Job Richard

    Afisa habari mpya Simba avunja ukimya kuhusu mahaba yake kwa Yanga mpizani wa Simba

    NI kitambo, Simba haikuwa na MKuu wa Idara ya Habari na Mawasiliano, tangu alipojiuzulu na kuhamia Jangwani, Haji Manara. Ndio, nafasi hiyo ya Manara ilikaimiwa na Ezekiel Kamwaga kwa muda wa miezi kama miwili hivi kisha jamaa akasepa zake kwenda kusoma. Kuna majina yalitajwa huenda wangepewa...
  20. Job Richard

    Hapa Yanga hamtoki wala kutoboa, Kocha Pablo atoa neno

    Hapa Yanga Hamtoki Wala Kutoboa, Kocha Pablo Atoa Neno [https://lh3] KWA ‘mziki’ huu hamtoki, ndio tambo za mashabiki kwenye mitandao ya kijamii pamoja na vijiwe mbalimbali vya soka nchini kila moja akivutia upande wake kuhusu mechi kubwa ya kitaifa yenye historia ya kipekee kati ya Simba na...
Back
Top Bottom