Mpaka miaka 45 huna vitu hivi jua wewe umekuja kusindikiza wenzio duniani

Job Richard

JF-Expert Member
Feb 8, 2013
3,865
2,177
Hapa hatuzungumzii kusoma au kutosoma ukikosa hivi vitu kimoja wapo mpaka miaka 45 au chini ya 60 wewe msindikizaji tu

1- HUNA NYUMBA YA KUISHI (KIUFUPI MPANGAJI)

AU HATA KULIPIA KODI UMESHINDWA WEWE UNASINDIKIZA TU WENZIO KWENYE MAISHA NI KENGE KATIKATI YA MAMBA

2 - HUJAOA

Unapofika miaka 45 hapa unahesabiwa ni mtu mzima, na katika jamii yetu utategemewa pia kutoa ushauri kwa vijana hasa lile kundi rika (miaka 16-25). Sasa umri huo Huna ndoa hufai kupokea ushauri wako

3 -HUNA USAFIRI ( CHOMBO CHA MOTO)

Mpaka unafika huu umri huna chombo chako cha usafiri wewe unasindikiza kiukweli. Unapofika miaka 45 au zaidi nguvu zinaanza kupungua ni muhimu upate kausafiri

4- HUNA MTOTO

Kuwa na mtoto au watoto ni muendelezo wa kizazi chako na ukiwajengea misingi mizuri wanakuwa msaada pale utakapokosa kabisa nguvu za kujisimamia mwenyewe (Uzee). Muhimu uwe nao ila kama ni tatizo la kiafya wewe hata kwa Mungu huna kosa miaka 65 huna hata kajukuu daaah wewe msindikizaji kiukweli

5-HUNA KAZI MAALUMU/KUDUMU


Unapokosa kazi ya kudumu au muendelezo wa kipato chako kiukweli mwisho wako ni mbaya sana,
Hapa huna visingizio kwamba hukusoma au hukuwa na bahati bali ni wewe mwenyewe hujatulia katika utafutaji wako

6-UNA MADENI MENGI

Kuna watu wanajua kukopa sana yeye bila kudaiwa maisha hayaendi,inapofika umri huu jitahidi kuacha tabia za ujanja ujanja ni mtu mzima tayari

7-TUENDELEZE WANAOSINDIKIZA WENZAO KATIKA MAISHA MPAKA MIAKA 60 HANA LOLOTE
 
1. Hiyo nomaa aisee, wanaume tujitaidin tuwe hata na chumbaa kimojaa hata km umeezeka makuti juu.

Daah juzi nimeshuhudia mtu ukimwangalia umri miaka kama 62 anafukuzwa kwenye nyumbaa ya kupanga na familia yake wtt wenyewe bd wadogo maana inaonekana hata kuoa alichelewa wa kwanza ndio anamaliza 4m4 mwaka huu..

Oyaaaa sio poaaa.

2. Sio lazima uwe umeoaa ndio utoe ushauri kwa vijana waweza toa ushauri kwa mtu yyt labda utashindwa kutoa ushauri kwa wanandoa tu kwakuwa ww ujapitia uko.
 
Umewahi kutuandalia makao...
Basi yote ni ubatili maana kufa kupo tu, huzikwi na nyumba nzuri, huzikwi na gari zuri, unazikwa na tambara jeupe alimaarufu km SANDA moja tu, nguo zooote zako za thamani utaziacha hapa hapa.

Kasome Mhubiri 5:18 utaelewa Jambo👇

18 Basi, haya ndiyo niliyogundua: Jambo zuri na la kufaa kwa binadamu ni kula, kunywa na kufurahia matunda ya jasho analotoa katika kazi anayoifanya hapa duniani, siku hizo chache za maisha aliyojaliwa na Mungu, maana hivyo ndivyo alivyopangiwa.
 
Kuna vijana sasa wako 33 wako smart wametulia na familia wanabehave poa na Wana moral za mafaniko na kiasi fulani mambo kama nyumba, usafiri na biashara wanamiliki..Sasa njoo baadhi kama ulivyosema age kama 45 kunawezekana ni hali ya Maisha au kutokuwa na mipango Kuna toxic habits zinaweza kuplekea kuwa bado mtu yuko chini bila ya mfanikio mpaka umri huo kama uzinzi,starehe za kitoto kama ngono yaani fully kuhonga hata 1m kwa mwezi mtu inakata kwa mademu.

Kingine inawezekana ni nje ya uwezo wa mtu either mpaka 45 milango haijafunguka kama biashara ni pasua kichwa ,uchumi hauko sawa hata kupata mtoto unaona atakuja kupata tabu tu, ukiangalia kweny level ya mfanikio hata kama mnaweza kuajiriwa mwaka mmoja ya kuanza biashara ila Kuna uwezekano Kuna mtu ana umri mkubwa mno zaidi yako Kuna Wana 24 akiwa na bachelor tayar yuko taasisi nzuri kwa mwezi anashika parefu mwingine 34 ndo anaajiriwa, huwezi kucompare yule wa kwanza inawezakan alifika 30 kashajenga na usafiri bila hata ya mkopo.
 
Kuna vijana sasa wako 33 wako smart wametulia na familia wanabehave poa na Wana moral za mafaniko na kiasi fulani mambo kama nyumba, usafiri na biashara wanamiliki..Sasa njoo baadhi kama ulivyosema age kama 45 kunawezekana ni hali ya Maisha au kutokuwa na mipango Kuna toxic habits zinaweza kuplekea kuwa bado mtu yuko chini bila ya mfanikio mpaka umri huo kama uzinzi,starehe za kitoto kama ngono yaani fully kuhonga hata 1m kwa mwezi mtu inakata kwa mademu.

Kingine inawezekana ni nje ya uwezo wa mtu either mpaka 45 milango haijafunguka kama biashara ni pasua kichwa ,uchumi hauko sawa hata kupata mtoto unaona atakuja kupata tabu tu.. ukiangalia kweny level ya mfanikio hata kama mnaweza kuajiriwa mwaka mmoja ya kuanza biashara ila Kuna uwezekano Kuna mtu ana umri mkubwa mno zaidi yako Kuna Wana 24 akiwa na bachelor tayar yuko taasisi nzuri kwa mwezi anashika parefu mwingine 34 ndo anaajiriwa ,huwezi kucompare yule wa kwanza inawezakan alifika 30 kashajenga na usafiri bila hata ya mkopo.
Unajitetea mbele ya nani sasa?🤔
 
Unasindikiza huku unaumia lakini
Wala, naenjoy. Kama umeoa halafu wote mna miaka 50, mimi single mzee baba natafuna 25 -35 yrs. Hapo wewe mshachokana. Pia unaweza kuwa na watoto manunda. Au ukawa na IST unapiga uber mimi narequest naenda batani. Pia usisahau kuna uwezekano ukawa na nyumba Chanika na mimi nina apartment mikocheni. Usikariri maisha, wala usinipangie mzee baba. Utakwama na kuota vitambi vya stress.
 
Kuna mzee tumepanga nae mageton ana kitu kama 47 hivi alooh anabadili totoz balaa ni full kuwatembezea Moto juzi kati kakoganisha.

Halafu madem wenyew rika zetu 20-27
Kuna mmoja hapa mtaani kwetu mimi huwa namuita mzungu, hajawah kuwa na mtoto ingawaje aliwahi kuoa mwanamke mwenye watoto, alivyostaafu akaja mtaani akajenga nyumba kubwa tu nzuri anaishi mwenyewe tu na yeye anatembeza bakora hatari tena kwa madem wadogo.
 
Back
Top Bottom