Nyumba huna, gari huna, mke huna, iphone huna tukuite jina gani!

Kama kungekuwa na mahali wanabadilisha ubongo wa wanadamu, Waafrika wangekuwa ndio wateja wakubwa huko....

Barani kwetu tuna idadi kubwa ya watu wenye ubongo wenye almost 0 IQ
Kalagabaho wa aina hiyo huona kuwa na magari used mabovumabovu, tena ya kawaida sana!... kuwa na simu used from Dubai, S.A na China na kukaa kwenye apartment bubu au kuwa na kanyumba ka vyumba vitatu mpiji na malamba mawili ndo wamemaliza... walio chini NYOKO!

Vitu kama hivyo mataifa yalioendelea mtoto mdogo ambaye hajafika "25" anavyo akiwa University.... libaba lizima linaona lishatoboa na miaka yake "33" 😂

Tujitathmini waafrika na watu wa aina hiyo kama huyo mleta mada.
 
Back
Top Bottom