Search results

  1. ngonzi zomukama

    where the at

    jamani leo nataka kuparty na wana JF je twende wapi? nausindikiza mwezi niliozaliwa ndo unaishia hvo je tuka party wapi? woote mnakaribishwa sana bills zote juu yangu
  2. ngonzi zomukama

    House boy wetu na Maza house wa jirani

    Yaani siku zote ukishangaa ya Musa utayaona ya Firauni jumapili nilikuwa naenda kanisani ghafla nikakumbuka nimesahau Tenzi na biblia nikajishauri bora nirudi hata nikichelewa nitaingia ibada ya pili wakati narudi haraka ili niwahi karibu kabisa na nyumbani nikamuona house boy wetu anaingia...
  3. ngonzi zomukama

    (Dada na Bos) Dada akubali ushauri wenu

    Naanza kwakusema ahsanteni sana hasa kwakumpa ushauri wenu mzuri dada yangu japo wengine walibeza badala ya kushauri. Niliongea na dada juzi nikamueleza kila kitu na ilibidi ni print kilia ushauri wa mtu kwakweli ilikuwa kama ametolewa usingizini kitu kimoja tu aliniahakikiashia atalirudisha...
  4. ngonzi zomukama

    Dada yangu na boss wake

    Ni jana tu kanisimulia alianza kwa kumpa safari za kila mara, akamuongezea bonus zake, short cause kwake hazikauki dada akawa haelewi kuna nini. Mwisho wa yote akamtamkia live na akamwambia anampenda na wala acwe na haraka yakujibu aende akafikiri akiwa tayari atamuambia jana akanunuliwa gari...
  5. ngonzi zomukama

    Today is My Birthday

    Leo nisiku yangu ya kuzaliwa namshukuru mungu kwa kuniwezesha hata kufika miaka hii, zaidi kuwa familia nakumuomba aniepushe na magumu yoooote yanayonikabili Zaidi nawakaribisha wanaJF wooote watakao jaliwa kufika ZHONG HUA GARDEN mpate japo cake na kunitakia baraka mie bday girl,
  6. ngonzi zomukama

    Ndoa Yangu haina mapenzi

    najisikia kumchoka mwenzangu bila sbbu yuko sawa kila k2 ila sina ham naye tena kama zamani tulipokuwa wachumba najitahidi nashindwa sina nyumba ndogo ila natamani wakti mwingine ila cjawahi fanya ila mwenzangu wa ndoa nimechoka kabisa hajanikosea haja badilika ila nahisi kumchoka nisaidieni...
Back
Top Bottom