House boy wetu na Maza house wa jirani

ngonzi zomukama

Senior Member
Apr 13, 2010
170
5
Yaani siku zote ukishangaa ya Musa utayaona ya Firauni jumapili nilikuwa naenda kanisani ghafla nikakumbuka nimesahau Tenzi na biblia nikajishauri bora nirudi hata nikichelewa nitaingia ibada ya pili wakati narudi haraka ili niwahi karibu kabisa na nyumbani nikamuona house boy wetu anaingia nyumba ya jirani nikajiuliza kulikoni hasa kwa style aliyokuwa anaingilia ya kunyata na kuangalia huku na kule nikadhani labda anaenda kuiba nikasema kimoymoyo "leo ndo mwisho wake" nikasimama nikajibanza sehemu ili asinione akaingia nyumba ya jirani na mimi nikawa namfuata taratibuuu nilipofika getini nikasikia maongezi yakunong'ona nikasimama ili nichungulie Mungu wangu kumbe mama mwenye nyumba ile na house boy wetu, sasa yule house boy ana mwambia hapa hapa yule mama anamwambia twende ndani mara akampandisha nguo Duh! me nikabaki nimetoa macho yule mama anafurahia he! nikaondoka haraka kwa ibu na woga sasa najiuliza je huyo baba wa jirani akija kujua atatuelewa? si ndo tutaanza uhasama wa ujirani? mbaya zaidi huyu House boy tuna undugu fulani je nikae kimya je ikitokea siku akamleta kwangu waka kutwa? hii imekaaje wana JF?
 
mkanye aache hiyo tabia kwani usipofanya hivyo utakuwa sawa unafurahia huo mchezo ambao si halali kwao, ni kumtendea kinyume mwenye kummilki huyo mama. Mtu mwema hukemea maovu anapoyaona hiyo ndio haswa la dawa yake.
ukikaa kimya umeupenda huo mchezo kabsaa.
TAFAKARI CHUKUA HATUA.....
 
Yaani siku zote ukishangaa ya Musa utayaona ya Firauni jumapili nilikuwa naenda kanisani ghafla nikakumbuka nimesahau Tenzi na biblia nikajishauri bora nirudi hata nikichelewa nitaingia ibada ya pili wakati narudi haraka ili niwahi karibu kabisa na nyumbani nikamuona house boy wetu anaingia nyumba ya jirani nikajiuliza kulikoni hasa kwa style aliyokuwa anaingilia ya kunyata na kuangalia huku na kule nikadhani labda anaenda kuiba nikasema kimoymoyo "leo ndo mwisho wake" nikasimama nikajibanza sehemu ili asinione akaingia nyumba ya jirani na mimi nikawa namfuata taratibuuu nilipofika getini nikasikia maongezi yakunong'ona nikasimama ili nichungulie Mungu wangu kumbe mama mwenye nyumba ile na house boy wetu, sasa yule house boy ana mwambia hapa hapa yule mama anamwambia twende ndani mara akampandisha nguo Duh! me nikabaki nimetoa macho yule mama anafurahia he! nikaondoka haraka kwa ibu na woga sasa najiuliza je huyo baba wa jirani akija kujua atatuelewa? si ndo tutaanza uhasama wa ujirani? mbaya zaidi huyu House boy tuna undugu fulani je nikae kimya je ikitokea siku akamleta kwangu waka kutwa? hii imekaaje wana JF?

Napata picha ya jogoo akimdandia tetea hapo kwenye blue... hii ni kiboko kwenye geti kama kuku ama mbuzi inamana huyo house aliondoka kwao yuko tayari mjomba ana kiu au maana sipati picha kwa kweli kufika kwenye gate na kudandia bila ya kuwa na steem yeyote ile... kweli duniani kuna mambo
 
Kuna wamama hawana maana, hata mimi kuna mama mmoja alikuwa jirani yangu nilikuja kugundua alikuwa anatembea na houseboy wangu! Duh! Au wanaume hawawafikishi wake zao kileleni, halafu ma houseboy wanajituma sana?

Aibu hiyo!
 
hapo mwite umuweke kitako umwambie na umuonye..............

mama wa nyumba ya jirani anaweza akaku mind akijua umemuonya houseboy kuacha huo mchezo lakini bora 'nusu fedheha kuliko fedheha kamili'
 
Nachelea kusema kuwa hii stori ni ya kweli.
Sijui kwanini lakini.
Lakini tuendelee...............
 
Kuna wamama hawana maana, hata mimi kuna mama mmoja alikuwa jirani yangu nilikuja kugundua alikuwa anatembea na houseboy wangu! Duh! Au wanaume hawawafikishi wake zao kileleni, halafu ma houseboy wanajituma sana?

Aibu hiyo!
Kwani shida hapa ni mama kutembea na house boy?Kwani house boy na yeye si mwanaume kama wanaume wengine?au cheo chake ndio kinachomfanya asile akipendacho?Sioni tatizo zaidi ya kuwa hilo tunda analokula kuna anayelitunza kwa gharama zake. FS.
 
Mimi nampiga na transfer ama kumrudisha home ghafla! Siku wakihamishia game kwako na ikafumuka ndio utayaona hayo madhara yake! Ina maana hata wageni wako wa kike wako hatarini pia; Utajuaje kuwa hatawarukia?
 
Napata picha ya jogoo akimdandia tetea hapo kwenye blue... hii ni kiboko kwenye geti kama kuku ama mbuzi inamana huyo house aliondoka kwao yuko tayari mjomba ana kiu au maana sipati picha kwa kweli kufika kwenye gate na kudandia bila ya kuwa na steem yeyote ile... kweli duniani kuna mambo

Siri kubwa ya uchafu wa aina hii inakuwa inajengwa na uchu tu; hakuana mapenzi hapo ni matamanio na mwisho wao huwa nimauti kwani hapo ni wazi kuwa kinga haitumiki na hujui huyu houseboy anapita kona zipi au mama ana vichenchede vingapi!

Mungu atunusuru!
 
siku hizi wamama wengi wana matatizohayo. huwezi amini, mimi mwenyewe nimetongozwa mara nyingi sana na wamama watu wazima, bahati mbaya, kumbe nilishaokoka, wakaishia kulamba vumbi tu.
 
siku hizi wamama wengi wana matatizo hayo. huwezi amini, mimi mwenyewe nimetongozwa mara nyingi sana na wamama watu wazima, bahati mbaya, kumbe nilishaokoka, wakaishia kulamba vumbi tu.

Nadhani ni kujiendekeza; si ugonjwa au kitu nachofana na na hicho
 
Kwani shida hapa ni mama kutembea na house boy?Kwani house boy na yeye si mwanaume kama wanaume wengine?au cheo chake ndio kinachomfanya asile akipendacho?Sioni tatizo zaidi ya kuwa hilo tunda analokula kuna anayelitunza kwa gharama zake. FS.

Bosi, huyo mama ni mke wa mtu! Huoni kama kuna tatizo hapo?
 
Kuna wamama hawana maana, hata mimi kuna mama mmoja alikuwa jirani yangu nilikuja kugundua alikuwa anatembea na houseboy wangu! Duh! Au wanaume hawawafikishi wake zao kileleni, halafu ma houseboy wanajituma sana?

Aibu hiyo!

Masaki, mimi nadhani kuna tatizo KUBWA zaidi ya hili la ''kutofikishwa kileleni na wanaume waoi''

Sasa kama huyo House Boy alitaka kummega huyo mama fasta fasta, pale nje, unadhani kweli huo muda ungetosha kufikishana kileleni?? -ukichukulia woga wa kubambwa, no time ya kupeana romance etc!
 
Yes you are right! Itakuwa ni tamaa tu ya ngono zembe!
 
Nachelea kusema kuwa hii stori ni ya kweli.
Sijui kwanini lakini.
Lakini tuendelee...............

Chrispin cjakuelewa una maanisha nina danganya watu wazima na akili zao? ili inisaidie nini? ni kitu nilichokiona kwa macho yangu
 
Ohhh mi naona ni bora umpasulie ukweli huyo hboy coz isije baadae ikaja kuwa tafrani na wewe ukawepo...muonye mwambie aache ujinga atauliwa mjini hapa....wake za watu hao!
 
duniani inaelekea ukingoni ..labda kina baba hamuwaridhishi wake zenu inakuwaje jamani?
 
Wababa tusiwe wakali sana kwa wake zetu, tusijenge ukuta baina yetu na wao, tusiwaone watu wa kututumikia na kusema ndio kila kitu jamani, nao wana feelings zao. Tuwape uhuru wa kuongea sometimes nini wanataka, kipi hawakipendi. wanaume wengi wanadhani sababu nimeshamuoa mwanamke basi nimemaliza kila kitu. kilichobaki ni yeye kufuata amri zangu tuu, si hivyoo matokeo yake ndo haya sasa hausiboi anakula mzigo. Wengine wanajifanya wako bize mno, wengine hawampi nafasi mwanamke ya kuongelea jinsi ya kumegana, akifanya hivyo huulizwa wapi kajifunza, wengine hata style ni moja tuu hiyo hiyo maishani, na kiwanja ni hicho hicho tuu, hakuna kubadili ili mradi mama anapata kila kitu basi ataridhika tuu, si hivyooo jamani, kila mwanadamu anakuwa ana ndoto zake, na nyingine huwa za ajabu sana lkn ukizipatia tuu umemaliza kila kitu. Mimi KWA MFANO, Kabla sijao nilikuwa sina kawaida ya kumsifia demu wakati nammega, lkn siku tuliyofunga harusi tukiwa Honeymoon wakati natafuna tunda nilimsifia wife wangu kwa mbwe mbwe nyingi sana taratibu sikioni, kwa kweli alipagawa vibaya mnoooooo alilalamika kwa mahaba alinishika kwa nguvu, hata mshindo alioupata ulikuwa wa NGUVU. Haraka nikawa mimetambua kitu ikawa saa ndo mtindo wangu nasifia si mchezo. Naona family nyingi tu baba na mama hawana ule ukaribu waliokuwa nao wakati wa uchumba.
Mwanaume mara nyingi tunatumia sana ukali, command na sometimes mke anakuwa hasifiwi tena utasikia huyu mwanamke bwana! au wanawake bwana!! vile vile kutoka pamoja nako vile vile kunasaidia.

My Take
Huyo mama sijajua undani wake wala maisha anavyoishi na mmewe, lkn nadhani mmewe hampi ukarimu unaopaswa, mmewe hamjali nadhani anakosa thamani mbele ya mmewe au, mmewe anashindwa kumtimizia NDOA kwa ufasaha, vile vile ugomvi waweza sababisha haya mambo, huwezi jua vile vile mume yaweza ana nyumba ndogo kwa hiyo mama na yeye anatafuta faraja somewhere. LKN haya yote yasiwe sababu ya kutoka nje ya ndoa. Wana NDOA kaeni chini muongelee haya mambo. Mfanye mwenzio awe rafiki yako na si mtumwa wakoooooo!!!!
 
wababa tusiwe wakali sana kwa wake zetu, tusijenge ukuta baina yetu na wao, tusiwaone watu wa kututumikia na kusema ndio kila kitu jamani, nao wana feelings zao. Tuwape uhuru wa kuongea sometimes nini wanataka, kipi hawakipendi. Wanaume wengi wanadhani sababu nimeshamuoa mwanamke basi nimemaliza kila kitu. Kilichobaki ni yeye kufuata amri zangu tuu, si hivyoo matokeo yake ndo haya sasa hausiboi anakula mzigo. Wengine wanajifanya wako bize mno, wengine hawampi nafasi mwanamke ya kuongelea jinsi ya kumegana, akifanya hivyo huulizwa wapi kajifunza, wengine hata style ni moja tuu hiyo hiyo maishani, na kiwanja ni hicho hicho tuu, hakuna kubadili ili mradi mama anapata kila kitu basi ataridhika tuu, si hivyooo jamani, kila mwanadamu anakuwa ana ndoto zake, na nyingine huwa za ajabu sana lkn ukizipatia tuu umemaliza kila kitu. Mimi kwa mfano, kabla sijao nilikuwa sina kawaida ya kumsifia demu wakati nammega, lkn siku tuliyofunga harusi tukiwa honeymoon wakati natafuna tunda nilimsifia wife wangu kwa mbwe mbwe nyingi sana taratibu sikioni, kwa kweli alipagawa vibaya mnoooooo alilalamika kwa mahaba alinishika kwa nguvu, hata mshindo alioupata ulikuwa wa nguvu. Haraka nikawa mimetambua kitu ikawa saa ndo mtindo wangu nasifia si mchezo. Naona family nyingi tu baba na mama hawana ule ukaribu waliokuwa nao wakati wa uchumba.
Mwanaume mara nyingi tunatumia sana ukali, command na sometimes mke anakuwa hasifiwi tena utasikia huyu mwanamke bwana! Au wanawake bwana!! Vile vile kutoka pamoja nako vile vile kunasaidia.

my take
huyo mama sijajua undani wake wala maisha anavyoishi na mmewe, lkn nadhani mmewe hampi ukarimu unaopaswa, mmewe hamjali nadhani anakosa thamani mbele ya mmewe au, mmewe anashindwa kumtimizia ndoa kwa ufasaha, vile vile ugomvi waweza sababisha haya mambo, huwezi jua vile vile mume yaweza ana nyumba ndogo kwa hiyo mama na yeye anatafuta faraja somewhere. Lkn haya yote yasiwe sababu ya kutoka nje ya ndoa. Wana ndoa kaeni chini muongelee haya mambo. Mfanye mwenzio awe rafiki yako na si mtumwa wakoooooo!!!!

hao nao wamo, usiwateteee tu hujui pengine maksudi tu wanakomeshana.
 
Kuna wamama hawana maana, hata mimi kuna mama mmoja alikuwa jirani yangu nilikuja kugundua alikuwa anatembea na houseboy wangu! Duh! Au wanaume hawawafikishi wake zao kileleni, halafu ma houseboy wanajituma sana?

Aibu hiyo!

WHEN U STEAL.........STILL IT BIG!!!!!!!! jenga heshima mwanamumeeeeeeeeee.....!!!!
 
Back
Top Bottom