La wamiliki mnaweza kuliingilia na kulipazia sauti,ILA likija suala la maslahi ya madereva/wafanyakazi ambao haohao Taboa na Tatoa ndio waajiri wao hua hamuongei!!
Hata kama hakuna mstari ndani ya biblia uliokataza pombe,lkn kwa Askofu kukiri na kuhalalisha unywaji pombe,huko ni kupotoka na anatufanya tuwe na shaka na uaskofu wake,mimi ni mlutheri na ametuangusha kwa kweli
Hivi huyu si ndio alikumbwa na kashfa ya kupokonya mke wa mtu,na akaamua kumhamishia nje ya nchi?!!
Eeeh Mwenyezi Mungu utunusuru na hawa viongozi wa dini wanaojitoa ufahamu
Pole sana,
Kama unahamu mmea unaitwa mchunga,kwa waliokulia vijijini tumeula sana na wafuga sungura pia wanaufahamu,chuma wa kutosha kisha chemsha kabisa,kisha hayo maji uyaogee hata kutwa mara mbili,na mengine unywe walau vikombe viwili,ilinitibu hiyo kijijini.Usiache kuleta jibu
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.