Search results

  1. MO11

    Mzee Mpili wa Ikwiriri kwa Mkapa umeenda kufanya nini?

    Hawa jamaa zetu mpira umeshawashinda, kazi kutumia wazee wacheze nje ya uwanja, watakuja kufa bure. Wewe siyo mchezaji unakuja kuangalia nini? Hawa utopolo humu ndipo walipowekeza; uchawi, uchawi, uchawi, tu! Na waarabu hawarogeki "Mbwa nyinyi". - Lucy Eymael
  2. MO11

    Deportivo de Utopolo wakiongelea mechi ya jana, huyu kasema ukweli

    "Hawa wawili wameingiza goli mbili lakini kwa mbinde sana" Dah nimecheka sana!
  3. MO11

    Kundi tunalolitaka Simba

    Baada ya simba mnyama mkali kufuzu hatua ya makundi jana kwa ushindi mwembamba tulioupata wa jumla ya magoli 4 - 1 mimi kama kiongozi wa simba naomba radhi kwa ushindi huo kiduchu ndio maana tukajadiliana tupate proper striker january ili tuwe tunafunga vya kutosha Kwanza kwa inavyoonekana sisi...
  4. MO11

    Usajili wetu (Yanga SC) msimu huu

    Foward hatari wa kimataifa fox in the box aliyepachika magoli ya kutosha kwenye mechi chache takwimu zake ni hatari amekuja nchini kutusaidia kimataifa mwite Lazarous Kambole mechi 46 magoli 2. Mengine hawajayahesabu mazoezini. Winga hatari winga wa kuingia nyo kwenye box aliyelitumikia bechi...
  5. MO11

    Bora Ronaldo hakuenda man city

    Nilishtushwa sana na tetesi zilizokjwa zinsema ronaldo to the citizen Nikajisemea na vitimu vyetu hivi vibovu tutalia na kusaga meno Mungu sio Ambagile cr7 huyo utd anateseka tu timu hovyo kocha hovyo kila mechi wanaruhusu mabao wapo wazi nyuma wanaruhusu tu Angeenda Man city timu za hovyo...
  6. MO11

    Caf wajisogeza kwa simba

    Nani asiyeipenda simba ukiachana na wavuta bangi ? Nenda kwa wanalamba lamba watakwambia simba baba lao wanajeshi wa mpakani huwaambii kitu kwa mnyama Sasa Caf wameanza kuisogelea simba washajua simba ina mashabiki wengi sana Na mpira unahitaji mashabiki tena mashabiki lia lia Hivyo wameamua...
  7. MO11

    Zile bilioni 20 zipo wapi?

    Simba One team one dream Hii nchi ni ngumu sana kwa upande wa pili ila kwetu raha kama zote ndio maana tukipiga chafya wanatuambia tuna korona Kuna hoja mfu sana na dhaifu yaani aibu hata kuongelea ila hawa ndugu zetu wamekazia shingo kama ndio wakiziona watapata ubingwa Wana swali lao eti...
  8. MO11

    Timu sitini na tatu wagombania Simba day

    Hizi sio zandani wala nini. Bwana Eze Kamwaga anatuambia timu nyingi sana kutoka kila pembe ya Afrika wanagombania nafasi ya kushiriki simba day timu kubwa kubwa kuanzia zenye makombe nane ya Afrika mpaka kajamba nani huko wanagombea fursa adimu ya kuonekana duniani kucheza kwa Mkapa na Wana...
  9. MO11

    Simba Day itakuwa 19 September baada ya uto kutolewa CAF

    Tarehe rasmi ya simba day imetoka. Tukutane Kwa Mkapa September 19 Siku itakuwa ya furaha mara mbili maana uto watakuwa washatolewa, wiki moja mbele tunawabomoa tena. Kuna mlemavu alisema hakuna simba day mwaka huu Sisi ndio waanzilishi na tutaendeleza
  10. MO11

    Mo Dewji: Simba itafanyia mazoezi Marekani 2022

    Tajiri kijana mwenye hisa zake pale kwa timu bora Afrika Mashariki na namba mbili Afrika Mashariki na Kati Na wa kumi na nne Afrika nzima na wa sabini na moja dunia nzima mbele ya Arsenal Ameshaweka wazi kwamba msimu ujao kwa mabeberu pre-season Sasa wale walioshindwa hata pre season kwa...
  11. MO11

    Kutana na Sadio Kanoute

    Kwanza hatokei Congo hapaki bleech Anajua kucheza rafu anajua kupiga pasi kama dobi Ni Sadio Mane na Fedric Kanoute kwa pamoja Ngolo kante simu yake imejaa video clip za sadio Shoot power 99 kama adriano Body Balance 97 kama ibrahimovic Pass accuracy 98 kama Xavi Stamina 95 kama Ng'olo...
  12. MO11

    Mechi za Simba SC kuonyeshwa Dstv

    Hali si shwari huko Lamba lambani baada ya kumpa mlemavu nafasi ya kutukana matajiri. Sasa matajiri nasikia wanapanga mechi zao kuoneshwa na Dstv kuanzia tamasha la Simba Day mpaka mechi za kimataifa. Mimi kama shabiki wa Simba haswa tupo upande wa tajiri, hata kama hatuna ving'amuzi tutaenda...
  13. MO11

    Salamu zangu za eid kwako Hanifa

    Ni mwaka sasa umepita tangu niifute namba yako kwenye simu yangu Japo juzi juzi umenitafuta ila sio kupitia namba yangu kupitia kwa ndugu yangu habari nikazipata nikamwambia achana nae Kiukweli baada ya kuniambia kichwa changu hakikukaa sawa ndo nikajua bado upo moyoni mwangu na kichwani ila...
  14. MO11

    Pirates of Carrebean

    Naangalia hapa zaidi ya mara tano kila moja Guys wenzetu wapo mbali sana sana Hizi ni mfululizo wa movie zinazomuhusu captain Jack sparrow zipo tano kinachonivutia walioandika script hawa jamaa wamenifanya niwe nairudia kila napopata nafasi kuziangalia nikipata mwanamke ninayempenda kama...
  15. MO11

    Mo nikipenda...

    Habari za siku nyingi humu jukwaani Nipo kama sipo Ila siku zinaenda. Japo namiss zile siku nilizokua active sana humu Kuna mambo nimeweza kuyabadilisha ila hili naloleta kwenu limenishinda haswa na sijui kama nataka kutoka Iko hivi Mimi nikipenda nampigia hata mara 20 kwa siku. Kila...
  16. MO11

    Mechi za fainali za makombe ya vilabu Afrika sasa mechi ni moja tu

    Kutokana na Simba itabeba ubingwa wa caf champions league msimu ujao sasa tumerahisishiwa Shirikisho la soka Afrika limebadili sheria ya mechi za fainali sasa mbungi kuputwa uwanja usio na mwenyewe mechi itakuwa moja tu Ahsante kwa Wydad Casablanca figisu mlizofanyiwa zitaibeba Simba...
  17. MO11

    Natuma salam na wewe njoo utume zako

    Heri ya mwaka mpya wana jamii watu wa maana na mitakataka yote salam zangu za kwanza ziende kwa dada yangu Khantwe ujumbe hata kama hujanialika mimi nitakula tu ubwabwa kwa jirani salam zangu za pili ziende kwa espy ujumbe we nidanganye tu kama utanipenda maana sitaki kuambiwa ukweli salam...
  18. MO11

    Clotous Chota Chama unataka nini Christmas hii ??

    Baada ya chama kutupa zawadi ya Christmas wana msimbazi ni wakati wa kumuuliza anataka zawadi gani kutoka kwetu Je unataka kukaa madale ? diamond tutamtimua Je unataka kuwa msemaji wa simba ? Manara atafute kazi nyingine Unataka kuwa rais wa simba ? Utapata usijali Unataka kuwa rais wa...
  19. MO11

    Paul Makonda jina lake la tatu ni nani?

    Nipo hapa napata kilaji nikaanza kujiuliza hiki kiswali cha uzushi ila ni la kimantiki ambacho kinanitatiza Rais wetu anaitwa John Joseph Pombe Magufuli Makamu wa Rais anaitwa Samia Hassan Suluhu Mkuu wa mkoa wetu pendwa anaitwa nani jamani Sio kwamba nina shida sana hapana nataka nisilewe...
  20. MO11

    Cardi b hamuwezi Gigi money

    Hii nyimbo mpya ya gigi inayoitwa Kiki ni gigi gigi kanikomesha ukchukia unajipa tabu angalia video utaona Cardi b hamuwezi Gigi nimeamka kukera watu leo
Back
Top Bottom