Search results

  1. B

    Mafao: Kwanini Hela zangu zitungiwe sheria za ajabu?

    "Kwa nini hela zangu zitungiwe sheria za ajabu?" Amesikika mdau mmoja aliyeachishwa kazi na bahati mbaya kupata ajira nyingine imekuwa ngumu kwake. Alipofuatilia mafao yake NSSF kaelezwa akae miezi sita ndio atalipwa stahiki zake na atakuwa akilipwa asilimia 33 ya mshahara wake wa awali Huyu...
  2. B

    Lissu umeshindwa kupindua meza?

    Lissu umeshindwa kupindua meza? Kuna hujuma? Wananchi hawajakuelewa? Timu yako ya kampeni ndio imepwaya? Tatizo ni ukosefu wa fedha? Kuna tatizo kubwa sana la ajira katika nchi hii. Umeshindwa kutumia gap hilo kuwafanya wananchi wakuone kama mkombozi wao katika hili? Licha ya ajira za uchaguzi...
  3. B

    Uchaguzi 2020 Fao la Kujitoa ni Turufu nyingine kwa Wagombea Urais

    Baada ya sheria mpya kupitishwa iliyofuta FAO LA KUJITOA na kuja na mbadala wake wafanyakazi wengi hususani katika sekta binafsi walionja na wanaendelea kuonja joto la jiwe kutokana na kutoruhusiwa kuchukua MAFAO yao kwa mkupuo pale ajira zao zinapokoma ama kwa kumaliza mkataba au kwa kuachishwa...
  4. B

    CHADEMA msitumie CORONA kama moja ya ajenda ya kwenda Ikulu. Someni alama za nyakati. Kwa hoja ya CORONA Magufuli ni Shujaa kwa Watanzania walio wengi

    Mods naomba msiunganishe Uzi huu ubaki kama ulivyo. Natumaini hamjambo wana JF wenzangu. Nilirudi kwenye hoja yangu ya msingi. Ni dhahiri kuwa kutokana na janga lililoikumba dunia na hatua zilizochukuliwa na kila nchi, hapa kwetu Tanzania hatua zilizochukuliwa na Rais wetu zimeonekana...
  5. B

    Familia zilizopoteza wapendwa wao na walionusurika ajali ya MV Nyerere kulipwa Tsh milioni 1

    Serikali imetoa milioni 1 kwa kila aliyenusurika kwenye ajali ya MV Nyerere na amewaongezea milioni 1 watu wote waliofiwa ambao awali walipewa laki 5 kwa ajili ya kusafirisha miili ya wapendwa wao. Haya yamesemwa na Waziri wa uchukuzi, Mhandisi Isaac Kamwelwe. Pesa hizo zitaanza kulipwa kuanzia...
  6. B

    Madaraka ni matamu sana Afrika

    Nani mwenye masikio sikivu? Nani mtetezi wa wanyonge? Nani anajali? Nani mwenye uchungu na maisha ya makabwela? Nani ni nani? Prof. PLO "We elect hyenas to take care of our goats and when the goats are consumed we wonder why."
  7. B

    Walimu ajira mpya ngazi ya msingi hawajalipwa hela ya kujikimu tangu mwezi Julai

    Hii ipo katika Halmashauri ya wilaya ya Kwimba mkoani Mwanza. Sijui wamesahaulika au muda haujafika. Kumbuka hao ni binadamu na wana mahitaji yao binafsi na ya familia zao na wanalitumikia Taifa kihalali na kwa haki kwa mujibu wa sheria za utumishi wa umma. Sielewi tatizo lipo wapi...
  8. B

    Wameteuliwa kwa sababu waliinadi sera ya Hapa Kazi Tu

    Watu waliona timu ya watu 32 iliyoitwa timu ya ushindi ya CCM wakati wa uzinduzi wa kampeni za uchaguzi mkuu uliopita Watu waliona sera zilizokuwa zinatolewa na wajumbe wale 32. Kilichoshuhudiwa zaidi ni vijembe,kejeli na matusi dhidi ya upande wa pili hasa kwa mgombea aliyesimamishwa na...
  9. B

    Mods Kwanini Mnapenda kuunganisha topics huru na zingine?

    Nimepost leo topic isemayo Nani Atutetee Watanzania?!!!!!! Wadau walichangia sana lakini mwishowe ikaunganishwa na uzi mwingine tofauti. Sijui ni nini maana yake
  10. B

    Check huyu MHE. alivyochemka leo bungeni

    Badala ya kusema sheria ya mbolea yeye kasema sheria ya o.o.b.m
  11. B

    Ni kweli change ya rada ni kichocheo cha ufaulu?

    Nimetazama Taarifa ya Habari leo asubuhi ITV kuhusu Mkoa wa Mtwara kufaulu vizuri katika mtihani wa darasa la saba mwaka huu Moja ya sababu zilizosaidia ufaulu huo ni change ya rada. Ni kweli change hiyo imeelekezwa katika shule zetu? Wadau nijuzeni nami nijue
  12. B

    Jamaa kavua kobe kwenye swimming pool

    hahahahahahahahaaaaaaaaaaaaaaaaa! jf jokes bwana.
  13. B

    Alama ya Chama cha upinzani inapotumiwa na Chama tawala.

    Alama ya vidole viwili imekuwa ikitumiwa na CDM tangu uanzishwaji wake na ni alama ambayo CDM imekuwa ikiitumia katika kujibainisha kwa wananchi. Lakini CCM imekuwa ikiitumia alama hii kujibainisha kama watetezi wa serikali mbili. Je, hapo imekaaje wadau.
  14. B

    Kwanini Tanganyika iitwe BARA na Zanzibar iitwe hivyo bila mabadiliko?

    Wadau naombeni ufafanuzi wa kinagaubaga kuhusu ni kwa nini Tanganyika imekuwa kama mwiba kutamkika ndimini mwa wanasiasa tofauti na ilivyo kwa upande wa Zanzibar? Mathalan rais Kikwete katika hotuba yake ya Leo kila akitaja upande wa Tanganyika alikuwa akitumia neno BARA na akitaja upande wa...
Back
Top Bottom