Search results

  1. kituli one

    Msaada wa nyumba nzuri ya kulala wageni karibu na maeneo ya Hospitali ya Muhimbili

    Wakuu salama, Naomba msaada wa kupata lodge nzuri na yenye bei nafuu kuanzia 20,000 hadi 30,000 maeneo ya jirani na Muhimbili hoapitali. Mke na mwanangu wanakuja huko hospitali
  2. kituli one

    Natafuta lodge jirani na Kisenga LAPF conference centre

    Wakuu habarini,jumatatu ntakua Dar kuna semina ntafanyia ukumbi tajwa hapo juu,nina mtoto mchanga ninaomba msaada wa kuelekezwa lodge nzuri iliyo jirani na Kisenga na yenye bei nzuri ili nifanye booking mapema. Budget yangu ni sh.elfu 20000 hadi elfu 30000.Ahsanteni sana.
  3. kituli one

    Ngoma zangu kumi 2016

    Habari zenu,ni mwisho wa Mwaka sasa na hatuna budi kumshukuru mwenyezi Mungu kwa kuendelea kutuweka hai na kwa kweli namba tunaisoma aisee....Kwa upande wa burudani tunashukuru Mungu kwa vijana wetu kuendelea kutesa kimataifa,hongera kwa Diamond,Alikiba na wasanii wote waliothubutu kupambana...
  4. kituli one

    Nahitaji balo la shuka za mitumba

    Nipo Morogoro,nahitaji balo la shuka za mtumba,kwa anayefanya hiyo biashara hiyo tuwasiliane PM...ninahitaji haraka
  5. kituli one

    Daktari natafuta kazi

    Kwa yeyote anayehitaji daktari Morogoro mjini au sehemu yeyote,nipo natafuta kazi,nina uzoefu wa mwaka 1 baada ya kumaliza mafunzo ya vitendo,ni mchapa kazi na naweza fanya kazi bila kusimamiwa,kwa mawasiliano zaidi njoo pm
  6. kituli one

    Msaada: Nahitaji kujua ilipo Wizara ya Afya

    Wana JF, Kesho naingia kwa mara ya kwanza Dar nikitoka Mawemilu Shinyanga Vijijini, sasa naomba msaada wa kuelekezwa wizara ya afya ilipo maana ndo nina shida huko, natanguliza shukurani zangu. ========
  7. kituli one

    Jinsi ya kufika Regency hospital

    Waungwana, Kesho unatarajia kwenda REGENCY hospital,ila sipafahamu,naomba kuelekezwa kutokea Ubungo unapanda daladala zipi zitakazonifikisha huko REGENCY.
  8. kituli one

    Idadi ya wazee Morogoro

    Naomba msaada mwenye kufahamu idadi ya wazee Manispaa ya Morogoro anisaidie tafadhali
  9. kituli one

    Msaada modemu airtel huawei e 303 haisomi laini

    Naomba msaada wa mawazo modemu yangu imegoma kusoma laini.
  10. kituli one

    Msaada motorola verizon

    mi sio mtaalamu wa Masuala ya simu,nimeipenda sana hii simu nataka nijichange niichukue;android version ni 4.4.4 na kernel version ni 3.442-gdb5a4c6 na system version ni 24.13.2.obake-maxx_verizon.Verizon.en.Us.Je inaweza kua inapiga mzigo vizuri??
  11. kituli one

    Gym gym Morogoro

    Naulizia wapi ntapata huduma ya kufanyishwa mazoezi kwa morogoro mjini na bei yake kwa mwezi?Naombeni msaada
  12. kituli one

    Natafuta kiwanja Morogoro mjini

    Wasalaam wakuu, Natafuta kiwanja moro mjini cha kawaida tu nijenge kibanda cha kuishi maana nimechoka kupanga bajeti yangu ni 1.8-2mill. Nitashukuru sana kama nitasaidiwa kupata hicho kiwanja
  13. kituli one

    ACTIVIST International

    Organaizesheni tajwa hapo juu ilitangaza nafasi kadhaa za kazi mwezi uliopita,lakini wanatuma email kwa waliofanikiwa watume vyeti na shs 51500 kwa ajili ya kucertify hizo scanned doc....Wasi wasi wangu je huu sio utapeli kweli??wanadai ofisi zao zipo mikocheni B.Tafadhali mwenye taarifa zozote...
  14. kituli one

    Aborder LCD tv

    Mwenye kuzifahamu aina hizi za tv naomba anipe abc zake maana nataka kununua,je zipo vizuri?
  15. kituli one

    Gym gym

    Wapi naweza pata huduma ya kufanyishwa mazoezi ya viungo kwa morogoro mjini na bei yake?
  16. kituli one

    Masters of Health Systems Management

    Habarini wapendwa,jamani ninaombeni mwenye kuijua kozi hii abcd zake anijuze,ninatamani sana kuisoma nina shahada ya Sayansi na elimu
  17. kituli one

    Ni pikipiki gani nzuri kwa biashara ya Bodaboda?

    Ni aina gani ya Pikipiki ni nzuri kwa kufanyia biashara ya Bodaboda? Na vipi kuhusu bei zake?
Back
Top Bottom