Search results

  1. thebusdriverclassc

    INTERNSHIP: Wanahitajika maafisa mikopo wawili haraka;Babati Mjini.

    Wakuu Umofia kwenu. Wanahitajika vijana wawili wa kiume/kike,waaminifu na wachapa kazi kutoka eneo la Babati Mjini kuweza kufanya kazi ya kuuza mikopo kwa wateja wa babati mjini na vitongoji vyake. Ukiwa wewe ni mdau wa mambo ya mikopo ukiwa ni Mkazi wa "BABATI MJINI" mwenye kiwango cha elimu...
  2. thebusdriverclassc

    INTERNSHIP: Wanahitajika maafisa mikopo wawili kwa haraka Babati Mjini

    Wakuu Umofia kwenu. Wanahitajika vijana wawili wa kiume/kike,waaminifu na wachapa kazi kutoka eneo la Babati Mjini kuweza kufanya kazi ya kuuza mikopo kwa wateja wa babati mjini na vitongoji vyake. Ukiwa wewe ni mdau wa mambo ya mikopo ukiwa ni Mkazi wa "BABATI MJINI" mwenye kiwango cha elimu...
  3. thebusdriverclassc

    Msaada:Duka linalouza vioo(screen)na replacement service tv flat screen-singsung inch 32

    Wakuu salamu kwenu.!!Naomba kujulishwa duka linalotoa huduma hii kwa dar-es-salaam niweze kurepair tv yangu iliyoungua screen....ukiweka na bei ya gharama zote mpaka tv itengamae nitakushukuru sana. Nawasilisha.
  4. thebusdriverclassc

    Msaada:kwa uzembe nimechanganya terminal connection ya betri ya gari

    Wakuu..salaam.. Kama kichwa cha habari kinavyo eleza hapo juu,!!baada ya kusafiri takribani week mbili na kuacha nimepaki gari yangu,nimerudi na kukuta battery ipo down kabisa hivyo kunilazimu kuitoa na kwenda kuichajisha kwa wachajishao. Sasa katika harakati za kuirudisha nikachanganya...
  5. thebusdriverclassc

    Kilimanjaro Bus Service: Wahudumu (kondakta na madereva) acheni kauli mbaya kwa wateja

    Habarini za asubuhi wadau.Kama kichwa cha habari kinavyojieleza;Kampuni ya mabasi ya Kilimanjaro inayotoa huduma zake za usafirishaji wa abiria na mizigo mikoa ya Dar,kilimanjaro, Arusha nawaonya muache ulimbukeni na kufikiri kuwa mmefika,kiburi na dharau kwa abiria siyo jambo jema kwa...
  6. thebusdriverclassc

    Ushauri: Baada ya mke kuhamishwa kikazi kutokuelewana kukaanza

    Wanabodi salaam, Mimi ni baba wa familia mwenye mke na watoto wawili.Tunaishi vizuri mimi na familia yangu; mimi nikiwa mfanyakazi ofisi zetu zikiwa Dar na mke wangu akifanyia kazi Morogoro. Hivi karibuni tumepata jaribu kwenye familia yangu pale ambapo mke wangu amehamishiwa kikazi mkoani...
  7. thebusdriverclassc

    Msaada:Tsh 3,000,000/-Naweza kujenga double simple self?

    Wadau heshima kwenu!!Ninaishi kwenye nyumba ya kupanga,sasa usawa huu wa JPM unavyobana,nimekaa nikaumiza akili naona inaweza kufika kipindi nikakosa hata hela ya kodi maana mzunguko haueleweki.... Sasa nimekuja kwenu wadau msaidie kunipa ushauri juu ya hili wazo langu...Katka kufikiria...
  8. thebusdriverclassc

    msaada:Gari kupiga resi na kuzima ghafla

    Wadau habari!!Leo nimepatwa na janga nikiwa barabarani kuelekea kwenye mizunguko yangu,ghafla gari yangu aina ya toyota-ist ilivuta(kupiga resi)kisha kuzima,hapa nilipo nimemwita fundi aje kuichek....ila nikaona cyo vibaya kuingia humu jukwaani kupata abc za tatizo linaweza kuwa limesababishwa...
  9. thebusdriverclassc

    Daycare centre, hazina iliyojificha

    Habarini za mchana wadau, natumai mpo salama mkiendelea kutimiza majukumu yenu ya kila siku. Niliwahi kuja na wazo biashara siku zilizopita. Biashara ya M-pesa, nashukuru kwani nilipata michango ya wadau wengi, ikieleza faida na hasara za hii biashara. Mimi binafsi kutokana na michango...
  10. thebusdriverclassc

    Ushauri: Engagement party ya watu wengi

    Wadau habarini za asubuhi, Ni jinsi gani ninaweza kufanya engage party ndogo nzuri,ambayo itahusisha ndugu wa pande zote (me&ke) na marafiki wachache bajeti yangu milioni moja na nusu am stranded. Naombeni mchanganuo wadau maana shughuli ni mwezi ujao
  11. thebusdriverclassc

    Je, Ni sawa kwa mpenzi wangu kufuatilia nyendo za mpenzi wake wa zamani?

    Habarini wadau, Hili linatokea mara ya pili baada ya ile ya kwanza kukuta kaisave namba ya huyo mpenzi wake wa zamani kwenye namba yake mpya ya simu baada ya kuiacha ile ya zamani nikiuliza naambiwa nimesave tu kutaka kujua jamaa anaendeleaje kupitia whatsapp profile yake, je wadau hii ni sawa...
  12. thebusdriverclassc

    Multi-maca travels u to maca

    Habari zenu wadau, Multi maca inatokana na mmea unaoitwa lepidium meyenii kutoka nchi ya Peru na una historia zaidi ya miaka 2000,Nchini Peru mmea huu hutumika na watu kuanzia umri wa miaka mitatu na hutumika ili kuongeza stamina. Multi maca ni vidonge vilivyotengenezwa kutoka kwa mmea huu na...
  13. thebusdriverclassc

    Msaada: Nataka kuoa mwezi wa 12, wenye uzoefu na kamati za maandalizi

    Wana MMU, bila shaka mko poa, Mwenzenu ninataka kumuweka shemeji yenu ndani mwezi wa 12 mwaka huu, tumekubaliana harusi ya gharama ndogo ila sasa kijana wenu sijui makadirio ya harusi ndogo ya watu kama 80 ninatakiwa niandae kiasi gani, kuna swali huwa wanaulizwa mabwana harusi, una shilingi...
  14. thebusdriverclassc

    Nikaribishen wana jamiiforum

    mimi ni mgeni kwa hii forum
  15. thebusdriverclassc

    Nikaribisheni wana jamiiforum

    mimi ni mgeni katika huu ukumbi
Back
Top Bottom