Search results

  1. KILITIME

    Nataka kusafiri kwa Pikipiki ya BAJA XLR 250 kupitia Mbuga ya Mikumi, Je, kuna usalama?

    majibu mengi uliyopewa naona zaidi ni watu wasiokubali kuacha jambo lipite hata kama hajui lolote juu ya hilo ukweli nikwamba utapita salamaa 100% sababu kwanza hakuna mnyama hata mmoja asiyemuogopa binadamu ndio maana ukipita unakutana hata na waenda kwa miguu kimsingi moja ya majukumu ya...
  2. KILITIME

    Hisia za Katibu Mkuu CHADEMA Taifa zaanza; Je, Marcossy Albanie atatufaa?

    mmmh ngumuuu kwa kuzaliwa Turiani kuja kua katibu mkuu wa CDM hii mmmh sijui ngoja tuone na Sumaye???!! Napita tuu
  3. KILITIME

    Wabunge wa kuteuliwa na rais ni lazima waapishwe na spika?

    hata naamini mbunge lazima aapishwe na spika ili kukamilisha ubunge wake baada ya kukabidhi cheti cha ushindi au kuteuliwa nnahisi kwakua ameteuliwa na raisi haizuii kuanza uwaziri kabla hajatekeleza wajibu wake bungeni yaani kua mbunge kamili baada ya kuapishwa sina hakika na majibu yangu ila...
  4. KILITIME

    Hivi ni kwanini nguzo za zege hazitumiki kama nguzo za umeme?

    hata tz tunazo ila ni kwa uchache nimepata kuziona hivyo ni wazi tunazo ingawa sio kwa wingi kama nchi jirani hasa Kenya zinatumika sanaa sijajua kwanini??
  5. KILITIME

    Nakshi nyumba yako kwa finishing na Crystone paint

    duuuh nimetamani sanaa na nimekua naona ktk nyumba za watu ngoja nikutafute kwa whatsapp kwa mawasiliano zaidi!!
  6. KILITIME

    Majimbo walioshinda CHADEMA ni uwekezaji wa Slaa na CHADEMA asilia

    duuh ngumu kuielewa hii kwa bahati mbaya zaidi wachangiaji tulio wengi tuko ktk ushabiki zaidi!!
  7. KILITIME

    Simuelewi kabisa Mbowe!

    Duuuh mimi napita tuu!!!
  8. KILITIME

    Iringa - Matukio na Matokeo ya Uchaguzi Mkuu 2015 kama yanavyotujia

    pole lukuvi yaelekea kashinda sijui anaweza kurudishiwa wizara ileile????
  9. KILITIME

    Asanteni wana Kyela kwa kuikataa CCM

    ukweli atashinda ingawa sio kwa kura nyiingi kama alivyozoea na ama kwa hakikaa atakua mmbunge tofauti kiukweli bahati aliyokua nayo ni aina ya mbunge wa ukawa anategemea kubebwa na chama zaidi hana uwezo mzuri kisiasa na hana ushawishi mkubwa pia kuna kachembe cha ukabila hapa ukizingatia...
  10. KILITIME

    Kura za Dr. Magufuli dhidi ya Lowassa

    mi napita tuu kunya anye kuku akinya bata........
  11. KILITIME

    CHADEMA/UKAWA muwe wa kweli kwa kauli hii ya Mwl Nyerere

    nikama vilee baada ya kufa nyerere wenye akili pia sijui wamekufa?? ukimsikiliza hiyo ya kuyatafuta mabadiliko nje ya ccm sijaelewa alikua anawalenga wananchiiii au viongozi hasa ukijua wazi pia alisema kuna wa kuogopwa kama ukoma sijui ni haohao ???
  12. KILITIME

    Kuelekea Kumbukumbu ya kifo cha Mwl Julius K Nyerere na Uchaguzi Mkuu

    nnayoikumbuka ni ile ya kuwaogopa kama ukoma...
  13. KILITIME

    Shetani akizeeka anakua malaika

    kama ifuatavyoooo .........
  14. KILITIME

    Shetani akizeeka anakua malaika

    jamani mi napita tuu ila nimegundua kua siku hizi SHETANI AKIZEEKA ANAKUA malaika napita tuu
  15. KILITIME

    Machemli, mbunge wa CHADEMA, ahamia ACT Wazalendo

    kaaazi kweli kweli :smile-big::smile-big:
  16. KILITIME

    Prof. Ibrahim Lipumba atangaza kujiuzulu nafasi ya Uenyekiti wa CUF Taifa

    Duuuh mi napita tuuu :israel::israel:
  17. KILITIME

    Kwa anayejua kuweka animation ktk txt whatsapp

    kwa mujibu wa cm kadhaa nlizoshika hizo zinapatikana pale ktk box la kuandikia ujumbea alama ya kwanza kishoto click zinatoka chache chagua moja itakupa zinazofanana ujumbe sina hikika kama nimekuelewesha vzr
Back
Top Bottom