The Businessman
JF-Expert Member
- Jan 9, 2014
- 7,404
- 9,234
Amani iwe kwenu,
Tarehe 14 mwezi wa 10 ndio kumbukumbu rasmi ya kukumbuka kifo cha baba wa Taifa Hayati Mwl Julius K Nyerere.
Kumbukumbu hii imekuja wakati muafaka na sahihi kwani tupo kwenye kipindi cha Uchaguzi Mkuu utakaotupatia Rais, Wabunge na Madiwani.
Moja ya kauli ambayo aliwahi kuisema enzi za uhai wake na inavuma sana kwa wakati huu ni kuwa "....Watanzania wanataka mabadiliko, wasipoyapata ndani ya CCM watayatafuta nje ya CCM..".
Wewe unamkumbukaje?