Search results

  1. Gibeath-Elohimu

    Kifuatacho baada ya Job Ndugai kujiuzulu, tukae mkao wa kula

    Natumai sote tuko poa na salama, hakika Mungu ashukuriwe Kwa rehema na neema zake. Japo nchi na raia wengi wamepokea taarifa za kujiuzulu Kwa speaker wa Bunge Kwa taharuki na mshangao. Lakini swali la kujuiliza hapa, je, nini kutafuta/nini maana ya hii move Kwa maana ya mihimili ya nchi...
  2. Gibeath-Elohimu

    Eee Mwenyezi Mungu utusamehe na kuturehemu

    Wasalamu Wana bodi natumai nyote mu wazima wa afya. Naomba kutanguliza hayo maombo hapo juu Kwa unyenyekevu kabisa mbele za MUNGU Mwenyezi Kwa taifa letu na watu wake. Maombi haya nayawasilisha mbele za MUNGU Kwa uchungu mkuu na toba,hii yote ni baada ya kufanya tathmini na kugundua kuwa...
  3. Gibeath-Elohimu

    Halotel, Network yenu leo ina shida gani?

    Enyi mtandao wa halotel, network yenu leo haisomi kabisa. Shida ni nini au tatizo ni katelephone kangu.Au ndo maboresho ya vifurushi. Naomba muongozo wenu katika hili.
  4. Gibeath-Elohimu

    Halotel mnazingua

    Kwenu Halotel!! Hakika mlianza vizuri sana Katika swala zima la huduma zenu, hasa kwa vifurushi vya internet kuwa vya bei nafuu na speed nzuri kabisaa. Lakini siku za hivi karibuni hakika mnakera sana,speed ya vifurishi vyenu ya internet ni ndogo kupitiliza unakuta inapiga 0.0kbs/s kwa muda...
  5. Gibeath-Elohimu

    Hizi luku za Tanesco zina shida gani si ni bora mita sasa

    Salaam wana JF na kwenu TANESCO, Mimi kama mteja wa hili Shirika napata tabu sana juu ya hizi luku mpya.Maana ninalazwa kwenye giza ili hali token numbers za kuwe kwenye mita ninazo.Tatizo ni kuwa button/vitufe vya mita yangu havifanyi kazi kwa ghafla tu tena bila sababu yoyote ile,ripoti...
  6. Gibeath-Elohimu

    Laptop haingizi chaji wala kuwaka kabisa japo adapter yake iko njema

    Wasalam ndugu wana bodi, Natumai miongoni mwetu humu ndani wako wabobezi wengi sana wa maswala ya mifumo ya computer. Hivyo basi naomba kuwasilisha tatizo langua kwenu wataalam Wa maswala haya nikitegemea msaada wenu wa ushauri na hata utatuzi. Ni kama miezi miwili sasa machine yangu (laptop)...
  7. Gibeath-Elohimu

    Walioitwa usaili FCC (Fair Competition Commission Tanzania)

    Salaam ndugu wana JamiiForums, Naomba kuwasilisha kwenu maulizo yangu juu ya uwepo wa mjumbe yoyote humu ndani mwenye taarifa za kuitwa kwenye usaili kwa nafasi zilizo tangazwa siku kadhaa zilizopita na tume ya ushindani Tanzania (Fair Competition Commission Tanzania). Nitashukuru sana kwa...
  8. Gibeath-Elohimu

    UDSM Tuitorial Assistant Interviews

    Salaam wadu wa humu jamvini. Naomba kuwasilisha swali dogo kwenu nikiomba kupata updates kama kuna yeyote aliyeitwa kwa nafasi za T.A kitivo cha sheria. Natanguliza shukran kwenu wanajamvi.
  9. Gibeath-Elohimu

    Logo Sketches for T-shirts printing

    Habarini za Jumapili ndugu wana jamvi,natumai mu wazima wa afya tele! Bila kupoteza wakati,napenda kuwashirikisha wazo langu(kipaji ambacho nimekikalia kwa muda sasa bila kukutumia kwa minajili ya kuniingizia walau kipato.Hii hasa ikichochewa na ukweli kwamba kwa sasa soko la ajira ni gumu...
  10. Gibeath-Elohimu

    Msaada:vitabu vya softcopy.

    Wasaaalam wanajamvi,natumai nyote mko salama salmin. Naomba kuwasilisha ombi langu kwenu kwa yoyote mwenye vitabu mbalimbali(inspirational,philosophical,biographies,historical,novel) softcopy,anisaidie hata kwa link au site nzuri nitakayo weza download free(ukiachana na google book).Natanguliza...
Back
Top Bottom