Logo Sketches for T-shirts printing

Gibeath-Elohimu

JF-Expert Member
Jan 5, 2014
487
698
Habarini za Jumapili ndugu wana jamvi,natumai mu wazima wa afya tele!

Bila kupoteza wakati,napenda kuwashirikisha wazo langu(kipaji ambacho nimekikalia kwa muda sasa bila kukutumia kwa minajili ya kuniingizia walau kipato.Hii hasa ikichochewa na ukweli kwamba kwa sasa soko la ajira ni gumu kupindukia,hivyo nimeonelea ni vyema wakati nikisubiria kupata ajira ya profession yangu kutumia kipaji hiki.

Hivyo nawasilisha uzi huu kwenu wana jamvi kwa ushauri,msaada(wa namana ya kutengeneza kipato kupitia kipaji hiki) na hata muongozo hasa kutoka kwa wale ndugu zangu wanoa juhusisha na maswala ya T-shirt printing and drawing na wengine watakao guswa.

Hapa chini nimeambatanisha baadhi tu ya sketches za logo ambazo nimezichora mwenyewe kwenye karatasi za A4, kwa muda mrefu ni kiwa na uono wakuwa logo sketcher wa T-shirt printing firm na mchoraji.Nimeepuka kuweka sketches zangu zote kwa kuhofia swala la wazo kupokwa,hivyo kama utaona kitu kupitia baadhi ya hizi hapa chini na una msaada(juu ya naman ya kutengeneza kipato kuptia hii talent),ushauri ama wazo la kuongezea niko tayari pia kukushirikisha logo sketches nyingine.Japo kuquality ya muonekeno sio nzuri kutokana na simu yangu natumai wazo litaeleweka!.Barikiwa nyote!!
 
Wadau mnaojihusisha na mambo ya T-shirts printing and drawing....ushauri wenu na mawaidha yenu ni muhimu!.Chondechonde wadau,msipite kimya kimya!
 
Niliziweka wandugu....sema nikaona kimya,hivyo nikazitoa kuhofia wazo kuibiwa.But nikipata mda wa kukaa na pc nitazirudisha tena maana wadau mmeonyesha kuelewa haya mambo!
 
ok. au nutumie kwa email
eayetu at yahoo com

nimetenganisha tumia kawaida
 
ok. au nutumie kwa email
eayetu at yahoo com

nimetenganisha tumia kawaida
 
Shukran sana waungwana kwa kuona huu uzi na kuonyesha moyo wa utayari ktk kushauri na hasa kufanyia kazi ideas za logos ambazo nimezisketch.

Waungwana niko tayari pia kuonana uso kwa uso nikiwa na logo zote(kwa wale wanaonelea ni vyema kufanya hivyo,hii itajenga pia hata kuelewana vizuri) hasa kwa wadau walio DAR ili tufanyie kazi hizo logo sketches.......kwa wale wa email nitacheck na nyie.

Niko tayari kupeana ushauri,kupiga kazi na kupeana idesa juu ya namna gani ya kufanya kipaji hiki kuwa chenye tija na mdau yoyote mweye ujuzi katika maswala haya ya logo sketching and drawing na yoyote yule mwenye kuyaelewa mambo haya.

Natanguliza shukran na Baraka tele kwenu waungwana,natumai tutazidia kupeana mwanga katika hili.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom