halotel

Viettel Tanzania Public Limited Company, trading as Halotel,is a mobile communications company, providing voice, messaging, data and communication services in Tanzania. It is owned by Viettel Global JSC which is the state-owned Investment Company from Vietnam investing in the Telecommunications market in several countries worldwide. It has invested up to $1 Billion into the Tanzania's telecommunications market. The Company was the first company in Tanzania allowed to lay its own fiber optic cable and has placed over 18,000 km of optic fibers, providing all 26 regions of Tanzania services.The Tanzanian telecom market is one of the most competitive markets in Africa and Tanzania has over 71% mobile phone penetration. The company aims to capitalize on the providing a very wide coverage as quickly as possible and the company claims to cover over 81% of the country's area soon to be the higher than any of the major providers.

View More On Wikipedia.org
  1. M

    Halotel imekuja Tanzania mwaka 2015 kamkuta TTCL ana miaka 30 sokoni ila Halotel kampita wateja TTCL

    Telecom market share ya Tanzania ya mwaka 2023 kutoka TCRA inaonesha wazawa tulivyo wavivu na wazembe kwenye kuongoza mashirika ya umma Baada ya kuanzishwa October 2015 iliwachukua mwaka mmoja tu Halotel kufikisha wateja milioni tatu (3), yaani by mwaka 2016 October Halotel alikuwa tayari...
  2. Melki the Storyteller

    Msaada: Laini yangu ya Halotel imepata matatizo ya kiintaneti

    Nimesajili laini ya Halotel mpya, hii ni baada ya kupoteza laini niliyokuwa nikitumia ambayo haikuwa na matatizo yoyote, ni vile tu nilisajiliwa na mtu ambaye niko mbali naye kwa sasa (Ex) Laini hii niliyosajili leo haina ufanisi kabisa kwenye suala zima la kimtandao. Yaani ipo very slow...
  3. Mkoba wa Mama

    TCRA waichunguze kampuni ya simu za mkononi ya Halotel

    Mtandao wa Halotel umekuwa na tabia ya kukata salio la muda wa maongezi mara tu unapoongeza salio. Hii imenitokea zaidi ya mara tatu sasa, na nikipiga simu huduma kwa wateja naambiwa kuna huduma nimejiunga inayokata salio hilo, wakati hakuna huduma yoyote ambayo mimi nimejiunga. Mbaya zaidi...
  4. M

    Postpaid internet connection kwa Vodacom, Tigo, Airtel, Halotel

    Wakuu Salaam, Naomba msaada kujua mtandao gani kati ya Vodacom, Tigo, Airtel, na Halotel wana gharama nafuu ya POSTPAID INTERNET CONNECTION na wenye kasi nzuri. Asante.
  5. I am Groot

    Halotel wanaibia wateja!

    Salaam Kuna vitu siku hizi sivielewi na huu mtandao. Nimeviona mara kadhaa nikabaki kujiuliza na sina jibu. Unanunua bando la internet ila hawa washenxi wanakula bando lako zaidi ya 30% hujui limeenda wapi. Kuna watu watakuja kuniambia simu yangu kuna app zinarun kwenye background!. Hili ni...
  6. Suip

    Halotel bado mnatoza tozo za serikali?

    Unapotao fedha kutoka kwa wakala bado unatozwa tozo za serikali wakati serikali ilishatamka kuwa tozo za serikali imeshaondolewa kwenye miamala ya simu.Je hii ni sawa au kwa anayefahamu tafadhali ufafanuzi.
  7. Exile

    Nadhani airtel waache kutumie neno 4G kwenye laini zao 4G ya airtel sawa na 3G ya halotel

    Nadhani hii kero ya mtandao wa AIRTEL sio kwangu tu kuna wakati unanunua MB ufatilie habari unakutana na changamoto ya mtandao hadi MB zimeisha na huelewi zimeishaje maana taarifa uliyo unaifatilia kama ni video unakuta imeisha na umesikia kwa kukatika katika tu.
  8. Restless Hustler

    CCM, Halotel na DP World wana lao

    Nimekuwa nikipokea SMS za CCM kupitia line ya Halotel Kama inavyoonekana hapo chini. Pia soma: Kumbe Halotel ni CCM?
  9. I

    Halotel waache uhuni wa kuwaibia wateja

    Wasalam wadau wote. Nachukua fursa hii kuitahadharisha kampuni ya simu za mikononi ya Halotel kuacha kabisa hii tabia ya hovyo wanayofanya ya kuwaibia wateja wake. Kampuni hii ina tabia moja ya hovyo sana kwamba wakiona una GB nyingi kwenye simu yako na unataka kuongeza tena salio kwa kuongeza...
  10. Basi Nenda

    INAUZWA Nauza Halotel MIFI (router) 4G

    Ni router inayotumia single sim card ya Halotel, ipo na box lake ila imetumika kidogo Bei Tsh 40000 Location: Mwanza Charger haina, ila inatumia charger ya simu Halotel wanasema kifaa hiki kina connect devices kumi UPDATE; nilishaiuza
  11. Mudi_kidato

    Halotel wanatuibia sana

    HABARI wana jf kupitia umoja wa frilenca dar zone ya kinondoni nimekuja hapa kuomba msaada wa kisheria kuhusu kampuni ya halotel viettel plc hii kampuni tunaifanyia kazi ya kusajili line zasimu na ilikuwa tunapata mshahara kupitia camishion tena kwa % ukisajili mteja unapata %60 yamatumizi ya...
  12. N

    Boomplay Yaingia Makubaliano Na Halotel Kurahisisha Usikilizaji Wa Muziki Kidijitali

    Boomplay, App namba moja ya kusikiliza na kupakua muziki barani Afrika, imeshirikiana na Kampuni ya Mawasiliano ya simu, Halotel kuzindua kifurushi cha ‘Boomplay na Halotel’ ikiwa ni sehemu ya jitihada za kuendelea kurahisisha usikilizaji wa muziki kidijitali kwa Watanzania. Ushirikiano huu...
  13. Chaliifrancisco

    Halotel Kifurushi cha Kimataifa

    Wadau niaje? Asee hawa halotel nimejiunga kifurushi cha kupiga German na UK ili niongee na wadau wangu wa huko ila hela wamekata na nikipiga wananiambia namba haipo. Mnaopigaga hizo nchi hebu nipeni maujafanja maana hata nikipiga customer care yao hawapokei simu. Sema nini, sisi wabongo...
  14. MHP

    Mtandao wa Halotel wanafanya wizi wa kutisha kwenye bundle za wateja kuanzia leo saa 6 mchana tarehe 05.01.2023

    Kuanzia leo saa 6 Mchana tarehe 05.01.2023 Mtandao wa Halotel unawaibia wateja wake bila huruma kupitia Vifurushi vya Internet. Ukijiunga kifurushi cha Siku cha Shilingi 1,000 ambacho wanakupa MB 490 na mara Tu ukianza kukitumia ndani ya Dakika 3 Kinakuwa kimeisha. Kwa MB 490 ukiangalia video...
  15. Restless Hustler

    Kumbe Halotel ni CCM?

    Halotel Ni CCM
  16. Munguwetu

    Halotel nimewavumulia vya kutosha, kwaherini

    Niliwaamini Sana niliwavumilia Sana. Najua nikiangalia salio nimechangia kampuni yenu na vinatosha. Narudi nyumbani. Inatisha, nimekuwa nikununua airtime tena via halopesa, nimefanya hivyo kw mtindo wa si chini ya 8-9000 Kwa siku..... Kwa mwezi mzima haipungui 9000*30 =270,000 Kwa uchache...
  17. East

    Halotel hiki ni nini?

    Hii mitandao jamani kifurushi ni cha elf moja, nimewasha data kama dakika mbili kuzima naletewa ujumbe huu. Hapo nimejiunga kwa elf moja na sio elf tatu
  18. Zeal of God

    Postpaid ya mtandao wa Voda, Halotel, Airtel

    Kichwa cha habari chajieleza, naomba mwenye kufahamu gharama za kujiunga postpaid ya mitandao tajwa hapo juu anisaidie chati yake.
  19. Suzy Elias

    Nina tatizo la dharula Halotel napiga 0 kuongea na huduma kwa wateja hawapokei kuanzia saa 9

    Ndugu zangu mwenye kufahamu namba tofauti na 0 ya huduma kwa wateja halotel anisaidie maana nimepiga hiyo 0 wala haipokelewi tokea saa 9
  20. Checnoris

    Halotel imekumbwa na nini, si mseme msaidiwe?

    Kampuni hii haipendagi kusema Chochote na Wala hamuna Kawaida ya kutuma mimeseji miiiingi kama makampuni mengine. Kuna jambo lipo kimyakimya muwe mnasema. Yaani kama ni kukakata mnakata tu, yaani inaitwa kukata juu kwa juu furushi zenu. Sawa nimekubaliana na Hilo. Je, wiki nzima Sasa...
Back
Top Bottom