Search results

  1. kidonto

    Nauza Taa za Video Production

    Habari.....! Nauza Taa za Video Production, 8 tube led light. Dukani utaipata kuanzia 300,000. Mimi nakupatia hii kwa 170,000. 0686279540 Dar es salaam.
  2. kidonto

    Computer4Sale Nauza Laptop Mac book Air ya 2017

    Habari..! Nauza Laptop, nimeitumia tu kama miezi 4, iko vizuri kama mpya tu. Bei ni 950,000. 0686279540 Dar es salaam. SOLD.
  3. kidonto

    Relationship

    Italian Relationship: 1st day= Sex 2nd day= Sex again. French Relationship: 1st day = movies & kiss 2nd day = Sex 3rd day = Sex again British Relationship: 1st day= hangout & kiss 2nd day = kiss & hug 3rd day= kissing, hug and smooching 4th day = sex and more sex American Relationship: 1st...
  4. kidonto

    After sex, what's next? May be it can help to someone out there

    AFTER SEX WHAT NEXT. It's possible for any man to ask for sex in a relationship, but is left for you as a lady to know that sex, can't keep him..(Sex isn't enough) There's a two major factors ladies complain about sex in a relationship: (1) After giving him my body he left me.. (2)He left...
  5. kidonto

    Kwa nini ndoto haziji zikiwa na ujumbe moja kwa moja?

    Habari, Sidhani kama kuna binadamu ambaye haoti ndoto! Kwanini Ndoto nyingi tunazoota, ukitafuta Tafasiri za ndoto toka kwa watu wa kiroh zinakupa ujumbe tofauti na ulivyoota! Mfano: ~ Utaota unagalagala kwenye kinyesi, tafsiri itasema utapata pesa nyingi karibu! ~ Utaota unapigana na vibaka...
  6. kidonto

    Nina swali kwenu Wachungaji wenye ujuzi na Biblia (Imani)

    Shalom! Nataka tu kujifunza na kuongeza Imani yangu! Nimekua nikishuhudia Watu wengi wakifunguliwa Makanisani kwa Macho yangu! Nimeshuhudia Baadhi ya watu wakifunguliwa kwa namna tofauti, katika kisa kimoja, mwanaume wa Makamo alikua Mgonjwa akiamini Kalogwa, alihangaika kutafuta Tiba toka kwa...
  7. kidonto

    Mume anauma!

    Utani wa Ngumi huu.
  8. kidonto

    Madini Aina ya GOLDEN FELDSPAR na SUN STONE yanahitajika

    Habari, madini tajwa hapo juu yanahitajika Sokoni Dar es salaam... kwa wingi... tuma picha ya mzigo ulonao, sema na offer yako... tuma picha kwa Whatsapp 0714417641... Asante.
  9. kidonto

    Hivi wanawake wa Kizungu nao ni pasua kichwa kama hawa wetu kina Mwanahamisi?

    Wakuu! Kuna mwanamke wa Kizungu nimetengeza Distance relationship na yeye, tuna miezi 3 sasa na juzi tumepanga ku meet next year mwezi wa 5,na hiyo ni Mimi kwenda Europe, Matarajio yetu ni kufunga ndoa, but nafikilia wanawake wa Kizungu sio mizinguo kama wanawake wa Kibongo? Mliooa Wazungu...
  10. kidonto

    Msaada! Ni wapi zimetengwa huduma za Watu wanaougua Kipindupindu! kinondoni!

    Mtoto WA jirani yangu Ana dalili zote za kipindupindu, Now ndo tunampeleka hospital, naomba kujua zilipotengwa huduma kwa watu wenye kipindupindu kwa wilaya ya Kinondoni!
  11. kidonto

    Katiba pekee ilitosha kuwaondoa CCM!

    Kwa issue ya Katiba peke yake ilitosha kuwatosa ccm! Lakini kwa sababu Watanzania ni viumbe wa ajabu kuwahi kutokea hapa duniani, yani huipati dizaini hii hata Kenya, Zambia au South Africa, only in Tanzania! sitashangaa Magufuli akipata hata 40% wakati hakustahili.
  12. kidonto

    Kura yetu haijawahi kuwa na thamani, huu ni mwaka wa kuipa thamani kura yetu!

    Wakuu! Toka uchaguzi WA vyama vingi uanze Kura zetu Kama Watanzania hazijawahi kuwa Na thamani stahiki, mwaka huu ndo mwaka WA kuipa thamani Kura ya Mtanzania, tuwaondoe CCM tukiwaambia tunawaondoa kwa Sababu speed yenu imekua ndogo ukilinganisha Na rasilimali tulizonazo, tuwape nafasi Ukawa...
  13. kidonto

    Mahindi mabovu yanahitajika zaidi ya tani 2,000!

    Wakuu mwenye nayo anipe bei popote pale yalipo ndani ya Tanzania!
  14. kidonto

    Vifaa vya kuonyesha Mpira vya Dstv na Azam vinauzwa.

    Vifaa vinavyouzwa Ni Dstv dish Na decoder yake, Dish la Azam Na decoder yake, tv 2 kubwa, mabenchi 20 ya kukalia, vyote vinauzwa kwa 1,200,000 Tu, vifaa vipo Dar es salaam, Kama uko interesting inbox me please!
  15. kidonto

    Masoko ya Biashara ya Dagaa wa Mwanza kwa Dar es salaam!

    Wadau kuna mtu ameniomba mmsaada wa kujua bei ya Dagaa wa Mwanza kwa hapa Dar kwa bei ya jumla kwa gunia, kama kuna anajua chochote kuhusu biashara hii, share nasi unachojua please...bei na masoko!
  16. kidonto

    Nawezaje ku-reset setting kwenye king'amuzi cha Startimes?

    Mwanangu mdogo kachezea remort na kaweka Password ambazo mwenyewe hakumbuki, sasa siwezi kufanya chochote, nawezaje ku-resert setting?
  17. kidonto

    Watanzania ina maana ukweli huu hamuuoni?

    Habari Wadau! Nasema hivi!....Hata kama Mbowe akijiondoa kesho Chadema, hata kama Mbatia na Mzee Makaidi wakajiondoa keshokutwa! yani nasema hiviiii! hata kama Lowassa akajiondoa kugombea kupitia Ukawa. Ni bora nipigie kura Kinyesi kile kuliko kuipigia kura CCM, kama vijana hatuhitaji Serikali...
  18. kidonto

    Naweza kupata VISA ya Angola nikiwa Boda?

    Wadau kwa mtu yeyote anayejua kama naingia Angola kupitia Zambia naweza kupata visa nikiwa Boda? inaweza cost kiasi gani kwa visa ya miezi 3? na wana accept Show money kiasi gani?
  19. kidonto

    Kama ni mtu wa Marketing toka Airtel, Tigo, Voda, Zantel, TBL n.k, nina mchongo!

    Wakuu nina mchongo ambao utakuwa na faida kwa kampuni, kwenu na kwangu. Kama kuna Marketing Officer yoyote toka kampuni tajwa au kampuni nyingine kubwa mni PM tafadhali, sometimes ni ngumu kuwapata maofisini kwenu, tunaweza tumia jukwaa hili kupeana madili.
  20. kidonto

    Roller Machine kwa ajiri ya kushindilia barabara inauzwa!

    Ni ile ya mkono, ina drums 2, ipo kwenye hari nzuri, ni shida za dunia zimefanya iuzwe, Bei ni Mil. 10 kama upo interest ni PM tafadhari.
Back
Top Bottom