Masoko ya Biashara ya Dagaa wa Mwanza kwa Dar es salaam!

kidonto

JF-Expert Member
Jan 5, 2014
1,947
2,837
Wadau kuna mtu ameniomba mmsaada wa kujua bei ya Dagaa wa Mwanza kwa hapa Dar kwa bei ya jumla kwa gunia, kama kuna anajua chochote kuhusu biashara hii, share nasi unachojua please...bei na masoko!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom