Mahindi mabovu yanahitajika zaidi ya tani 2,000!

kidonto

JF-Expert Member
Jan 5, 2014
1,947
2,837
Wakuu mwenye nayo anipe bei popote pale yalipo ndani ya Tanzania!
 
Nimeambiwa kwenye Maghala ya Serikali huwa Mahindi haya mabovu yanapatikana, Kama Kuna mdau hapa ana mawasiliano Na Ghala lolote la chakula Tanzania hii naomba msaada WA mawasiliano tafadhari!
 
SWALI.

Je, mahindi mabovu yakoje? ( unamaana yaliyo oza au yaliyotobolewa na wadudu)
Je, unataka kwa matumizi gani? ( usije ukasaga ukaenda kuwauzia wananchi wenye njaa).
Je, unakibali cha TFDA?
 
kweli Giuseppe wasije wakawa wanapeleka mashine na kusaga na kupakilia wananchi na kuwauzia! kwa kukwepa mahindi mazima! mfanyabiashara katika ela hanaga roho ya utu.
 
SWALI.

Je, mahindi mabovu yakoje? ( unamaana yaliyo oza au yaliyotobolewa na wadudu)
Je, unataka kwa matumizi gani? ( usije ukasaga ukaenda kuwauzia wananchi wenye njaa).
Je, unakibali cha TFDA?


Nataka Mahindi mabovu, yawe yaliooza au yaliyotobolewa Na wadudu kiasi ambacho hayafai kwa chakula cha binadamu! Kazi nnayeenda kuyanyia Ni nje ya matumizi ya binadamu.....!
 
Kama si mabovu ila ni mazima hutaki?


Mkuu nataka mabovu Tu, nipo hapa Kibaigwa nimeanza kuyakusanya so Kama kuna mdau pande hizi au popote Tanzania mwenye nayo tuongee biashara coz nahitaji mahindi mengi!
 
Back
Top Bottom