Search results

  1. M

    Nitapata Wapi Riwaya Nzuri za Zamani

    Naweza nikapata wapi riwaya ya "Mambo ya ajabu yaliyompata Allan Quatermain na wenzake?" Riwaya zingine nzuri ni kama gani? Kufahamu vitabu vingi vilivyoandikwa na waandishi wa kitanzania angalia uzi huu Vitabu vilivyoandikwa na Waandishi wa Tanzania
  2. M

    Ombi: Serikali Imshtaki Godfrey "GADO" Mwapembwa kwa kosa la kumkejeli Rais Magufuli

    Huyu mTanzania anayejulikana kama "GADO" amekuwa na mazoea ya kuwakejeli viongozi wetu wapendwa. Sasa hapa kamkejeli rais wetu anayependwa na wote (isipokuwa wachache tu ambao ni negligible na incosequential.) Naomba serikali ya Magufuli imshataki in absentia kwa kuwa amejificha Kenya...
  3. M

    Wanaume Kenya Wabadilishana Wake Zao

    Hili ni la kushangaza sana Two couples in Busia County have left locals of Siroba and Namuchula villages in Matayos and Butula Constituencies in utter shock after they swapped partners. The two women, Lilian Weta aged 28 and a mother of three, and Millicent Auma, 29, a mother of two, said they...
  4. M

    Bomba La Mafuta: Total SA yasitisha rasmi mpango wa kujenga bomba la mafuta la Tanga-Hoima

    Hivi majuzi kulikuwa na kutoelewana kati ya Total na Tullow kuhusu ununuaji wa Hisa: https://www.jamiiforums.com/threads/kampuni-ya-uchimbaji-mafuta-uganda-yavunja-mkataba-na-total-je-maslahi-yetu-kwenye-bomba-la-mafuta-yatakuwaje.1623165/ Sasa Total SA Imetangaza kuwa mpango huo umesitishwa...
  5. M

    Poleni Jirani Zetu Kwa Hili La Ndege Lenu Kushikiliwa SA

    Nimeskia ya kwamba ndege yenu iliyokuwa imeenda SA imekamatwa. Naona hawa watu ambao nyie hudai kuwa mliwakomboa hawana shukrani. Poleni sana kwa hili
  6. M

    Tafadhalini Wazazi Msiwafanye Watoto Kuwakosa Baba Zao Maishani Mwao

    Hawa watoto (waKenya) wanalia sana licha ya kupata kujulikana taifa nzima
  7. M

    Kwanini Waafrika Tunadharauliana Wenyewe Kwa Wenyewe?

    Yaani kama kuna jambo ambalo hunikera mimi ni kuona jinsi sisi waafrika tunadharauliana wenyewe kwa wenyewe. Kile kitu ambacho huwezi ukamfanyia mzungu, unamfanyia mwafrika bila hata kujali. Kwanini tunajichukia kiwango hichi? Hatujui kuwa watu wa rangi zingine zote wanatudharau? Kuhusu ile...
  8. M

    Majirani Karibu Wajipate Kwa Khashoggi Moment: Pumba Waandika Tweet Kwenye Account Ya Mwanahabari Kwa Kiingereza Kibovu

    Hivi majirani, hawa viongozi Wenu wanatia aibu. Naamini kuwa maamuzi ya kuwakamata wale wanahabari wa Kenya na SA hayakufanywa na viongozi wa vyeo vya chini. Kuongezea, ule upumbavu wa kutumia twitter account yake na kudanganya eti ameshaachilwa, ilifaa ifanywe na watu wa ngazi za juu. Jambo...
  9. M

    Kwanini Viongozi Wa Majirani Zetu Wanawaabudu Wazungu Hivi?

    Yaani ukiwasikia mapumba ambao huja hapa kutuambia eti Kenya imemilikiwa na wazungu utadhani kwamba wao wako very independent. Kwanini viongozi nchini kwenyu wamejitokeza kuwatetea hawa mashoga ya kufi.rana? Hehehe. Jana ni Wizara ya mambo ya nje, leo Waziri wa ndani. Yaani kila mtu anababaika...
  10. M

    Je, nia ya Serikali ya kubana mijadala ya kisiasa kwa kuondoa somo la siasa na kuleta somo la civics limefaulu?

    Hivi majuzi nilikuwa kule youtube nikaweza kutazama mjadala baina ya shule mbili za upili za Kenya zikijadiliana mada " Neocolonialism is The Cause for Underdevelopment in Africa." Wanafunzi waliokuwa wakijadili walidhihirisha uelewa mkubwa wa mambo na siasa za Afrika, ambao mimi sikua nao...
  11. M

    Nyimbo Za Kizalendo Za Kenya Na Tanzania

    Ningependa tutumie fursa hii kushare nyimbo za kizalendo za nchi hizi mbili. Haswa zile nyimbo za kizalendo za enzi za Kenyatta/Moi na Nyerere. Nimetafuta nyimbo za Kitanzania lakini sijapata.
  12. M

    Mwalimu Mkuu Avaa Sare Ya Wanafunzi

    Hahaha..Shule niliyosomea.
  13. M

    Ningependa kuelewa mfumo wa elimu wa Tanzania

    Kama vile kichwa kinaashiria, ningependa kuelewa mfumo wa elimu wa Tanzania, haswa kuanzia shule za chekechea hadi darasa la tatu. Ningependa kuandika kitabu kitakachowasaidia watoto kusoma, na naamini kwamba kuna mambo ya kujifunza kutoka TZ. Hivi majuzi, serikali ya Kenya imebadilisha mfumo...
  14. M

    NYS Imerudi Kwa Kishindo #NYSTayari

    Itapewa Jukumu la kushona magwanda ya taasisi zote za kiusalama zikiwemo za KDF. NYS ni sawa na ile youth service ya Tanzania (JKT)
  15. M

    Kipindi Cha Moyo (Citizen TV)

    Je Kuna Citizen TV ya Kenya kule Tanzania? (Mi ni Mkenya.) Ikiwa kunayo, kuna kipindi ambacho kilijulikana kama "Moyo" kilichokuwa kikija Jumatano (Saa Moja unusu usiku,) na marudio yake saa kumi na Moja jioni (Jumapili.) Kuna kipindi kingine kitaanza Jumatano hii kinachoitwa "Aziza" amabcho...
  16. M

    Msichana Zeruzeru Aliyeongoza Katika Mtihani Wa Darasa La Nane najua Kujieleza Kweli

    Msichana huyu alizawadiwa KES 100,000/TSH 2,000,000 Na Albinism Society of Kenya. Walimuahidi kuwa watalipa karo ya shule hadi atakapofika kidato cha nne. Ako sawa kujieleza kweli
  17. M

    Raila - "Kesho Nataka Kuona Chupi Za Akina Mama"

    Raila amekuwa mwendawazimu. Baada ya wamama kutoa nguo zao wakiindamana kumsifu Raila, Hivi juzi Raila adai kuwa yuataka kuona chupi za kina mama. Kweli Watanzania. Naomba mkachukue huyu mtu mkafanye awe wenu jinsi sisi tumeifanya Mlima Kilimanjaro kuwa letu.
  18. M

    Raila Ailaumu Safaricom Kwa Kumuibia Kura

    Huyu mtu kweli ni kana kwamba amechizi kiasi. Asema safricom wamemuibia kura. NASA STATEMENT; SEPTEMBER 26, 2017: KENYANS WILL RESIST LAYERS OF CONSPIRACY TO KILL DEMOCRACY, FREEDOM AND THE RULE OF LAW: We have suffered many calamities in the long journey that has brought us to this low...
Back
Top Bottom