Search results

  1. Mr Equalizer

    Nina hasira mtoto wa jirani amechora bodi la gari yangu

    Nilikuwa nimeegesha huko nje,Si unajua tena maisha yetu huku uswahilini tumebanana sana . Nilipotoka nje nikamkuta mtoto wa jirani yangu ameshika msumari anachora bodi la haka kagari kangu ambako nimekanunua kwa shida kweli kweli. Moyo umeniuma. Nimeshindwa nimfanye nini huyu mtoto maana ni...
  2. Mr Equalizer

    kitu gani kinakufariji unapogombana na mpenzi wako?

    Wakuu, ni jambo la kawaida sana kwa wapenzi au wanandoa kugombana au kuingia katika mgogoro kwa sababu yoyote ile. Migogoro katika mahusiano huleta msongo wa mawazo . Wengine kama hawatapata ushauri wa haraka huchukua maamuzi mabaya ya kujiua. Uzi huu ni wa swali , kitu gani kinakupa faraja na...
  3. Mr Equalizer

    Napaki tu gari langu, bei ya mafuta imepanda sana

    Huku niliko hali si nzuri. Leo nimenunua mafuta ya Petrol shilingi 2550 kwa lita. Sijui huko uliko hali ikoje. Ki-ujumla mambo ni magumu zile zama za kupanda baiskeli na punda naona zinaanza kurudi.
  4. Mr Equalizer

    Hii tabia ya kuvaa sare za vyama vya siasa msibani haina tija kwa taifa

    Naomba na mimi leo niseme kidogo. Mda mfupi uliopita nilikuwa kwenye msiba wa jirani yangu .Kijana wake wa miaka kama 10 hivi alifariki dunia siku kama tatu zilizopita kwa ugojwa wa kansa. Ghafla kundi la watu kama 20 hivi wanawake kwa wanaume wakafika akiwa wamevaa sare za chama cha MAPINDUZI...
  5. Mr Equalizer

    Naomba topic za languange form five na six

    Wakuu naomba mtu anayezijua topics za laguange kidato cha tano na sita ,aniwekee hapa ,natanguliza shukurani.
  6. Mr Equalizer

    Kwa wana JF wote.

    Leo ni siku ya juma pili , naomba bila kujali dini zetu ,tusome kitabu cha MHUBIRI kuanzia sura ya kwanza hadi ya mwisho. Kitabu hiki siyo kirefu unaweza kukisoma kwa dk 45 ukakimaliza. Unaweza kusoma biblia ya kiswahili au kiingereza. Nawaomba sana hasa wanasiasa wasome hiki kitabu. Kama taifa...
  7. Mr Equalizer

    Hii kada wanajiona wako juu ya sheria

    Hawa wenzetu sijui nani kawadanganya . Wao hujiona ni wa kipekee sana. Wakati mwingine hujiona wako juu ya sheria. Liko tatizo kubwa sana kwa hawa jamaa. Nadhani umefika wakati sasa wa kupitia mitaala ya mafunzo yao. Wengi wao ukiongea nao ni wa kawaida sana kichwani .Wengine ni weupe kabisa...
  8. Mr Equalizer

    Volkswagen golf touran

    Nimeanza kuziona hizi gari sehemu kadhaa , vipi vipuri vyake vinapatikana? Maduka yako sehemu gani , hapa DAR au Mwanza? Mwisho vipi ubora wa hizi gari ,anayezijua aje atuambie , tumeanza kuchoka na Toyota sasa.
  9. Mr Equalizer

    Nimeiona syllabus ya ICT huko sekondari

    Ukipitia hii syllabus ni nzuri sana imejaa topics ambazo kama kweli zingefundishwa kwa vijana wetu, wengi wao wangemaliza elimu ya kidato cha nne wakiwa na maarifa ya kutosha kuweza kujitegemea na kujiajiri wenyewe. Mfumo wetu wa elimu, unafundisha elimu ambayo ni traditional sana ,haina kabisa...
  10. Mr Equalizer

    Tanzania imejaa wafu walio hai

    "Mimi sitaki mambo yenu ya siasa hayanisaidii kitu, niko bize na masomo yangu ya udaktari". Hii ni kauli ya kijana mmoja pale Muhimbili. Huyu ni mfu ingawa yuko hai. Hajui kuwa pamoja na usomi wake huu bado wanasiasa wajinga wasiojua hata kusoma na kuandika watakuja kumpangia mshahara wake na...
  11. Mr Equalizer

    Huwa kuna burudani tamu sana CHADEMA na CCM wakikutana uwanjani.

    Mechi kati ya hivi vyama hasa katika chaguzi ndogo huwa ni tamu sana. Nakumbuka mechi ya Igunga , Busanda, Tarime , Arumeru nk zilikuwa mechi za kukata na shoka. Uchaguzi huu mdogo timu moja imejitoa kwa kulalamikia mazingira ya mchezo kutokuwa mazuri , hii mechi imepoa kabisa .Hakuna tena...
  12. Mr Equalizer

    HIVI UCHAGUZI WA MARUDIO UMESHAPITA?

    Wadau sisikii habari zozote za uchaguzi huu. Mbona hauna msisimko tuliouzoea kwenye chaguzi ndogo kama hizi?. Ni kimya kabisa. Watu wako bize na mambo mengine .
  13. Mr Equalizer

    mnapewa peremende mnashangilia kama mazuzu

    Nilishangaa sana juzi pale wale wasomeshaji walipolipuka kwa shangwe baada ya kupewa peremende. Lakini sawa hata watoto ukiwaletea peremende huwa wanashangilia sana. kazi njema wasomeshaji.
  14. Mr Equalizer

    UNAWEZA KUUA CHAMA CHA UPINZANI LAKINI HUWEZI KUUA UPINZANI

    Nimesoma kila mahali na kuona kuna watu wanatamani sana upinzani ufe. Hapana hawa watakuwa hawajui dhana ya upinzani. Upinzani siyo kikundi cha watu ambacho unaweza kukisambalatisha kwa mabomu kikasambaa. Upinzani siyo chama cha siasa ambacho unaweza kukifutia usajili wake au ukawanunua...
  15. Mr Equalizer

    Wale wanaotushangilia leo ndio hao watakaotuzomea kesho

    Watu weusi ni wanafiki sana, wanaweza kukushangilia sana leo na kukuita wewe ni masia uliyeletwa na MUNGU kwa kusudi maalumu. Usije ukajidanganya ndugu yangu ukajaa kiburi na majivuno na kusema sina wasiwasi kwa sababu nina watu wengi wanaoniunga mkono. Tena nataka nikuhakikishie hawa...
  16. Mr Equalizer

    Nani mkali wa speech kati kati ya Obama na Bill Clinton?

    Kule Marekani binafsi nawapenda sana viongozi kutoka chama cha Democratic.Huwa nawaona kama viongozi welevu wenye mawazo wa kisasa yanayoenda na wakati. Sasa kuna hawa jamaa wawili, CLINTON na OBAMA. Hawa viongozi siyo wa kawaida hasa wanapohutubia nawapenda sana. Kwanza muonekano wao ,jinsi...
  17. Mr Equalizer

    Kwa mimi youtube ni zaidi ya chuo kikuu

    Kimsingi nimejifunza mambo mengi sana kupitia youtube kuliko hata nilipokuwa chuo kikuu. Je wewe umejifunza nini kupitia youtube?
  18. Mr Equalizer

    Kwa nini gari za Honda ni cheap sana?

    Tunaomba wanaozijua hizi gari watuambie kwa nini bei yake iko chini sana? Je, ni mbovu au hazina spea hapa Tz Kama hazina shida bora tuhamie Honda maana hali ya uchumi inatisha kwa sasa.
  19. Mr Equalizer

    Hizi gari ni nzuri

    Kuna model ya Toyota inaitwa ISIS , hizi gari ni nzuri hasa ukipata yenye cc1790 vvt-i utafaidi sana. Mwendo upo , nafasi kubwa ndani na matumizi mazuri ya mafuta.
  20. Mr Equalizer

    Mshana jr na wengine njoni huku.

    Nataka niagize Noah new model, lakini kuna jamaa kaniambia eti zinatumia injini ya D-4 na injini hizi watu wanazilalamikia sana. Je ni kweli Noah New modal inatumia D-4? Hizi old model nasikia ni ngumu, ila muonekana wake siupendi ukilinganisha na New model. karibuni watalaamu. Sent...
Back
Top Bottom