Search results

  1. P

    Ni kweli wanaume hukwepa kuvaa pete za ndoa?

    raul gonzalez na ricardo kaka
  2. P

    Msaada wa dawa ya magonjywa ya kuambukiza (STDs)

    Mwenye kufahamu dawa madhubuti ya STDs (magonjwa ya kuambukiza) kama Kaswende, UTI na mengineyo anisaidie.
  3. P

    Urinary Tract Infection (UTI): Chanzo, Dalili na Kinga/Tiba yake

    mkuu kuna vidonge vinaitwa topcef..jaribu na hivi ni gud xana
  4. P

    Tatizo la kushindwa kutoa haja ndogo

    asante xana mkuu.....ntaenda nilikua nachukulia easy coz unabana den badae unatoka....
  5. P

    Tatizo la kushindwa kutoa haja ndogo

    ghafla mkuu...bt ukitoka unatoka kama kawaida na maumivu kwa mbali....miaka 28....kama week xaxa
  6. P

    Tatizo la kushindwa kutoa haja ndogo

    Msaada wadau nimekuwa nikibanwa mkojo kwa muda mrefu bt unfortunately nikitaka kukojoa mkojo hautoki, unakua unauma tu lakini hautoki. Mwenye ufahamu wa hili msaada tafadhali.
  7. P

    Kama Ulikuwa hujui kuhusu Shilole

    Pia ni mtoa kabang mzur xana uyu dada....ntaweka picha apa soon
  8. P

    Msaada tafadhali...

    Habar ya asubuh ndugu zangu.....jaman mwenye kufahamu kuhusu upatikanaji wa kazi ya ualimu ngazi ya stashahada na cheti(walimu wa vyuo hivi,government lakin)...anifahamishe tafadhali
  9. P

    Manispaa ya shinyanga mjin kwanini hamtaki kuwamalizia walimu wapya stahiki zao..?

    Toka mlivowapa pesa ya kujikim ya cku 4,cku ya tar 2/4 mpaka leo kimya,nauli zao hamjawapa na pesa yao ya cku 3...mnategemea waish vp hawa watumish wetu uku ugenin..?kuwen wastaarabu
  10. P

    Kigwangwala amfuata Sitta Nyumbani kulalamika

    Hahahahahahahaha jf bana
  11. P

    Manispaa ya Shinyanga mjini pesa za kujikimu na nauli za Walimu wapya ziko wapi?

    Cku ya kwanza kuripoti afisa utumishi wa manispaa aliwaambia walimu wapya waliopangiwa shy manispaaa kwamba watapewa pesa ya cku 4,coz govt imetuma pesa nusu,wakapewa pesa ya cku 4 cku ya tar 2/4..just imagine watu ni wagen shy,watalala wapp,watakula nn ugenin....tafadhal wapen pesa zao...
  12. P

    Scholarship wizara ya science

    Wadau mwenye taarifa za kina kuhusu scholarship za china zinazotolewa na hii wizara anifahamishe kama tayar zishatolewa..asanten
  13. P

    Weka tukio la kutapeliwa lililokuta wewe/rafiki ili tusaidie jamii

    hahahahahahaahahaha umenikumba mbali xana mdau,,hawa wapuuzi shawahi kutana nao mkoan mby,kibabu kichafu chafu afu kinajifanya hakijui kiswahili fresh,ila wana2mia na kadawa kdogo hawa jamaa coz ukiwa nao unakua ka ---- vle
  14. P

    Nampenda Fatma Shimweta

    dah,,kumbe braza yahaya alikua anapumzika pale dah..respect zake
  15. P

    Masoko ya meno ya tembo yafungwe!!

    Kumbe masoko anayajua kitambo kwamba yapo...!kwanin asichukue hatua mapema xana...?braza wa magogon bana
  16. P

    Nampenda Fatma Shimweta

    Asante mkuu...wanikatisha tamaa lakin
  17. P

    Agness Masogange akiwa Beach

    Mtoto hatar xana uyu..namuona mwanangu linenga anafanya yake..haya inshallah
  18. P

    Nampenda Fatma Shimweta

    Ni mtangazaji wa Star tv, Anaitwa Fatma Shimweta. dah nakapenda haka kadada jamani mie. Mwenye more detail zake aziweke hapa wadau.
Back
Top Bottom