Msaada wadau nimekuwa nikibanwa mkojo kwa muda mrefu bt unfortunately nikitaka kukojoa mkojo hautoki, unakua unauma tu lakini hautoki.
Mwenye ufahamu wa hili msaada tafadhali.
We we una UTI wahi hospitali ikikaa sana inakua majanga
Kapime na Gonorhea
Msaada wadau nimekuwa nikibanwa mkojo kwa muda mrefu bt unfortunately nikitaka kukojoa mkojo hautoki, unakua unauma tu lakini hautoki.
Mwenye ufahamu wa hili msaada tafadhali.
Pole. Una umri gani? Tatizo lina mda gani mpaka sasa? Limeanza taratibu ama ghafla?
Ila uwahi hospital mkuu usifanye utani kwenye swala la afya
asante xana mkuu.....ntaenda nilikua nachukulia easy coz unabana den badae unatoka....
Mkuu japo sijafahamu jinsia ya mtoa mada ila mwanaume ukipata gono kukojoa ni mtihaniAaah aisee wewe mbona unamtisha mwenzio. Kwa issue ya gono angesema maana haizuii mkojo.