Cku ya kwanza kuripoti afisa utumishi wa manispaa aliwaambia walimu wapya waliopangiwa shy manispaaa kwamba watapewa pesa ya cku 4,coz govt imetuma pesa nusu,wakapewa pesa ya cku 4 cku ya tar 2/4..just imagine watu ni wagen shy,watalala wapp,watakula nn ugenin....tafadhal wapen pesa zao zilizobaki,pamoja na nauli zao,kuweni na utu jaman,mnategemea hawa walimu watakua wana moyo wakuwa2mikia wadogo zetu kweli jaman...nawasilisha wadau