Hivi Sitta ana nyumba Dodoma? Halafu naye huyo Kigwangwala amemaliza ile kesi yake ya kuandamanisha wachimbaji wadogo wadogo? Ana kiherehere sana, limdomo libaya kama kata ya kunywea pombe[h=2]Kigwangwala amfuata Sitta Nyumbani kulalamika[/h]
Leo tena Kigwangwala azomewa bungeni, anasema mwenyekiti Sitta anawapendelea wachache bungeni.