Katika miundo mbinu ya usambazaji umeme wa juu (overhead distribution) hutokea changamoto (faults) ambazo zinaweza kusababisha umeme kukatika. Sababu hizo huitwa.
Faults zipo nyingi (sina haja ya kuelezea)
Tabia ya fault inasababisha circuit Breaker (protection device) kujifungua kulingana na...
Nilitaka kuchangia kwa namna hii.
Nimeishi Mwananyamala Msisiri B nyuma ya Mortuary ya Hospital ya Mwananyamala. Kuna Mwarabu mmoja pale biashara yake ni usafirishaji (daladala) ndani kwakwe ana kisima na ana matanki matatu. Yeye ikifika saa kumi na nusu usiku anafungua geti watu wanachota maji...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.