Kocha kazingua,
Potter anaweza kuwa amekosea leo ila ni mtu ambae ni rahisi kuonq mapungufu yatim wakat game inaendelea

First half hatukuwa vizuri sanq ila 2nd alijitahid kumatch intensity ya brighton.


Niswala la mda tu, tumpe mda na tu trust process,

Doubt yangu ni aina ya wachezaj tulionao wako rigid
 
Ila Chelsea mmejua kunichekesha leo 😂 😂 😂 😂
 

Attachments

  • Screenshot_20221029-224128_WhatsAppBusiness.jpg
    Screenshot_20221029-224128_WhatsAppBusiness.jpg
    58.9 KB · Views: 5
Sababu kuu za Chelsea kushindwa jana
  1. Brighton pace na pressing ilikuwa juu sana mbali kabisa na pace ya Chelsea. Inaonekana walikamia kutufunga
  2. Poor line-up. Wachezaji kucheza out of position na kufanya transition ya Brighton kuwa rahisi kwenye kushambulia
  3. Mabeki hawakuwa makini na kuwa na too many individual errors hasa golini, goli la kwanza Silva alitoa mpira kirahisi, magoli mawili ya kujifunga. Almost magoli matatu ya sadaka kwa Brighton. Cucurela sio mchezaji wa kuanza, tangu ahamie Chelsea amekuwa ni mzito sana kwenye kukaba. Alifanyika mteremko mno
  4. Foward wetu hawakuwa makini kama kawaida yao, nafasi za wazi zilipotezwa kizembe
 
MY ANALYSIS
Mechi ya Jana yamechangiwa na makosa mawili makuu ambayo yamepelekea sisi kufungwa

1. Upande wa Wachezaji

Tuna wachezaji ambao hawajitumi na hawaoneshi hali ya upambanaji magoal yote tumefungwa na wachezaji kuwa careless tunatoa manolo ya ovyo hata pale tulipoweza kufunga goal Moja na mchezo ukawa wetu lakini wachezaji wetu hawakuonesha kweli wanataka matokeo build up ya kushambulia ni slow, kuna Wachezaji unakuta wanatembea uwanjani badala ya kufanya runs

2. Upande wa Kocha

Kiasi chake nae kachangia kuanzia selection mpaka mfumo wa kucheza dhidi ya Brighton hakuwapa heshima Brighton kabisa. Cucurella katika game zote alizomchezesha kama lcb kachemka lakini chakushangaza still Jana kampanga nafasi hiyo hiyo ninaposhindwa kuelewa hapa? Sterling na Pulisic si wakabaji kabisa kwanini uwapange wing back? Ukiachana na weekness hizo pia tulikuwa tuna shida kwenye middle hatukuwa na watu wakucontrol game hapa ndio unakuja kuona umuhimu wa Jorginho, kova na RlC hawa wote sio wakabaji na wala hawana sifa ya kutuliza team inaposhambuliwa ( kupooza mashambulizi ya opponent). kova atakusaidia kwenye kudrive team iende mbele so aliitaji awe na mchezaji mwenye sifa ya ukabaji au wenye aina ya uchezaji wa Jorginho ili acheze nae, kutokana na udhaifu wa middle ndio ilipelekea Brighton watufikia kirahisi goli letu. Sijui kwanini Denis Zakaria asipewe namba kwa mchezaji wa ovyo kama RlC mpaka Leo nitapinga RlC sio kiungo wa Kati na hana sifa yoyote kucheza Hilo eneo RlC nafasi yake nzuri ni kiungo mshambuliaji na kidogo kwenye wing back basi.
Kuna wakati game ilikuwa yetu hasa kipindi Cha pili nilitegemea kocha atamuingiza Jorginho au Denis Zakaria angalau aweke balance kwenye kikosi lakini kuwadhibiti Brighton
lembu
Cash Money Forever
 
Grahama Potter awapa vidonge vyao mashabiki wa Brighton
Potter azomewa na mashabiki wa Brighton aliporudi jana kwenye uwanja wa Falmer Stadium
Akijibu zomea hiyo Potter alisema hana cha kusikitika au kuomba msamaha. Alifanya kazi nzuri alipokuwa kocha wa Brighton. Aliikuta timu ni ya nne kutoka chini ya msimamo wa ligi na timu ya tatu kwa ubovu pale premium league. Natumaini kwa ajili yao kocha anayefuata atafanya kazi nzuri na hiyo itakuwa njema kwao.

1667113611547.png
 
Back
Top Bottom