Search results

  1. Maganga Mkweli

    Mambo muhimu kuzingatia katika uchaguzi wa kozi chuo kikuu

    Habari zenu. Hongereni wale mliofaulu ...nina vitu muhimu vya kushiriki na nyie siku ya leo hasa kwa kwenye uchaguzi wa kozi vyuoni. 1. Jitahidi kupata taarifa sahihi za kozi unayo/unazotaka kuomba kwa kadiri ya uwezo wako.. 2. Usipende kufuata mkumbo; kumbuka hii ni hatua muhimu sana kufikia...
  2. Maganga Mkweli

    Cpa examinations result

    WALE WA NBAA MATOKEO HAYO... National Board of Accountants and Auditors - NBAA http://www.nbaa-tz.org/examinations/results/may_exams/CPA%20List.pdf
  3. Maganga Mkweli

    Nafasi za kazi TPDC kwa wahandisi

    WAHANDISI NA FUNDI MCHUNDO KAZI KWENU CHANGAMIKIENI HIZO TANZANIA PETROLEUM DEVELOPMENT CORPORATION CAREER OPPORTUNITIES Tanzania Petroleum Development Corporation (TPDC) is a National Oil Company dealing with oil and gas exploration, development and production. The company is based in...
  4. Maganga Mkweli

    Kuitwa kazini-PCCB

    Kufuatia usaili (Oral Interview) uliofanyika kati ya tarehe 03/02/2014 – 14/03/2014 TAKUKURU Makao Makuu kwa watahiniwa walioomba nafasi za Afisa Uchunguzi daraja la pili na wachunguzi Wasaidizi, yafuatayo ni matokeo ya usaili huo: Investigation Officers Assistant Investigations...
  5. Maganga Mkweli

    Oculus Joins Facebook... naona mark naye ananunua tech sasa

    Mark Zuckerberg I'm excited to announce that we've agreed to acquire Oculus VR, the leader in virtual reality technology. Our mission is to make the world more open and connected. For the past few years, this has mostly meant building mobile apps that help you share with the people you care...
  6. Maganga Mkweli

    Kazi TANESCO Thermal Gen (KINYEREZI SOMANGA)

    The Tanzania Electric Supply Company (TANESCO) is focusing on increasing the outreach and service quality of its Energy products for Tanzania people. Next to its current passion as a leading provider of electricity and to be more efficient customer focused utility for Tanzania and beyond. The...
  7. Maganga Mkweli

    Principal Estate Development Engineer – TANESCO

    Principal Estate Development Engineer Open Position: Principal Estate Development Engineer Reporting Office: Head Office. Reports To: Manager Estate - Projects Start Date...
  8. Maganga Mkweli

    Internal& external advertisement employment opportunities-tanesco

    INTERNAL & EXTERNAL ADVERTISEMENT EMPLOYMENT OPPORTUNITIES INTERNAL& EXTERNAL ADVERTISEMENT Background – TANESCO http://www.tanesco.co.tz The Tanzania Electric Supply Company (TANESCO) has recently been...
  9. Maganga Mkweli

    Ufafanuzi wa maswali mbalimbali ya wadau wa elimu kuhusu matokeo ya mtihani wa kidato cha nne-2013

    BARAZA LA MITIHANI LA TANZANIA UFAFANUZI WA MASWALI MBALIMBALI YA WADAU WA ELIMU KUHUSU MATOKEO YA MTIHANI WA KIDATO CHA NNE (CSEE) 2013 Imetolewa Na:KAIMU KATIBU MTENDAJI25 Februari, 2014 UFAFANUZI...
  10. Maganga Mkweli

    Atakaye shinda kalenga ana haki ya kuingia bunge maalum la katiba ..?

    Wadau kwa yeyote mwenye ufahamu anaweza kusaidia hili ni wazi kampeni za uchaguzi mdogo zimeanza huko kalenga na tamati yake 15.3.2014 ambapo 16.03.2014 utafanyika uchaguzi wenyewe .. sasa swali langu ni je mbunge atakaye chaguliwa atakuwa na haki kisheria kuhudhuria bunge la katiba..? kama...
  11. Maganga Mkweli

    Nafasi za kazi TANESCO

    KAZI HIZO KAZI KWENU EMPLOYMENT OPPORTUNITIES INTERNAL & EXTERNAL ADVERTISEMENT 1.0 Open Position: Human Resources Officer - Trainee (5 Posts) Reporting Office: Head Office, Regions & Plant Reports To...
  12. Maganga Mkweli

    Matumizi bora ya umeme nyumbani /save electricity kupunguza bill yako

    wadau nimeona ni share na nyie hii kitu yawezekana wengine huwa mnapractise hizi njia .. nakutokana na ongezeko la bei ya umeme.. kuna tips hizi naona zinaweza kuwa msaada kwetu..zipo nyingi tu ..inategemea na vifaa na aina ya wiring system nyumbani kwako a) Refrigerator, Freezer and...
  13. Maganga Mkweli

    Ipo haja kwa kada zote kusoma sheria ya ajira na mahusiano kazini

    Wadau mimi naona sasa kuna umuhimu mkubwa sana sasa kuwe na somo hili, kama ilivyo somo la development studies sababu kubwa sana tulio wengi tunatoka shule tunakuwa na uelewa mdogo wa sheria za ajira na mikataba ya kazi nafahamu watu wa HR NA LAW(RASIMALI WATU NA SHERIA) watakuwa wanasoma hili...
  14. Maganga Mkweli

    Battle for TZ gas deal goes to court

    tusaidiane hili waungwana nimeikuta kwenye CITIZEN..
  15. Maganga Mkweli

    Tatizo la umeme ni tanesco au serikali ya ccm..? Mtazamo wangu...

    TATIZO LA UMEME NI TANESCO AU SERIKALI YA CCM..? Wasalaamu…. Najaribu kutafakari sana hapa je tatizo ni hili la UMEME(kichocheo cha uchumi ) ni hawa TANESCO au Hii Serikali ya CCM … ? Nianze na hawa Tanesco matatizo ambayo naweza sema ni ya kwao moja kwa moja na yako ndani ya...
  16. Maganga Mkweli

    msaada ratiba ya upigaji picha vitambulisho vya taifa kinondoni

    habari .zenu kwa yeyote mwenye kufahamu ratiba ya zoezi la kupiga picha za vitambulisho vya taifa NIDA kwa manispaa ya kinondoni anaweza nisaidia .. ni jumamosi na jumapili..? na mtiririko wake ukoje wanaanza na kata gani..? natanguliza shukrani..
  17. Maganga Mkweli

    Nakerwa sana na huu ushindani wenu wa vyuo na kozi...

    Kwanza hongereni kwa mliochaguliwa kuendelea na ELIMU ya juu kwa ya maana vyuo na taasisi za elimu ya juu na poleni sana wale mliokosa MKOPO ..(kwa hili nawapa pole ya dhati sababu nafahamu maisha ya CHUO bila huu mkopo hasa wale mnaotoaka familia za chini kama mimi)... jambo kubwa linaloniudhi...
  18. Maganga Mkweli

    Makala no.1 : Home electrical tips / safety tips

    MAKALA: ELECTRICAL TIPS Habari wanajukwa kwa kipindi kirefu nimekuwa na nia ya kushare na na nyie kile nachokifahamu kuhus fani yangu ya UMEME .. ambacho kwa namna moja au nyingine kinaweza kuwa na msaada mkubwa au kiasi nimeona kuwa nitakuwa na mfululizo wa masomo/makala za maada mbali za...
  19. Maganga Mkweli

    Makala no.1 : Home electrical tips / safety tips

    MAKALA: ELECTRICAL TIPS Habari wanajukwa kwa kipindi kirefu nimekuwa na nia ya kushare na na nyie kile nachokifahamu kuhus fani yangu ya UMEME .. ambacho kwa namna moja au nyingine kinaweza kuwa na msaada mkubwa au kiasi nimeona kuwa nitakuwa na mfululizo wa masomo/makala za maada mbali za...
  20. Maganga Mkweli

    Natafuta part time job electrical engineer niko dar

    Salamu ndugu mimi ni electrical engineer ni mwaajiriwa kituo ni dar .. nachukua nafasi hii kwa yeyote yule mwenye uwezo wa kushare na mimi hasa muda wangu wikiend na masaa baada ya kazi nina weza fanya kazi (Part time job electrical engineer ) pia naweza kuwa assigned kazi via mail or...
Back
Top Bottom