Search results

  1. Joyeuse

    Msaada notes za kifaransa

    Habari zenu nina shida ya notes za kifaransa za A-level pamoja na majina vitabu vya riwaya na tamthiliya vinavyotumika kujibia maswali. Na kama kuna mwalimu au anayeuza vitabu hivyo naomba tuwasiliane. Napatikana Gongo la mboto Ilala, Dar es salaam Natanguliza shukrani zangu
  2. Joyeuse

    Msaada wa notes za Kifaransa

    Habari zenu nina shida ya notes za Kifaransa za A-level pamoja na majina vitabu vya riwaya na tamthiliya vinavyotumika kujibia maswali. Na kama kuna mwalimu au anayeuza vitabu hivyo naomba tuwasiliane. Napatikana Gongo la Mboto Ilala, Dar es Salaam Natanguliza shukrani zangu
  3. Joyeuse

    Nataka kuanza kusoma masomo ya sekondari kupitia elimu ya watu wazima

    Wazima wana Jf. Kama nilivyoeleza kwenye kichwa cha habari hapo juu. Nina umri wa miaka 31. Nilimaliza shule ya msingi miaka 18 iliyopita. Sikufanikiwa kuchaguliwa kujiunga na masomo ya sekondari. Japo nilitaka sana kuendelea lakini hali ya nyumbani ilikuwa ngumu mno hivyo ikashindikakana hata...
  4. Joyeuse

    Nataka kuanza kusoma masomo ya sekondari kupitia elimu ya watu wazima

    Wazima wana JF, Kama nilivyoeleza kwenye kichwa cha habari hapo juu. Nina umri wa miaka 31. Nilimaliza shule ya msingi miaka 18 iliyopita sikufanikiwa kuchaguliwa kujiunga na masomo ya sekondari. Japo nilitaka sana kuendelea lakini hali ya nyumbani ilikuwa ngumu mno hivyo ikashindikakana...
  5. Joyeuse

    Bonjour? Tous...

    Qui Parle le fran?0?4ais bien? Je manque bien de parler cette langue.?0?4a c'est pourquoi j'ai decid?? d'??crire en cette nuit comme ?0?4i.soyez les bienvenus.......!!!!! Que Dieu vs bennisse mes camarades
  6. Joyeuse

    UZAZI: Nitajuaje kama mtoto ameelekeza kichwa kwenye njia sahihi ya kutokea?

    Habari waungwana wanaJF, 1. Nataka kujua kuna dalili zipi zinazomjulisha mjamzito kwamba mtoto ameshageuka kichwa chini? 2. Nina ujauzito wa 34 weeks ila nashinda na kopo ndani la kukojolea maana nachoka kutoka kwenda msalani chanzo ni nini? 3. Sipati usingizi usiku kucha ila ikifika sasa...
  7. Joyeuse

    Makamasi meupe kutokea koon.

    Nina taizo la makamas meupe kutokea puani. Nimetumia dawa za hospital lakin hali si shwari. Koo haliniumi wala haliwashi. Na makamas yanatoka safi bila damu. Kwakuwa nilikaa kwenye bardi kali . Baadh wananiambia kuwa hali itaisha tu ..kwani hiyo ni barid inasumbua.huwa yanashuka na kuganda kooni...
  8. Joyeuse

    Habari ndungu zangu.

    Nina tatizo la kitu kunizurura rohoni. Nikihoa naishia kutoa kohozi tu lakin chenyewe hakitoki, nikimeza hakimezeki na hata kinanikera hata nikijitapisha hakitoki. Msaada wane jaman.. Hali ina mwezi sasa..... Nimetumia dawa za kusafisha koo bila mafanikio.
Back
Top Bottom