Msaada notes za kifaransa

Joyeuse

JF-Expert Member
Sep 19, 2013
267
159
Habari zenu nina shida ya notes za kifaransa za A-level pamoja na majina vitabu vya riwaya na tamthiliya vinavyotumika kujibia maswali.
Na kama kuna mwalimu au anayeuza vitabu hivyo naomba tuwasiliane.

Napatikana Gongo la mboto Ilala, Dar es salaam

Natanguliza shukrani zangu
 


Kuna zile bischerelle kule play store, zitakusadia. Jaribu pia kutizama YouTube za tv za Kifaransa, au magazeti Yao ....




 


Kuna zile bischerelle kule play store, zitakusadia. Jaribu pia kutizama YouTube za tv za Kifaransa, au magazeti Yao ....




Asante sana nimejaribu kuingia kwenye hizo link. nilijaribu kupita humo
ila nahitaji notes zinazofundishiwa hapa tanzania kwa A'level niweze kufanya mtihani wa form six kama private candidate mwaka ujao. Hizi nikiziangalia naona hata mfumo mitihani yao iko tofauti na ya Necta.

Ahsante sana sana kwa kujali kwani umenipa mwanga mwingine pia
 
Back
Top Bottom