Msaada wa notes za Kifaransa

Joyeuse

JF-Expert Member
Sep 19, 2013
267
159
Habari zenu nina shida ya notes za Kifaransa za A-level pamoja na majina vitabu vya riwaya na tamthiliya vinavyotumika kujibia maswali.
Na kama kuna mwalimu au anayeuza vitabu hivyo naomba tuwasiliane.

Napatikana Gongo la Mboto Ilala, Dar es Salaam

Natanguliza shukrani zangu
 
Back
Top Bottom